GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa covid wasitake kupoka nafasi za wanaccm kindakindaki, wasubiri bakhshishi ya vyeo baada ya uchaguzi watalambishwa u dc, u das, u rc, u ras na vyeo vingine wakaitumikie ccm kutekeleza ilani yake
 
Huyu kabla ya kuungana na Halima Mdee si amewahi huko nyuma kuwa mwana CCM. Kwa hiyo tuseme amerudi nyumbani
ALAFU MTU ANIAMBIE MIE NIANDAMANE NAMI NIKUBALI KUFANYA HIVYO. TULIMPIGANIA KAFULILA NA KUTUACHA KWENYE MATAA, TULIMPIGANIA EDWARS LUEASA HARIMAE KATUACHA KWENYE MATAA. NYIE ACHENI KUFANYA YRNU ENDELEENI KUMPIGINANIA TUNDU LISU MZALENDO WA KWELI.
 
Kwenye nchi za watu wenye akili timamu watu wa namna hii huwekwa pembeni kwani ninwasaliti wenye kujali maslahi yao binafsi
Nchi gani hiyo na wamesaliti nini?.Lengo la kwanza la mwanasiasa nikupata jukwaa lakufanya siasa na chama cha siasa ndio jukwaa kuu sasa mtu kahama chama unasema amesaliti.kamsaliti nani?.Nakwanini awe msaliti wakati anatimiza wajibu wake.Hizi nadharia mnazitengeneza nyie msioijua siasa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…