Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.
Bulaya ameyasema hayo Februari 13, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).

Bulaya amesema Tundu Lissu anao uwezo wa kukiongoza chama hicho na kukifikisha kwenye demokrasia ya kweli.
Bulaya ameyasema hayo Februari 13, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).
Jana huyu Lisu alikuwa anahutubia, akaomba watu wajiunge na chama ili kuweza kufikisha agenda zenu mbele.
Wewe unasema wanajipendekeza, hivi kwa akili yako unadhani wanachama na wafuasi mtawatoa wapi mkianza kuwakataa hao wakongwe?
Lisu aliusha shinda jengeni chama, nyie bado mko kwenye mawazo mgando.
Bunge likisha vunjwa hao ni wanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine yule.
Wanao utashi kwenda popote, wakiamua kurudi chadema huwezi kuwazuia, hao sio wakenya ni watanzania.
Yote uliyoyasema hapo juu ni sawa kabisa. Lakini hapo ulipomalizia ya "CHAMA KUDUMAA" Hapana. Chadema bado ni tishio sana kwa watawala. Ndo maana mzee Wasira akikaa anawaza CHADEMA tu. Akilala anaiota CHADEMA. Akiwa barabarani anaona magari yote yameandikwa CHADEMA.
ila hawa wamerubuniwa na ccm, usikute pia walitishwa kuwa picha zao za uchi zitatolewa hadharani, watasingiziwa kodi, ndugu zao watauwawa, pia njaa so walikuwa hawana namna. hata wewe ccm ikiamua ikakukule tako hauna ujanja wa kukimbia au kukataa muulize roma na sativa. Hii nchi mpaka lissu atakapokuwa raisi ndo mambo ya kijinga yatakoma
Yote uliyoyasema hapo juu ni sawa kabisa. Lakini hapo ulipomalizia ya "CHAMA KUDUMAA" Hapana. Chadema bado ni tishio sana kwa watawala. Ndo maana mzee Wasira akikaa anawaza CHADEMA tu. Akilala anaiota CHADEMA. Akiwa barabarani anaona magari yote yameandikwa CHADEMA.
Yule hana hoja, anazunguka kutaka ku prove kwamba hajazeeka, ukweli unaujua kesha choka, anatamani alale masaa 25 kilasiku kujipumzisha lakini hawezi kwasababu ya tamaa zake.
Ipo siku utaelewa tu kwanini nasema chadema imedumaa.