Pre GE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

Pre GE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yes! Nyumbani ni nyumbani.
Hongera mheshimiwa Bulaya umepeleka msg CCM ambapo uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti na Makamu haukuwa huru na haki.
Msg send!
 
ila hawa wamerubuniwa na ccm, usikute pia walitishwa kuwa picha zao za uchi zitatolewa hadharani, watasingiziwa kodi, ndugu zao watauwawa, pia njaa so walikuwa hawana namna. hata wewe ccm ikiamua ikakukule tako hauna ujanja wa kukimbia au kukataa muulize roma na sativa. Hii nchi mpaka lissu atakapokuwa raisi ndo mambo ya kijinga yatakoma
Wewe washakula Tako lako? Maana unavyosifia ujinga mpaka unatia huruma.
 
Team Lisu mnashida sana vichwani mwenu.

Jana huyu Lisu alikuwa anahutubia, akaomba watu wajiunge na chama ili kuweza kufikisha agenda zenu mbele.

Wewe unasema wanajipendekeza, hivi kwa akili yako unadhani wanachama na wafuasi mtawatoa wapi mkianza kuwakataa hao wakongwe?

Lisu aliisha shinda jengeni chama, nyie bado mko kwenye mawazo mgando.

Bunge likisha vunjwa hao ni wanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine yule.

Wanao utashi kwenda popote, wakiamua kurudi chadema huwezi kuwazuia, hao sio wakenya ni watanzania.

Ndio maana chama kimedumaa.
Sio Kila kitu Cha kujibu.
 
Kwani ni jambo baya? Unapoingia vitani, tumia silaha zote, hata ulizoziteka kwa adui yako. Naombea CHADEMA ya Lissu isiwe na mawazo kama ya kwako, masna kila kura moja ina uzito wake katika jumla ya kura zote, ukiingatia kwamba hao mnaowaita Covid19 wana watu wa kutosha nyuma yao, huwezi ukawaacha tu wakaenda ACT na CCM sababu ya mambo ya zamani. Kama Sumaye alienda CDM, itakuwa hawa watoto wa CDM kabisa?
Wawe wanachama wa kawaida
 
Wakimaliza muhula wa bunge wanajiunga chadema, utakataa?
Uanachama unaomba kwa baraza kuu, sasa unadhani wale wajumb waliomkataa Mbowe ndio watawakubali hawa wahuni?;

Na tukifanya kosa kuwapokea ndio watarudia tena na wengine usishangae kusikia NTOBI kachukua fomu ya kugombea urais NEC kwa udhamini wa chadema hata bila ya mkutano mkuu kumpitisha!!
 
Wakuu

Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Bulaya amesema Tundu Lissu anao uwezo wa kukiongoza chama hicho na kukifikisha kwenye demokrasia ya kweli.

Soma, Pia: Tundu Lissu: Nipo tayari kuwapokea wabunge 19 wa Viti Maalum walioingia bungeni bila baraka za chama

Bulaya ameyasema hayo Februari 13, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).

Wajameni, kiukweli mimi namzimikia kwa kumkubali sana huyu mdada mpaka basi!.

Angalia nilianza nae lini na akiwa wapi ?. Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

P
 
Wakuu

Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Bulaya amesema Tundu Lissu anao uwezo wa kukiongoza chama hicho na kukifikisha kwenye demokrasia ya kweli.

Soma, Pia: Tundu Lissu: Nipo tayari kuwapokea wabunge 19 wa Viti Maalum walioingia bungeni bila baraka za chama

Bulaya ameyasema hayo Februari 13, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).

Mimi mwenzenu jamani huyu mdada,sio tuu namkubali kichizi,bali kiukweli, 。。。,, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
Back
Top Bottom