The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Kuwafikisha yeye na nani? Mbona sio wanachama wetu hao,sio CHADEMA nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hatutukanani kisa vyeo. Tunapingana kwa hoja, anayeshindwa anamuunga mkono mwenzie. Mbowe yupo na Lissu?CCM nao waende wakajifunze maana somo la uchaguzi wa chadema ni funzo kubwa kwa demokrasia nchini
Na mbaya wake Wasira ndiye makamu sasa! 😀 😀Wanaanza kujipendekeza? Wao wasubiri julai warudi CCM, huku hakuna chao tena
Wewe washakula Tako lako? Maana unavyosifia ujinga mpaka unatia huruma.ila hawa wamerubuniwa na ccm, usikute pia walitishwa kuwa picha zao za uchi zitatolewa hadharani, watasingiziwa kodi, ndugu zao watauwawa, pia njaa so walikuwa hawana namna. hata wewe ccm ikiamua ikakukule tako hauna ujanja wa kukimbia au kukataa muulize roma na sativa. Hii nchi mpaka lissu atakapokuwa raisi ndo mambo ya kijinga yatakoma
Sio Kila kitu Cha kujibu.Team Lisu mnashida sana vichwani mwenu.
Jana huyu Lisu alikuwa anahutubia, akaomba watu wajiunge na chama ili kuweza kufikisha agenda zenu mbele.
Wewe unasema wanajipendekeza, hivi kwa akili yako unadhani wanachama na wafuasi mtawatoa wapi mkianza kuwakataa hao wakongwe?
Lisu aliisha shinda jengeni chama, nyie bado mko kwenye mawazo mgando.
Bunge likisha vunjwa hao ni wanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine yule.
Wanao utashi kwenda popote, wakiamua kurudi chadema huwezi kuwazuia, hao sio wakenya ni watanzania.
Ndio maana chama kimedumaa.
Wanachama kivipi? Si walishafukuzwa kitambo.Bunge likisha vunjwa hao ni wanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine yule
Wawe wanachama wa kawaidaKwani ni jambo baya? Unapoingia vitani, tumia silaha zote, hata ulizoziteka kwa adui yako. Naombea CHADEMA ya Lissu isiwe na mawazo kama ya kwako, masna kila kura moja ina uzito wake katika jumla ya kura zote, ukiingatia kwamba hao mnaowaita Covid19 wana watu wa kutosha nyuma yao, huwezi ukawaacha tu wakaenda ACT na CCM sababu ya mambo ya zamani. Kama Sumaye alienda CDM, itakuwa hawa watoto wa CDM kabisa?
Wakimaliza muhula wa bunge wanajiunga chadema, utakataa?Wanachama kivipi? Si walishafukuzwa kitambo.
Uanachama unaomba kwa baraza kuu, sasa unadhani wale wajumb waliomkataa Mbowe ndio watawakubali hawa wahuni?;Wakimaliza muhula wa bunge wanajiunga chadema, utakataa?
ccm hawapaswi kujifunza. Wao wanajua cha kufanya, ila hawataki. Ni swala la utashiCCM nao waende wakajifunze maana somo la uchaguzi wa chadema ni funzo kubwa kwa demokrasia nchini
Wajameni, kiukweli mimi namzimikia kwa kumkubali sana huyu mdada mpaka basi!.Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Bulaya amesema Tundu Lissu anao uwezo wa kukiongoza chama hicho na kukifikisha kwenye demokrasia ya kweli.
Soma, Pia: Tundu Lissu: Nipo tayari kuwapokea wabunge 19 wa Viti Maalum walioingia bungeni bila baraka za chama
Bulaya ameyasema hayo Februari 13, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).
Wanaanza kujipendekeza? Wao wasubiri julai warudi CCM, huku hakuna chao tena
Mimi mwenzenu jamani huyu mdada,sio tuu namkubali kichizi,bali kiukweli, 。。。,, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。Wakuu