Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Naombeni namba za bulaya nimtumie japo SalioMbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu.
Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza tozo Tsh. Bilioni 329 wakati Serikali ikichelewa kumlipa Mkandarasi inatozwa Tozo.
Aidha, amesema Mkandarasi alitakiwa kujenga miradi kwa ajili ya huduma za kijamii ya zaidi ya Tsh. Bilioni 200 lakini huduma hizo hazionekani, pia inadaiwa anajiandaa kufungua kesi Mahakamani dhidi ya Serikali akidai nyongeza.
Kama mtuma mkandarasi aishitaki serikaliHayo yote yanatokea tangu yule toto pendwa wa watu wema hawafi aliposhikilia usukani[emoji848]
Hapo hatokosa 500BMakamba ataendelea kuficha matrilioni ya hela nje ya nchi kupitia dili kama hizi.
Usalama wa taifa hili kwenye mabadiliko ya Sheria yenu mtusaidie Ku eliminate watu hawa kulisaidia taifa na nchi kwa ujumla wakeHayo yote yanatokea tangu yule toto pendwa wa watu wema hawafi aliposhikilia usukani[emoji848]
Hebu wewe uliesoma terms zote tusaidie tueleweEster Bulaya kaongea kwa hisia zaidi.. Sidhani kama kausoma mkataba wote na kuona terms zake.
Hasa huyu Makamba jr,ni janga la taifa,mradi ukamilishwe na kina Kalemani yeye awe StarMimi nitafanya hivi na wewe ufanye hivi ili ukilipwa tugawane
Yaani kuna watu wanaweza kutumia akili kwa njia ya wizi lakini ukimuambia abuni kitu ni zero
kwa sehemu ni ABC za huo mradi, na comment yangu haijafunga hisia zake. Ila kaa ukijua Serikali yetu ndio shida na sio mkandarasi. Tunaingia kwenye mikataba na bahasha za kaki na matokeo ndio kama hayaHebu wewe uliesoma terms zote tusaidie tuelewe
Acha alipwe tu ,mbona yeye Bulaya analipwa pesa wakati siyo mbunge!Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu.
Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza tozo Tsh. Bilioni 329 wakati Serikali ikichelewa kumlipa Mkandarasi inatozwa Tozo.
Aidha, amesema Mkandarasi alitakiwa kujenga miradi kwa ajili ya huduma za kijamii ya zaidi ya Tsh. Bilioni 200 lakini huduma hizo hazionekani, pia inadaiwa anajiandaa kufungua kesi Mahakamani dhidi ya Serikali akidai nyongeza.
Duh, Nyumbu kama Nyumbu!!!Acha alipwe tu ,mbona yeye Bulaya analipwa pesa wakati siyo mbunge!
Mtu hawezi kusemwa kwa mabaya na kila mtuHasa huyu Makamba jr,ni janga la taifa,mradi ukamilishwe na kina Kalemani yeye awe Star