Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Serikal yetu ina matanuzi makubwa mno, yanaelemea budgethata kwa mkurugenzi nchi maskini kama Tanzania kutumia V8 ya million 500 inaonyesha tulivyokosa akili
Vipi kwa wabunge kutumia magari aina hiyohiyo?hata kwa mkurugenzi nchi maskini kama Tanzania kutumia V8 ya million 500 inaonyesha tulivyokosa akili
Uko sahihi 100%hata kwa mkurugenzi nchi maskini kama Tanzania kutumia V8 ya million 500 inaonyesha tulivyokosa akili
Wale nasikia wanayalipia sio bure, doubt it thoughVipi kwa wabunge kutumia magari aina hiyohiyo?
Hela wanazolipia ni mishahara itokanayo na kodi za wananchi.Bora hata hao wakurugenzi hutumika kukusanya mapato na kusimamia utendaji wa shughuli za maendeleo katika maeneo yao.Hao wabunge wanazalisha nini zaidi ya kupigia makofi wageni wanaotembea kwenye jengo la bunge?Wale nasikia wanayalipia sio bure, doubt it though
Wanalilia magari.Wamejawa roho mtakachafu muda wote.Hoja nyepesi sana, na wanaacha mambo mazito ya kitaifa.. Hii nchi bana
Tatizo la kuwa na viongozi washirikiana wenye kuamini nguvu za gizaWanalilia magari.Wamejawa roho mtakachafu muda wote.
Huyu nae atulie ale kwa urefu wa kamba yake!! Sio wagurugenz pekee hata wabunge hawastahili kutembelea V8!! Kwa lipi haswa mpaka watembelee V8?Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amepongeza hatua za Serikali za kubana matumizi kupitia mapendekezo ya bajeti mpya, akieleza kuridhishwa na uamuzi wa kuondoa baadhi ya tozo kwa magari yanayotumia gesi na vifaa vya kielektroniki. Amesema hatua hiyo pamoja na mpango wa taasisi za umma kutumia magari ya umeme na gesi itasaidia kupunguza matumizi ya mafuta na kuelekeza fedha zaidi kwenye miradi ya maendeleo.
Akichangia Bajeti ya Serikali katika Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Hamsini leo Juni 16, 2026, Bulaya alihoji matumizi ya magari ya gharama kubwa ya aina ya V8 kwa baadhi ya watumishi wasiostahili kuyatumia kwa mujibu wa majukumu yao. Alisema matumizi hayo yanaongeza mzigo wa gharama za mafuta wakati Serikali inaendelea kutafuta mbinu za kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
"Lakini Mhe. Waziri usiishie hapo. Hivi mimi najiuliza, mtu sio mkurugenzi wa taasisi, sio mkurugenzi wa maeneo mbalimbali, hivi anatumia V8 ya nini? Ambazo zinatumia gharama kubwa kwenye mafuta."