Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!


Pole sana Mheshimiwa Masi Lambo. Jinsi ulivyojibu kwa hisia, nakuelewa na kuelewa mazingira uliyokuwemo.

Ninachoweza kusema, usikate tamaa haluta kontinua.

La mwisho: Ukishindwa kupambana nao, jiunge nao. Nafikiri huko ndiko Mwinyi alikojisalimisha nako, baada ya vita alivyopigana Nyerere kukiri kuwa hatashinda. Na hata Nyerere mwenyewe alimuunga mkono, na ni safari iliyodumu mpaka leo. Ikiwa pamoja na soko huria, kuita wawekezaji, kuanzisha vyama vingi (demokrasia) nk. Hivi vyote mlango Wake ulifunguka wakati wa Mwinyi.
 
Sasa mnapokea misaada yao ya nini wakati mnajua ni wabaya?
Mkuu Mimi huwa sibishani hovyo wewe amini unachokiamini tu mkuu hakuna taabu
 
We robota unakula matunda ya uvuvuzera hata Idd Amini alikua na majitu mengi kama wew hivyo hatuwez kuelewana.Endeleaa kutoa maushuzi
 
Sawa aendelee kupandwa na mabeberu ila akumbuke kuoga akimaliza
 
ENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.’ hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za UBUNGE wako na kuukomesha. JUU YA KIBURI CHAKO NA KUSAHAU UNAMTIKIA NANI.
 
Mzee sasa umeanza kutulisha matango pori. Umesema huyu bwana mkubwa ameenda shule??? Jamani watu walioenda shule wanafanana hivyo kweli?
 
"Huo ndio mtizamo wake. Inabidi uuheshimu"
 
Ndugu zangu Watanzania kuna mbunge yeye amekiri hadharani bora atumikie Mabeberu kuliko kutumikia serkali. Amesema yeye anaona fahari zaidi kutumikia Mabeberu

Huyu ni Kiongozi mwakilishi wa Wananchi, analipwa mamilion kila mwezi. Lakini kwa dharau anatuambia anaona fahari kutumika na Mabeberu.

Nauliza tu kisheria hawezi kupoteza ubunge wao? Ni kweli demokrasia tu imemfanya awe na kiburi kiasi hiki? Au kuna watu kutoka nje wanamtumia kuharibu Amani ya Nchi yetu! Kwanini vyombo vya dola visimuhoji?
 
Ulikokuwa sisi hatukuweko, kwa nini usitaje jina moja kwa moja badala ya kuandika kama riwaya?
 
Bulaya nilikuwa namuona ni mtu anayejielewa kichwani kumbe wale wale km walioko Chadema

Mbunge unawakilisha Wananchi unaropoka vitu vya hovyo hovyo
Kama ni hako, ni ka mtu ka hovyo tu! Ufahamu ni mdogo. Huyo ni mmoja wa watu wanaojifanya kama mnyama wa mwituni, yaani asifiwe kwa ushujaa wa kushambulia wengine badala ya kutumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…