Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Mtu anayewakilisha Wananchi hawezi kutumika na Mabeberu

Bulaya ameonyesha ujinga wa hali ya juu

Tunamwonyesha hasira zetu October
wacha kutumia akili vibaya! meko alipokuambia mjifukize watu hawakujifukiza?? je waipojifukiza hawakufa ?? wahakuugua? hii li kolona lipo na linachinja kwelikweli..... kama hispania...usa....england....rusia..egypt... n.k hili dude linawatesa vbaya mno ww undhani tz lisitutese kwa nn?
 
Mwanamke yeyote akiwa anasagana ndo anavyokuwa

 
Nini kitamuua?
Hakuna Cha kumuuwa labda atake MUNGU tu na hizo porojo zenu eti raisi ajitokeze ajitokeze wapi? Mtaa wa ufipa au mloganzila? Bungeni? Au azurure tu Kama DJ makengeza? Mnataka inchi hata utaratibu wa uongozi hamuujui, uraisi sio sawa na kushika santuri bilicanas
 
We robota unakula matunda ya uvuvuzera hata Idd Amini alikua na majitu mengi kama wew hivyo hatuwez kuelewana.Endeleaa kutoa maushuzi
Msukule hujielewi upo upo tu umekuwa tarumbuta la DJ makengeza hujui hata unachokibishia
 
Mzee sasa umeanza kutulisha matango pori. Umesema huyu bwana mkubwa ameenda shule??? Jamani watu walioenda shule wanafanana hivyo kweli?
Kama dj mbowe kapata ziro unamuonaje alivyokufanya msukule wake[emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Bulaya nilikuwa namuona ni mtu anayejielewa kichwani kumbe wale wale km walioko Chadema

Mbunge unawakilisha Wananchi unaropoka vitu vya hovyo hovyo
Mtu anae jielewa ataolewa na mwanamke mwenzake?
 
Msukule hujielewi upo upo tu umekuwa tarumbuta la DJ makengeza hujui hata unachokibishia
Your mental falcuty is egantly detrimental.Kubishana na jitu kama wew bwabwa ni kuharibu reputation ya great thinkers humu.
 
Huyo hawezi kwenda kujificha hai vijijini

Magufuli ni raisi wa aina gani ambae anakimbia ikulu na kwenda kujificha kwake kijijini
Umeumia kiasi mheshimiwa kwenda likizo?
 
Mwenye busara hujua lipi lakujibu kwa kauli, lipi linajibiwa kwa ukimya.
 
Kwel ww chizi hukuona zle ziara zake zczokuwa na idadi huku akiwanunulia watu mapapai au ulikuwa mdogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…