Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Does that justifies our failure to tackle our own problems and ending up on begging everything?
You talk about problems where those problems came from, Is it because of Europe exploitation? Is this not the source of underdevelopment, poverty, Ignorance and hunger in Africa?

Africa was became the hunting ground is this not the source of Europe development?

If new colonial project is true, how can we going to tackle our own problems?
 
Tatizo ni kuwa hawashauriki,ukijaribu kuwakosoa/kuwashauri unapewa kesi ya uchochezi,kutakatisha fedha,uhujumu uchumi au haya watakuteka/kushambuliwa na wasiojulikana.
Hawa jamaa huwa wanajiamini kuwa wao tu ndiyo wapi sahihi.
Ume sahau kitu, utapimwa mkojo na choo kubwa bila ugonjwa
 
Sio ngonjera, ametoa yaliyo moyoni mwake.Mbumbumbu tu ndio hawata elewa alicho wakilisha.
 
Kabisa, binafsi pia siwezi kutumikia kiongozi mpumba**
 
Mungu tuepushe na viongozi aina hii ya chadema. Watu ambao wanaabudu ngozi nyeupe kuliko uwezo uliotubariki nao.
 
Kwani aliye tuuza utumwani alikuwa ni nani mkuu?, si ni hawa waarabu unao waseme walikuja kutafuta mali au sio hao? Hizo mali si ni pamoja na sisi hujui kuwa tulikuwa mali mkuu?

Contemporary mode of government?!!?
Kwani kabla ya ukoloni, slave trade ilikuwa kipindi gani mkuu??
 
Kila siku nasema chadema ni kikundi cha wahuni mnapinga Leo muhuni mmoja anaibuka nakusema alichosema inashangaza sana MUNGU anawaumbua Sasa wanakiri waziwazi kazi kwenu wapiga kura
 
Bulaya amethibitisha alichokuwa anashutumiwa lisu kushirikiana na mabeberu dah chadema kweli ma traitors
 
Bulaya anajisahau sana,hata ukiwa mpinzani kuna makombora ya kurusha
Huko ni kujivua nguo hadharani

Ukienda kuwaomba msaada wewe ni WAFADHILI, Nikienda kuzungumza nao mimi ni MABEBERU. Kweli Tanzania haina muelekeo wala DIRA.

Msikilize mkuu akisema hivi kwa Mabeberu: WAISRAELI WOTE MILIONI 5 WAPEWE URAIA WA TANZANIA. Maneno haya angesema Bulaya pangechimbika hapa.

Changieni kwa usawa.......
 
Wewe ulitakaje labda kwa mfano?
 
Hiyo ni self hatred - slave mind. Yaani Bulaya anajichukia na kumhusudu mkoloni mambo leo/beberu! It is a pity! Brainwashed
 
Bulaya amethibitisha alichokuwa anashutumiwa lisu kushirikiana na mabeberu dah chadema kweli ma traitors

"WAISRAELI WOTE WAPEWE URAIA WA TANZANIA" Alisema mkuu. sina hakika kama huu ni uzalendo au vipi.......

Tafakari.........
 
"WAISRAELI WOTE WAPEWE URAIA WA TANZANIA" Alisema mkuu. sina hakika kama huu ni uzalendo au vipi.......

Tafakari.........
Kupewa uraia ni tofauti na alicho sema bulaya hata hapa Tanzania Kuna maelfu ya watu wamepewa uraia kwa kuomba kwa kuzaliwa nk ishu nikuwa je Ni Bora uzalendo wako au Bora kumtumikia beberu Kama anavyoona bulaya?
 
Mpenda mabeberu
Kuliko jiwe bora beberu anaelement za kibinadam.Nyie shangilien tu jiwe tu km mizombie.Eti wanatumika na mabeberu what a senseless statement yaan watu wapo busy kupambana na maisha ya watu wao na wengine dunian waanze kumfikuria mtu km jiwe anayewategemea misaada.Hata km mnalipwa au umepewa vyeo km Mwigulu tumia common sense kuelewa propaganda za pindi anapotetea upuuzi wake huku taifa likiangamia.
 
Kupewa uraia ni tofauti na alicho sema bulaya hata hapa Tanzania Kuna maelfu ya watu wamepewa uraia kwa kuomba kwa kuzaliwa nk ishu nikuwa je Ni Bora uzalendo wako au Bora kumtumikia beberu Kama anavyoona bulaya?

Ndugu sOma between the lines. Amesema woteeeeeee bila kuangalia vigezo. Yaani si kisheria bali kwa mapenzi yake, alivyowapenda MABEBERU HAO. WOTE MILIONI 5 BILA KUACHWA HATA MMOJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…