Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Unaonaje Jeshi la Polisi wakati huu wa kampeni liende likizo kwa siku moja tu kila mtu afanye analotaka?
 
Hii imesikitisha sana watu wote. Hawa polisi wanafikiri kwa kutumia kitu gani? Sirro anayaona haya na anakaa kimya?
 
Tuendelee kurekodi matukio haya kwa kuonyesha sura zao dunia yote ione. Hiyo ndiyo dawa yao hawa.
 
Wewe wala sitakujibu maana huna unachokijua , Dotto Rangi moto alichukuliwa na mabunduki mengi kuliko hata haya ya Tarime , lakini umefuatilia kesi aliyopewa ? kashitakiwa kwa kumtumia hawara ake picha ya ngono !
Umesha ni jibu tayari japo ujajibu swali nililo uliza , Punguza mihemko ya kisiasa twende Sawa mkuu
 
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?!
 
Hivi kweli katika nchi iliyostarabika na katika kipindi tata kama hiki askari mwenye nembo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aweza kufanya hivi kwa RAIA?

Tena Mbunge mgombea wa jimbo la Tarime mjini anayeheshimika?
Hivi angeweza kumtendea hivi mgombea ubunge wa CCM mfano mgombea wa Tanga Mjini au Mchinga?

Kwa nini wa Tarime ? Na kwa nini sio IGP au msimamizi wa uchaguzi Tarime aliyezungumzia hili?

Hakika huyu askari ni wa kupeleka Mahakamani na kufukuza kazi kabisa.

Your browser is not able to display this video.
 
Haya mambo tulikua tunaona kwenye video tu Sasa yanatoka hapa hapa Tanzania
Magufuli anatakiwa ajifunze
 

Attachments

  • IMG_20201015_054818.jpg
    100.9 KB · Views: 2
Hamna tatizo atapewa haki zake zote kwa mujibu wa katiba iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Ndo katiba ya JMT inasema mtu kabla ya kusomewa mashitaka na kukubali akamatwe hvyo kwa vurugu eti?? Kama adi apo tayari hakuna haki unasemaje itafuatwa....
 
Ukimuoa polisi anaishi maisha magumu baada ya kustaafu usimuonee huruma huyo analipwa matendo yake mabaya aliyowatendea watu alipokuwa kazini. Uzitumia nafasi zao Kama sehemu ya kuumizia watu.
 
Huyo Ester naye mnafiki tu. Anajifanya kujiweka katikati ili abutuliwe na askari atafute cha kubwabwaja kwa mabeberu. Mkiambiwa kutii sheria bila shuruti hamuelewi au?
Unazani utaitetea CCM milele ni suala la mda tu.
 
Hakuna smart hapo wanalindwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…