Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Acha ujinga, sheria hizo zinamtaka akiona polisi akimbie? Tatizo hapo ni kukimbia. Mbona mwenzake hajasumbuliwa? Aibu mwanaume unakimbia polisi unakimbilia kwa mwanamke. Jinga kabisa.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ni hatari hii wanakamata mtu kinguvu ivo ka hawakufunzwa vile do[emoji33]
Have you proved that he is suspected criminal?Hizi ni fikra za ajabu sana. Where on earth does a police force negotiate terms of arrest with a suspected criminal?
Manyumbu mko wachache hamuwezi kuwazidi raia wema. Uwezo wakuwadhibiti tunao tunasubiri muingie barabarani.Inawezekana jirani zako hawana Tv kwasababu ungekua unaenda kuchungulia majeshi inchi zingine hawana hamu yakula kwasababu yanini.Shida haujuwi ratio ya asikari kwa raia ni ipi....Man up.
Hivi kweli katika nchi iliyostarabika na katika kipindi tata kama hiki askari mwenye nembo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aweza kufanya hivi kwa RAIA?
Tena Mbunge mgombea wa jimbo la Tarime mjini anayeheshimika?
Hivi angeweza kumtendea hivi mgombea ubunge wa CCM mfano mgombea wa Tanga Mjini au Mchinga?
Kwa nini wa Tarime ? Na kwa nini sio IGP au msimamizi wa uchaguzi Tarime aliyezungumzia hili?
Hakika huyu askari ni wa kupeleka Mahakamani na kufukuza kazi kabisa.
View attachment 1600619
View attachment 1600682
Huyu polisi amechukuliwa hatua gani?!! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu!
kweli ungefurahia kumwona dada yako au ndugu yako yako yoyote anafanyiwa kitendo hiki?!! Hili halihitaji uchama wala kundi lolote kulipinga. Haiwezekani waliopewa dhamana ya kutulinda na kusimamia sheria ndio wanatenda tendo la aibu kiasi hiki na sisi tunanyamaza kimya.
HII NI NAJISI YA KIKOSI KIZIMA CHA POLISI IKIWA HUYU POLISI HATA CHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU NA KISHERIA!!!
Hii sio haki,hata kama wana makosa wawakamate kwa ustarabu kama sheria inavyosema.
Kama tuko wachache kwanini munatumia wasanii kila mzee wenu akitaka kwenda ?Mh Lissu yeye ni point tuu but mafuriko yake kila kukicha mzee wenu anashinda gareji huoni upo myopic???Panyaroad tuu aliwakukulia kulia mda mrefu kudhibitiwa sasa ngoja tuone 13 days to go ....hata Chato wakaleta resistance mwisho washiku unajuwa wewe kama upo well updated.With your green brains now mupo useless kwaherini mapaka shume nyie.Manyumbu mko wachache hamuwezi kuwazidi raia wema. Uwezo wakuwadhibiti tunao tunasubiri muingie barabarani.
Itazame vizuri hio video Askari mwenye kibegi cha kijivu akimpiga dole matiko Hadi matiku akashtuka kumuangalia aliyempiga dole,uoni hapo mlengwa ni matiko kumprovoke ili wamtafutie kesi.
Mnapotumwa Kazi na ccm akili zingine muwe mnaziacha hata nyumbani Sasa hapo hata Askari mwenyewe kajidhalilisha na familia yake.Labda Kama mnafundishwa uhuni chuoni siku hizi.Lakin hairuhusiwi kumdhalilisha mtuhumiwa
Subiria mama yako apigwe dole na police mbele yako in public way usianze kulalamikaIla matiko yeye hajalalamika kupigwa dole, we inakuwaje unalalamika?
Huyu baunsa na miwani yake mbona kama kaganda ivi? Badala yakumsaidia mwenzie au nae ni police
Acha mbwembwe tukutane oct28. Ndipo utajua mpo wachache. Hii mitandao isikudandanye utakufa siku sio zako.Kama tuko wachache kwanini munatumia wasanii kila mzee wenu akitaka kwenda ?Mh Lissu yeye ni point tuu but mafuriko yake kila kukicha mzee wenu anashinda gareji huoni upo myopic???Panyaroad tuu aliwakukulia kulia mda mrefu kudhibitiwa sasa ngoja tuone 13 days to go ....hata Chato wakaleta resistance mwisho washiku unajuwa wewe kama upo well updated.With your green brains now mupo useless kwaherini mapaka shume nyie.
Mimi ningekufa au ningeua .
Subiria mama yako apigwe dole na police mbele yako in public way usianze kulalamika
Hivi mikutano Mh Lissu anafanyia kwenye mitandaoni?? upo illogical sana kwanini kada? Ok lets wait and see.Acha mbwembwe tukutane oct28. Ndipo utajua mpo wachache. Hii mitandao isikudandanye utakufa siku sio zako.
Nileteeeni GwajimaaaaaaKwaiyo kama iko shida mahali ndo akamatwe vile, kama jambazi kama sio mtanzania.
Kama tuko wachache kwanini munatumia wasanii kila mzee wenu akitaka kwenda ?Mh Lissu yeye ni point tuu but mafuriko yake kila kukicha mzee wenu anashinda gareji huoni upo myopic???Panyaroad tuu aliwakukulia kulia mda mrefu kudhibitiwa sasa ngoja tuone 13 days to go ....hata Chato wakaleta resistance mwisho washiku unajuwa wewe kama upo well updated.With your green brains now mupo useless kwaherini mapaka shume nyie.
Tunakuuliza angemfanyia hayo mgombea ubunge jimbo LA Mchinga mngesema hayo?Kama dada yangu au ndugu yangu wanafanya ujinga, ache wapate wanachostahili.
Polisi wapo kutimiza majukumu yao ya kumkamata mtuhumiwa, huyo dada anaingilia kuzuia, inafikiri atapata nini?
Nawe unasemaje,bora jiwe au bora beberuNdio.