Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Hizi ni fikra za ajabu sana. Where on earth does a police force negotiate terms of arrest with a suspected criminal?
Have you proved that he is suspected criminal?

Tunduma wanachama wa chadema pamoja na wagombea wa udiwani walivamiwa wakakamatwa hadi leo wako ndani na wamebambikiwa kesi.

Arusha polisi wamevamia ngome ya uratibu ya CHADEMA na kukamata wote waliokuwa hapo na kutoa taarifa kuwa ni wahamiaji haramu.

Tarime kwa John Heche wamevamia na kuwakamata wote waliokuwa hapo na computer walizokuwa wanatumia hadi leo hakuna maelezo ya kujitosheleza.

Mgombea mwingine Christina Ruge, amepeleka malalamiko tume ameenda kuulizia majibu ya malalamiko yake kavamiwa na polisi kapigwa hadi kulazwa hospital.

Mgombea wa Urais Chadema misafara yake kupigwa mabomu ya machozi kusimama kusalimia wananchi.

Kwa mifano hii michache polisi this time around wamevamia ofisi ya Mgombea wa Chadema Esther Bulaya, kwa utendaji wao kutokana na matukio hayo utakaa uwasubirie? At least alipokimbilia tukio limeonekana.

Masaa 24 yamepita umesikia taarifa yeyote ya polisi sababu ya kumkamata?

Kuwa upande unaonufaika na mfumo huu na kukejeli, kushambulia, kudhihaki wanaokuwa oppressed ni ukosefu wa akili wa kiwango cha juu. Hivi CCM hamuoni kweli? Mnajitoa ufahamu au ni wapumbavu?

In any injustices there is no neutrality, being neutral is siding with the oppressor.

Nyie hata unafiki hamna mnaonyesha jinsi mlivyo, ila kusaliti amani mnaisaliti Tanzania. Na uzalendo siyo kusupport walio madarakani bali maslahi ya nchi. Ila wakati ni mwalimu mzuri mark my words shabikieni udhalimu
 
Inawezekana jirani zako hawana Tv kwasababu ungekua unaenda kuchungulia majeshi inchi zingine hawana hamu yakula kwasababu yanini.Shida haujuwi ratio ya asikari kwa raia ni ipi....Man up.
Manyumbu mko wachache hamuwezi kuwazidi raia wema. Uwezo wakuwadhibiti tunao tunasubiri muingie barabarani.
 
Mpeleke mahakamani, maneno kila siku yaleyale tu, hebu tutee mfano kwa hiyo askari
Hivi kweli katika nchi iliyostarabika na katika kipindi tata kama hiki askari mwenye nembo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aweza kufanya hivi kwa RAIA?

Tena Mbunge mgombea wa jimbo la Tarime mjini anayeheshimika?
Hivi angeweza kumtendea hivi mgombea ubunge wa CCM mfano mgombea wa Tanga Mjini au Mchinga?

Kwa nini wa Tarime ? Na kwa nini sio IGP au msimamizi wa uchaguzi Tarime aliyezungumzia hili?

Hakika huyu askari ni wa kupeleka Mahakamani na kufukuza kazi kabisa.

View attachment 1600619
 
Kama dada yangu au ndugu yangu wanafanya ujinga, ache wapate wanachostahili.
Polisi wapo kutimiza majukumu yao ya kumkamata mtuhumiwa, huyo dada anaingilia kuzuia, inafikiri atapata nini?
View attachment 1600682
Huyu polisi amechukuliwa hatua gani?!! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu!

kweli ungefurahia kumwona dada yako au ndugu yako yako yoyote anafanyiwa kitendo hiki?!! Hili halihitaji uchama wala kundi lolote kulipinga. Haiwezekani waliopewa dhamana ya kutulinda na kusimamia sheria ndio wanatenda tendo la aibu kiasi hiki na sisi tunanyamaza kimya.

HII NI NAJISI YA KIKOSI KIZIMA CHA POLISI IKIWA HUYU POLISI HATA CHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU NA KISHERIA!!!
 
Kukamatwa kistaarabu ndio kukoje? Abembelezwe?
Asingekimbia wala hata wasingemkata kinguvu hivyo, huyo anaonekana sio mstaarabu na kitendo tu cha kukimbia ni uthibitisho kuwa alikuwa hataki kutii amri ya polisi.
Hii sio haki,hata kama wana makosa wawakamate kwa ustarabu kama sheria inavyosema.
 
Manyumbu mko wachache hamuwezi kuwazidi raia wema. Uwezo wakuwadhibiti tunao tunasubiri muingie barabarani.
Kama tuko wachache kwanini munatumia wasanii kila mzee wenu akitaka kwenda ?Mh Lissu yeye ni point tuu but mafuriko yake kila kukicha mzee wenu anashinda gareji huoni upo myopic???Panyaroad tuu aliwakukulia kulia mda mrefu kudhibitiwa sasa ngoja tuone 13 days to go ....hata Chato wakaleta resistance mwisho washiku unajuwa wewe kama upo well updated.With your green brains now mupo useless kwaherini mapaka shume nyie.
 
Ila matiko yeye hajalalamika kupigwa dole, we inakuwaje unalalamika?
Itazame vizuri hio video Askari mwenye kibegi cha kijivu akimpiga dole matiko Hadi matiku akashtuka kumuangalia aliyempiga dole,uoni hapo mlengwa ni matiko kumprovoke ili wamtafutie kesi.
Mnapotumwa Kazi na ccm akili zingine muwe mnaziacha hata nyumbani Sasa hapo hata Askari mwenyewe kajidhalilisha na familia yake.Labda Kama mnafundishwa uhuni chuoni siku hizi.Lakin hairuhusiwi kumdhalilisha mtuhumiwa
 
Hao wanaovaaga miwani meusi wengi famba tu, hawana lolote. Alafu sijui nani aliwaambia chadema kuwa walinzi wakiwa weusi wakavaa miwani meusi basi ndio wanakuwa walinzi wazuri
Huyu baunsa na miwani yake mbona kama kaganda ivi? Badala yakumsaidia mwenzie au nae ni police
 
Kama tuko wachache kwanini munatumia wasanii kila mzee wenu akitaka kwenda ?Mh Lissu yeye ni point tuu but mafuriko yake kila kukicha mzee wenu anashinda gareji huoni upo myopic???Panyaroad tuu aliwakukulia kulia mda mrefu kudhibitiwa sasa ngoja tuone 13 days to go ....hata Chato wakaleta resistance mwisho washiku unajuwa wewe kama upo well updated.With your green brains now mupo useless kwaherini mapaka shume nyie.
Acha mbwembwe tukutane oct28. Ndipo utajua mpo wachache. Hii mitandao isikudandanye utakufa siku sio zako.
 
Acha mbwembwe tukutane oct28. Ndipo utajua mpo wachache. Hii mitandao isikudandanye utakufa siku sio zako.
Hivi mikutano Mh Lissu anafanyia kwenye mitandaoni?? upo illogical sana kwanini kada? Ok lets wait and see.
 
Kwaiyo kama iko shida mahali ndo akamatwe vile, kama jambazi kama sio mtanzania.
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno yashakuwa kama ngonjera, hapo unaona kabisa mlinzi kakamatwa mbele ya watuw wenu na polisi wako wachache tu, ila mmeshindwa kuresist mnaenda twitter kulialia.
Lema naye watu wameingia ofisini kwake wakawachukua wasaidizi, hakuna mlilofanya zaidi ya kulialia. Lema alijua arusha wataandamana kumtetea? Watu wenyewr nyie mmejificha nyuma ya keyboard?
Maneno mengi vitendo 0, mnaudhi
Kama tuko wachache kwanini munatumia wasanii kila mzee wenu akitaka kwenda ?Mh Lissu yeye ni point tuu but mafuriko yake kila kukicha mzee wenu anashinda gareji huoni upo myopic???Panyaroad tuu aliwakukulia kulia mda mrefu kudhibitiwa sasa ngoja tuone 13 days to go ....hata Chato wakaleta resistance mwisho washiku unajuwa wewe kama upo well updated.With your green brains now mupo useless kwaherini mapaka shume nyie.
 
Kama dada yangu au ndugu yangu wanafanya ujinga, ache wapate wanachostahili.
Polisi wapo kutimiza majukumu yao ya kumkamata mtuhumiwa, huyo dada anaingilia kuzuia, inafikiri atapata nini?
Tunakuuliza angemfanyia hayo mgombea ubunge jimbo LA Mchinga mngesema hayo?
MTU mzima acha kuwa mpumbaf!
 
Je, masaa 24 hayajapita Tangu wamkamate?! Kuna ripoti au taarifa yeyote ya polisi kuhusu kumshikilia huyo mlinzi?! Hii inaonyesha kwamba mlinzi alikuwa sahihi kukimbilia ndani ili watu wote washuhudie tukio la kukamatwa kwake la sivyo polisi wangetokomea naye kusikojulikana na baadae waseme mlinzi alijiteka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom