Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Yaani hawa polisi wataacha watu wakapige kura za hasira,kura za huruma na kura za kulipa visasi dhidi ya uonevu

HII HAIJAKAA VIZURI,NCHI HII NI YETU SOTE
Msipende kumgeza Mbeligiji kila kitu,mwachane yeye ndiyo awe anabishana na police wale wanajuwana!! Wengine tutii Sheria bila shuruti ili tudumishe Amani yetu!!
 
Msipende kumgeza Mbeligiji kila kitu,mwachane yeye ndiyo awe anabishana na police wale wanajuwana!! Wengine tutii Sheria bila shuruti ili tudumishe Amani yetu!!
Mbeligiji amefikaje hapa mkuu. Anzisha uzi wa huyo mbeligiji wako
 
Mabeberu washakulemaza. Umekuwa mtumwa kamili.
Mi nakujibu kiswahili wewe unaniandikia sijui makorokocho gani....
Lukobha ghwa nyoko!
kwanza kusema" No mothers ,No fathers, No uncles ,We are in laiti directions ,peoples used tu dai " kama vile Magufuli aliongea mbele ya Rais wa Malawi Dr Chakwera mabeberu ya meshamulemaza???kidhungu nyie niabu tupu lakini masome yetu yote nchini yapo kwa English.Foolish young boy.
 
Huyo askari anaonekana amemdhalilisha Matiko kwa makusudi anamtia dole kwenye makalio tena kwa uwazi kabisa. Hapana hili haliwezi kuachwa hivi hivi!
Hoja Kuu kwenye video ni Mlinzi kuwakimbia Askari na hatimae kakamatwa!!
 
Inawezekana jirani zako hawana Tv kwasababu ungekua unaenda kuchungulia majeshi inchi zingine hawana hamu yakula kwasababu yanini.Shida haujuwi ratio ya asikari kwa raia ni ipi....Man up.
Acha maneno mengi hapa, Maandamano ya Mange Kimambi mlijifungia ndani mkamuacha Dada wa watu akaandamana peke yake huko kwao Marekani!!
 
Acha maneno mengi hapa, Maandamano ya Mange Kimambi mlijifungia ndani mkamuacha Dada wa watu akaandamana peke yake huko kwao Marekani!!
kwanza mulisema Lissu haji sio? amekuja..mulisema akifika tuu atakamatwa mumeweza?Mondi akikata tuu mauno watu wanasepa .Mh Lissu amechemusha damu hakuna kurudi nyuma .Unaongelea habari za mrembo tuu ambaye aliku mbari nchini lakini alifanikiwa kuvitowa vifaru na ndege zakivita kambini...makunguru nyie lazima mnyoke msiempenda amekuja.Kwanza ilikuwa kosa lakiufundi kubali kapeni ziwe 60days ...hata siku tano tuu Lissu angewazika rasmi.
 
Kweli wewe ni bonge la boya. Kuongea kiingereza ni usomi?
Kiingereza kimekuwa ni hesabu?

Kutwa kucha kulialia ajira na elimuzenu za kukariri lugha
za watu.
Ushamba unawasumbua sana. Elimu za kuungaunga na ushamba ni aibu kwako. Lugha ya babu yako unaijua? Mpuuzi mkubwa!
 
Mwanamke kafanyiwa nn hapo? Au hujaelewa hata hiyo video inahusu nini? Huoni kama huyo Ester anazuia polisi wasifanye kazi yao when yeye mwenyewe hao polisi wala hawakuwa na mpango naye.
Inaonekana wewe unashikwa shikwa sana makalio na kwako Ni kawaida sana

Ama kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe
 
Kiswahili fasaha hujui. Wewe sio raia wa TZ
 
kwanini umeshindwa kuishauri serikali yako masoma yatoke kwenye English yaje kwenye kilugha chako?? acha kuwa muoga nani akakwambia mtu akiongea au kuandika kidhungu ni maajabu? sura kama ngedere anakula majani wewe.
 
l
Kiswahili fasaha hujui. Wewe sio raia wa TZ
Hujinga mumeshapandikizwa hata Kakobe mulisema ni raia haramu ,Nyani wewe raia wa Tz ni mtu ambaye anaongea kiswahili ??hivi msingi ulikanyaga?? sawa walete wa idara ya uhamiaji home yangu.Fisi weusi wewe.
 
lHujinga mumeshapandikizwa hata Kakobe mulisema ni raia haramu ,Nyani wewe raia wa Tz ni mtu ambaye anaongea kiswahili ??hivi msingi ulikanyaga?? sawa walete wa idara ya uhamiaji home yangu.Fisi weusi wewe.
Kiukweli unautanzania wa kuunga unga. Naamini hata kadi ya kura uliipata kihuni huni. Lugha yetu ya taifa ni Swahili na kiswahili hukijui. Ok lugha ya kijijini kwenu unaijua? Hii ni Tz mpuuzi wewe. Utaijua vizuri 28oct
 
Niliamua maishani siwapi nafasi watu kama wewe.
Umeamua kuamini ulichoamini. Kila la kheri maishani
 
Kama dada yangu au ndugu yangu wanafanya ujinga, ache wapate wanachostahili.
Polisi wapo kutimiza majukumu yao ya kumkamata mtuhumiwa, huyo dada anaingilia kuzuia, inafikiri atapata nini?
Kwa hili jibu lako, kuna tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu.
 
Kwanini huyu jamaa kakimbilia ndani? Hoko nje kafanyaje? Kwanini ameshikwa pekeake?
Hivi toka mchakato wa uchaguzi uanze umeishawahi kusikia polisi wamemkamata mwana CCM yeyote?

Au misafara ya wagombea wa CCM ikipigwa mabomu ya machozi na polisi?
 
Sasa wwe unaejua kitu unakimbiliaje kulaumu Jeshi la Police wakati hujajua hata huyo Mtuhumiwa kosa lake!? Au ndiyo Mahaba yanakupelekesha ress!?
Arusha polisi wamevamia ofisi ya Lema na kukamata waliokuwepo ndani hata wageni waliokuja kutafuta huduma.

Kwa John Heche Tarime pia polisi wamevamia na kukamata waliokuwepo na pc walizokuwa wanatumia kuratibu uchaguzi.

Hapa wamevamia ofisi ya Esther Bulaya bila search warrant wala maelezo, ukiwa wewe hutokimbilia ndani? Yule ni mlinzi wa Bulaya kwa nini wasimpe maelezo sababu wanayomchukulia? Kwa nini wanavamia ofisi za CHADEMA tu?

Masaa 24 yamepita umesikia sababu ya kumkamata ikitolewa na polisi?
 
Kwa sababu ya mlinzi wa ester kukamatwa???
Mlolongo wa matukio ya kukamatwa kwa viongozi, wagombea na wanachama wa vyama vya upinzani na kuwabambikia kesi. Wewe kwa akili yako unaona ni madogo?

Kweli kuna kuwa na akili na kuwa na akili za CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…