Mkuu, hivi alietiwa dole, tena kiongozi wa upinzani aache kulalamika hadi uje ulalamike wewe? kweli? hii ni ajabu coz hata Ester alimuangalia tu askari na kuendelea kuhoji. Kama angekuwa katiwa dole, pale pangechimbika. Matiko asingekubali kiboya vile. mi nina imani matiko alielewa kuwa ilikuwa bahati mbaya tena kuna uwezekano alimgusa sehemu ambayo sio unafikiria wewe. We unafanya masihara na dole? Tena publically, acheni masihara yenu nyie.
Labda uniambie ni demu wako huyo sasa unaona wivu.
Hata mimi sipendi mwanamke adhalilishe, ila kwa reaction aliyoonyesha matiko, ndio inanipa shida kuamini.