Mkuu hiyo ndio tofauti ya kuwa na akili na kuwa na akili za CCM, kwa CCM kuwa mpinzani hustahili kuishi, hustahili haki zako za msingi kwa mujibu wa katiba.Mwanamke muuaji wewe,una rohombaya,huna huruma na mwanamke mwenzio.
Waama wewe katika majuha unaongoza, hebu kwanza niambie unatumia ubongo huu huu kufikiria au kuna kiungo kingine?Lissu si aende police akafunguwe Jalada la Shambulio na atowe ushirikiano kwa Wapelelezi!!
Huna huruma una rohombaya ya kiuuaji Naunga mkono hoja, kitendo cha kuvamia makazi ya mtu bila maelezo na searching warrant ni kinyume cha police ethics.Nimemuua nani??? Nimuonee huruma kwani amefanyiwa nini kibaya?? Mlinzi wake kakamatwa ndio aonewe huruma? Au unajua kinachoendelea?
Jiangalie sana maana mwenyewe hujitambui wala kujielewa. Kama wewe ni mwanaume nitasikitika sana maana huwazi kama mwanaume wala mwanamke ila unawaza kama kasuku
Hapa napata picha ya kiwango Cha ukiukwaji wa haki hata kipindi hiki Cha uchaguzi,Ndio maana ni wakati wa kuidai haki zaidi kuliko wakati mwingine.Kwani kipindi hata kisicho Cha uchaguzi haki zimekuwa zikikiukwa kwa makusudi.Haya mambo ya ukatili wa kutisha yanayofanywa na maccm kea kushirikiana na polisiccm yanaudhi na kutia hasira sana. Na wale wahuni wa Tumeccm wako kimya kabisa huku wakiwa wamewaengua wagombea wengi wa Chadema pamoja na kuwafungia Mdee na Lissu kwa siku moja.
Ametumiza ndotoAskari wa pili kamtia dole la matako Esther Matiko
Ofisi ya Lema walivamia wakakamata waliowakuta ndani, wakapora pc pia. Hadi leo umesikia wamefikishwa mahakamani?Kwa nini unasema mwendelezo wa ubabe ? We unajua matiko amefanya nini?? Au hata akifanya kosa aachwe tu kwa sabab ni mgombea wa upinzani??
Kipimo cha haraka kumjua mpumbavu ni kauli ya mabeberu na vibaraka wao, early 70s nilisoma hadithi Kibanga kampiga mkoloni na tulimuona shujaa mnoooo.PENTAGON ndio kina Amsterdam. Chama cha Mbowe, vibaraka wa mabeberu hamna chenu oct 28.
Hili nalo litapita tu Ila awa askari watakuja kujichanganya kwa mcheza karate siku moja watachezea kichapo hatariTulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
kama huyo jamaa angekua sio jambazi asingewakimbia polisi yani kiuhalisia huyo ni muhalifu halafu unaeleta taarifa hii hapa nawe ni Muhalifu Pia maana unasema polisi wamemkamata na kumpeleka kusiko julikana kwani polisi wakimkamata muhalifu wana mpeleka wapi tofauti na kituo cha polisi? acheni ujinga kulaumu kwenu na kulalamika kwenu sio sababu ya nyie kufanya uhalifu na mkaachwa.
[/Color]
Kwani wewe ni mmoja wa walioshiriki tukio Hilo,mbona una mashaka Sana,zaidi ya yote mlifuata taratibu kwa mujibu was Sheria zetu.Ama ulipewa maelekezo kutoka juuu.
Kwa nini Raia kumkimbia Askari iwe inachukuliwa Sababu moja tu kuwa ni mhalifu !?.Haiwezi kuwepo Sababu nyingine zaidi ya hiyo !?.Kama wewe ni Polis basi Akili hata ya kuchunguza mambo madogo huna na ndio ninyi mnao wabambikia Raia wema kesi na kuumiza Maisha yao.Sababu moja pekee haiwezi kuhalalisha Kosa la Mtu hata Siku moja
Wewe mjinga sana katiba ya nchi hii ipo kwenye lugha gan?? mahakama zetu wanatumi lugha gani?? umepata wapi ujasiri wakuniuliza kijiji kwetu tunatumia lugha ngani ?Kiukweli unautanzania wa kuunga unga. Naamini hata kadi ya kura uliipata kihuni huni. Lugha yetu ya taifa ni Swahili na kiswahili hukijui. Ok lugha ya kijijini kwenu unaijua? Hii ni Tz mpuuzi wewe. Utaijua vizuri 28oct
Hii video imeanzia wap na je mbona jamaa anang'ang'ania geti hataki kwenda na sidhani kama police wanaweza kuja na kukukamata kwa namna hiyo police hutumia force endapo mtuhumiwa anapokaidi na kwenye hiyo video inaonyesha jamaa kakaidi ndomaana police wametumia force na asinge kaidi police wasinge tumia forceTulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Kwani wewe ni mmoja wa walioshiriki tukio Hilo,mbona una mashaka Sana,zaidi ya yote mlifuata taratibu kwa mujibu was Sheria zetu.Ama ulipewa maelekezo kutoka juuu.
Hii video imeanzia wap na je mbona jamaa anang'ang'ania geti hataki kwenda na sidhani kama police wanaweza kuja na kukukamata kwa namna hiyo police hutumia force endapo mtuhumiwa anapokaidi na kwenye hiyo video inaonyesha jamaa kakaidi ndomaana police wametumia force na asinge kaidi police wasinge tumia force
Kwakwel chadema mnaboa sana na kampeni zenu za kutia tia huruma 👿👿
CDM wameshatiwa kiburi na Mbeligiji hawataki tena kutii Sheria bila shuruti!! Na wasipo tii watashuritishwa tu hakuna namna!!Hii video imeanzia wap na je mbona jamaa anang'ang'ania geti hataki kwenda na sidhani kama police wanaweza kuja na kukukamata kwa namna hiyo police hutumia force endapo mtuhumiwa anapokaidi na kwenye hiyo video inaonyesha jamaa kakaidi ndomaana police wametumia force na asinge kaidi police wasinge tumia force
Kwakwel chadema mnaboa sana na kampeni zenu za kutia tia huruma [emoji49][emoji49]
CDM wameshatiwa kiburi na Mbeligiji hawataki tena kutii Sheria bila shuruti!! Na wasipo tii watashuritishwa tu hakuna namna!!
Mbona Mara nyingi tu sisi tunaingia kwenye anga zao hao police na tunatoka kilaini kabisa!! Dume zima utaogopaje police!? Kwani huko selo wanakula watu!?Hakuna anae tia huruma au kuomba hisani Mkuu ,tuna lalamikia ukiukwaji wa Haki zetu kama Raia na sio huyo Matiko tu Lissu kila wakati wana mnyeshea Mvua ya Mabomu ya machozi na Risasi za Moto ila wewe hulioni hili.Hawa hawa Polis kuna Siku utaingia kwenye anga zao kwa Sababu yeyote ile ndio utajuta.
Sasa kumbe mnajua kua kuna mpini na makali! Tii Sheria bila shuruti ili makali yasikukate!!Tunajua kuna wakati wa kulia na upo wakati wa kucheka ,twendeni tu wala hamna tabu Sababu mmeshikilia mpini.
Mbona Mara nyingi tu sisi tunaingia kwenye anga zao hao police na tunatoka kilaini kabisa!! Dume zima utaogopaje police!? Kwani huko selo wanakula watu!?