Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Tunajua kuna wakati wa kulia na upo wakati wa kucheka ,twendeni tu wala hamna tabu Sababu mmeshikilia mpini.
Vilevile Kama sheria inawalenga kundi Fulani,ama inatekelezwa kwa ubaguzi jua hiyo si Sheria bali matakwa ya kundi Fulani lililojipa mamlaka.
 
Vilevile Kama sheria inawalenga kundi Fulani,ama inatekelezwa kwa ubaguzi jua hiyo si Sheria bali matakwa ya kundi Fulani lililojipa mamlaka.

Kabisa Mkuu na nna kazia ,upo sahihi kabisa
 
Hakataliwi Beberuu kuja kuwekeza,mpango wa Magu ni Win Win situation kwa pande zote!!
 
Huyo Matiko yeye amlaumu huyo Muhalifu aliyekimbilia ndani mwake ndiyo kamponza,au Matiko ndiyo anafadhali Mtandao wa Wahalifu!?
 
Huyo Matiko yeye amlaumu huyo Muhalifu aliyekimbilia ndani mwake ndiyo kamponza,au Matiko ndiyo anafadhali Mtandao wa Wahalifu!?
Vipaji huwa vina Mambo muhimu tunayohitaji katika Manisha,au unasemaje kuhusu Hilo jkipaji.
 
Sasa wwe na Lissu aliyekuwepo eneo la tukio ni Nani!? Je unajuwaje Kama Lissu na Wapigaji wa Risasi wake wamesha ya Jenga ndiyo maana hata Lissu hataki tena kwenda kutoa ushirikiano kwa Wapelelezi!? Wwe unazani Police ni Malaika amabao wanaweza kuona tukio hata Kama hakuwepo kwenye tukio!? Upelelezi unaenda na information,bila information ya uhakika ukweli hauwezi julikana wwe!!
 
Inaonekana wewe unashikwa shikwa sana makalio na kwako Ni kawaida sana

Ama kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe
Sasa mbona unamjibu mwenzio kwa Jazba sana!? Vp Sindano yake imekuchoma sana!? Pole wwe!
 
Why police ampige dole matiko na asidili na wamtakae, pili alikataa wito wa kuitwa kituoni, sababu ya wasiojulikana Jamii Ina hofu hakuna anayekubali kufika tu unanyakuliwa juu kwa juu huu si utaratibu wa ukamataji huoni ni mitego hii
Kwanza Matiko nae ana kesi ya kuzuwiya Police wasifanye kazi yao!!
 
Mie sio mtanzania lakini nimechukizwa mno,aibu sana kwa CCM ,wanalikoroga sana naona wapo karibu kulinywa siku sio nyingi...watanzania msikubali upuzi kama huo nimeuona hapo kwenye video,inatia hasira kwa kweli.
 
Mbona unazidisha unyumbu? Hakuna ishu kwenye mikutano mikutano ni sanaa tu! Mbona Magufuli anafunika Kila anapoenda?
Ukweli upo kwenye box la kura ndipo kelele zenu zitapoishia. Hii ni nchi sio kijiwe. Ni kichapo kitakatifu 28 oct
Baeelezee bataelewa tu kwa Sanduku ya Kura 28oct!!
 
Why police ampige dole matiko na asidili na wamtakae, pili alikataa wito wa kuitwa kituoni, sababu ya wasiojulikana Jamii Ina hofu hakuna anayekubali kufika tu unanyakuliwa juu kwa juu huu si utaratibu wa ukamataji huoni ni mitego hii
Katika vidole vitano vya police,Kidole kipi kilichotumika kumpiga dole Matiko!? Hili swali lazima Hakimu ataliiuliza, mwambieni Matiko aandae jibu!!
 
Mkuu huo unaouita upuuzi umeletwa kama ushahidi vipi na wewe una ushahidi kuwa aliambiwa ajisalimishe lakin alipuuza?
Akikujibu naomba uniamshe maana CDM Wana vichwa vigumu sana kuelewa!!
 
Katika vidole vitano vya police,Kidole kipi kilichotumika kumpiga dole Matiko!? Hili swali lazima Hakimu ataliiuliza, mwambieni Matiko aandae jibu!!
Atapewa video hakimu aangalie ni kidole kipi
 
Akikujibu naomba uniamshe maana CDM Wana vichwa vigumu sana kuelewa!!
Huo ujasiri wa kutetea chama kilichokuzulumu haki zenu za nyongeza za mishahara mnapata vipi hamu ya kukitetea au ugumu wa life umedumaza fikra maana wengi kula tu ni Hadi wake zenu wauze mihogo
 
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani, mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Ukikimbilia ndani ndio unakamatwa bila polisi kueleza sababu za kukukamata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…