mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Hata angekuwa kafanya nini huwezi kuingia nyumbani kwa mtu na kuanza kumkusanya mtu bila ya maelezo yoyote na kuondoka nayeNini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Inategemea na mazingira,kama ni mbwai inakuwa bwai tu,mbele kwa mbele.mbona hawasemi sababu ilikuwa nini? Polisi sio wajinga,naamini kulikuwa na jamboHata angekuwa kafanya nini huwezi kuingia nyumbani kwa mtu na kuanza kumkusanya mtu bila ya maelezo yoyote na kuondoka naye
Kama tatizo niuchaguzi kunahajagani kufanya huo uchaguzi lakini wote kama wanatuomba sisi wananchi watutumikie huku kukabana kuumizana kunatoka wapiTulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Wewe naweeeeNINGEKUEA CCM KWA TUNAVYOBEBWA NINGEHAMA
Hamna tatizo atapewa haki zake zote kwa mujibu wa katiba iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Mtuhumiwa akiwakimbia police sheria inasema police wafanye nini??Hii ni aibu kwa jeshi la polisi...
Erythrocyte Easter Matiku si yuko hospitalini amelazwa baada ya kupigwa na askari wa kiume? Kapona lini na kurejea nyumbani? au hili ni tukio la siku nyingi?
Catherine Magige ndo Yupo hospital!Erythrocyte Easter Matiku si yuko hospitalini amelazwa baada ya kupigwa na askari wa kiume? Kapona lini na kurejea nyumbani? au hili ni tukio la siku nyingi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama wamemkimbiza kwanini asikimbie?
Sasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Nia bungeni kiingie chama kimoja kunasiri gani hapo baadaeNa kuna watu bado watampa kura jiwe, kuishi kwenye shithole kazi sana. Hivi kumshika mtu kwa upole mkasema uko chini ya ulinzi kwa sababu hii, twende kituoni, mkaondoka naye kuna tatizo gani? Mnavamia bila maelezo yoyote mnaanza kumvuta mtu kwa nguvu wengine na silaha, Nyerere aliongelea sana haya na jiwe toka liingie linajifanya smart nchi nzima
IGP kazi imemshinda , kwa jinsi askari wanavyowadhalilisha raia hana buda kuachia gazi!!!IGP anapaswa kuachia ngazi haraka
Kwanini huyu jamaa kakimbilia ndani? Hoko nje kafanyaje? Kwanini ameshikwa pekeake?Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Sasa wwe unaejua kitu unakimbiliaje kulaumu Jeshi la Police wakati hujajua hata huyo Mtuhumiwa kosa lake!? Au ndiyo Mahaba yanakupelekesha ress!?hujui kitu wewe
Kwa sababu ya mlinzi wa ester kukamatwa???IGP anapaswa kuachia ngazi haraka
Mwanamke muuaji wewe,una rohombaya,huna huruma na mwanamke mwenzio.Kwanini huyo mlinzi ameresist sana, kwani alikua na nini???
Pole Ester, Tusubiri habari kamili......
Sasa ndio umeandika nini? Amsterdam anaingiaje hapo?Nenda kalalamike kwa Amsterdam.
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Lissu si aende police akafunguwe Jalada la Shambulio na atowe ushirikiano kwa Wapelelezi!!unaweza kututajia sababu ya waliomshambulia Lissu kutotajwa hadi leo ?