Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Hata angekuwa kafanya nini huwezi kuingia nyumbani kwa mtu na kuanza kumkusanya mtu bila ya maelezo yoyote na kuondoka naye
 
Hata angekuwa kafanya nini huwezi kuingia nyumbani kwa mtu na kuanza kumkusanya mtu bila ya maelezo yoyote na kuondoka naye
Inategemea na mazingira,kama ni mbwai inakuwa bwai tu,mbele kwa mbele.mbona hawasemi sababu ilikuwa nini? Polisi sio wajinga,naamini kulikuwa na jambo
 
Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa

View attachment 1600019
Kama tatizo niuchaguzi kunahajagani kufanya huo uchaguzi lakini wote kama wanatuomba sisi wananchi watutumikie huku kukabana kuumizana kunatoka wapi
Jumwiya za kimataifa zikowapi hali hii inaendelea? Kama ingekuwa nitaifa kislam wangekuwa wameisha ingilia kati
 
Inasikitisha..
POLISI mnachosha.
POLISI,ccm na magufuli amani mnaichezea hii
 
Kama wamemkimbiza kwanini asikimbie?
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
 
Na kuna watu bado watampa kura jiwe, kuishi kwenye shithole kazi sana. Hivi kumshika mtu kwa upole mkasema uko chini ya ulinzi kwa sababu hii, twende kituoni, mkaondoka naye kuna tatizo gani? Mnavamia bila maelezo yoyote mnaanza kumvuta mtu kwa nguvu wengine na silaha, Nyerere aliongelea sana haya na jiwe toka liingie linajifanya smart nchi nzima
Nia bungeni kiingie chama kimoja kunasiri gani hapo baadae
 
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...

On pont . . . .
 
Back
Top Bottom