Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Huyo mlinzi bonge la bwege, eti kakimbilia kushika chuma, sasa ndio nini?
Mlinzi gani huyo laini laini anakimbilia kushika chuma? Alafu wakiwa humu jf, wanajifanyaga wajuaji, ooh hatutakubali, safari hii sasa basi, mara ooh polisi tutakula nao sahani moja. Haya hao wapo wamekubeba mbele ya mabodyguard wenzio
 
Kwa nini unasema mwendelezo wa ubabe ? We unajua matiko amefanya nini?? Au hata akifanya kosa aachwe tu kwa sabab ni mgombea wa upinzani??
 
Ukamati sio maungamo kwamba ukambembeleze....labda nikwambie, mpaka mtu anakamatwa ina maana kakataa kutui sheria bila shurti
 
Povu linaendelea kukuvua nguo
 
Kosa kubwa walilofanya wazungu ni kukubali kumpa mswahili uhuru na ndilo chimbuko la matatizo yetu hadi mwisho wa dahari.

Tungebaki chini ya ukoloni walau tungepata maendeleo lkn uhuru bandia huu tulionao ndio umetuponza na tutaendelea kuwa hivi hivi siku zote.
 
Haya ndiyo maendeleo ya serekali ya awamu ya 5 walioletewa wananchi si ajabu tukasikia amebambikizwa mauaji.
 
Safi sana ushahidi kama hii mtu hawesi kuchomoka....

Jitahidini sana hasa siku ya uchaguzi kuchukua evidence...

Hawa watu washachoka vibaya mno...
 
Nnafikiri hata hiyo 1961 tulikuwa hatujafikia hatua ya kujitawala... Mwalimu aliforce tu


Huyu wa sasa ndiyo katurudisha miaka 50 nyuma karibia na ujima...
 
Safi sana ushahidi kama hii mtu hawesi kuchomoka....

Jitahidini sana hasa siku ya uchaguzi kuchukua evidence...

Hawa watu washachoka vibaya mno...
Kyela tumejipanga kurekodi matukio kwa masaa 72 kila kituo
 
kachukuliwa na polisi. shida iko wapi,maana polisi ndio chombo kilichopo kisheria kinacho husu na ulinzi na usalama.
tuache tutajulishwa sababu ni nini na makosa yao ni nini, tusijenge tabia ya kulaumu bila kujua.
 
Ngoja nisake hela nying hii ntaikomesha vzur tu
 
Mwambieni Magufuli ASIWAJARIBU KABISA PENTAGON.

Pentagon wamekwisha kumuonya JIWE na hasikii, LUMUMBA mwambieni Mzee wenu PENTAGONI ni makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la Marekani.

Think Tank haina mchezo. Atabiduliwa
Acha ujinga tuko chini ya Marekani TZ
ni Nchi Huru
 
Wabongo maneno mengi vitendo less!! Yaani Mi ndiyo ningekua Boss wa huyo Mlinzi saa hizi kazi hana! Sasa hapo si Mlinzi ndiyo analindwa na Boss wake! Hahaahaahaa!!
 
Bado nasisitiza, hawa polisi familia zao tunaishi nazo, kwann hatuwezi kukamata mtoto au mke tia bisu la shingo! Watatia adabu hawa mbwa
Wahurumieni wake na watoto ktk visasi hivi. Wasiwe wahanga wa mambo wasiyoyajua, ni dhambi kubwa mno mbele ya Muumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…