Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Kila mtu awe na recorder hata kwenye nguo ya ndani na walinzi hivyo hivyo mbona zipo nyingi kila mmoja akifanya hivyo itasaidia kukusanya matukio ya ajabuajabu.
 
Haijalishi kama sababu ni kubwa au ndogo,ndio keshakamatwa hivyo.nadhani tungejua kilichotokea huko nje ndio tungejua.
Police wa ccm wako tayari kutii maagizo hata ya waganga wa kienyeji , usishangae ukiambiwa huyu mlinzi kaachiwa bila masharti yoyote , Iko hivi hawa walinzi wanafuatwa mara nyingi sana wakiombwa wawazuru viongozi wa chadema kwa kuwaua ama hata kuwawekea sumu kwa ahadi za kulipwa mamilioni , sasa wakigoma ndio mambo kama haya hutokea , anaweza kupewa hata kesi ya madawa ya kulevya
 
Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa

View attachment 1600019
Sasa huyo askari wa Ester alikuwa anakimbia nini? Lazima atakuwa kafanya kitu huko nje, na kwanini alikuwa anakata kwenda kituoni, na huyo Ester mbona mzushi kwamba Polisi wanataka kumshuti wakati inaonekana kabisa wanataka kumkamata na zaidi ya hapo alikuwa yeye Ester anawazuia Polisi kufanya kazi yao halfu baadae atasema askari wakiume wamenishika ziwa, wani zalilisha n.k
 
Au siyo??
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
 
Police wa ccm wako tayari kutii maagizo hata ya waganga wa kienyeji , usishangae ukiambiwa huyu mlinzi kaachiwa bila masharti yoyote , Iko hivi hawa walinzi wanafuatwa mara nyingi sana wakiombwa wawazuru viongozi wa chadema kwa kuwaua ama hata kuwawekea sumu kwa ahadi za kulipwa mamilioni , sasa wakigoma ndio mambo kama haya hutokea , anaweza kupewa hata kesi ya madawa ya kulevya
Sio kweli? Nani ana akili mbovu kuratibu mauaji kwa kutumia mtu siku hizi? Lazima utakamatwa tu,unadhani kuua mtu ni rahisi? Lazima uwe smart.hao walinzi njaa tu .hamna kitu linapokuja suala la mipango nyeti kama mauaji.hizo ni propaganda tu.hakuna kiongozi yoyote wa upinzani ambaye ni tishio kufikia kuuwawa na CcM.
 
Sio kweli? Nani ana akili mbovu kuratibu mauaji kwa kutumia mtu siku hizi? Lazima utakamatwa tu,unadhani kuua mtu ni rahisi? Lazima uwe smart.hao walinzi njaa tu .hamna kitu linapokija suala la mipango nyeti kama mauaji.hizo ni propaganda tu.hajuna kiongozi yoyote wa upinzani ambaye ni tishio kufikia kuuwawa na CcM.
unaweza kututajia sababu ya waliomshambulia Lissu kutotajwa hadi leo ?
 
unaweza kututajia sababu ya waliomshambulia Lissu kutotajwa hadi leo ?
Kwasababu wahusika hawatoi ushirikiano na polisi,hiyo ndio sababu ya kwanza,sababu ya pili walikuwa smart .hawakuacha track.....,sababu ya tatu hili tukio limefanywa kisiasa zaidi likimuhusisha mkuu wa nchi.sasa kama upinzani wanahisi fulani kahusika kwanini wasisaidie polisi?jamaa walimiss target lakini wapo smart.
 
Wewe naye unatoa majibu kama upo period!!
 
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Hata angekuwa kafanya nini huwezi kuingia nyumbani kwa mtu na kuanza kumkusanya mtu bila ya maelezo yoyote na kuondoka naye
 
Back
Top Bottom