Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Police wa ccm wako tayari kutii maagizo hata ya waganga wa kienyeji , usishangae ukiambiwa huyu mlinzi kaachiwa bila masharti yoyote , Iko hivi hawa walinzi wanafuatwa mara nyingi sana wakiombwa wawazuru viongozi wa chadema kwa kuwaua ama hata kuwawekea sumu kwa ahadi za kulipwa mamilioni , sasa wakigoma ndio mambo kama haya hutokea , anaweza kupewa hata kesi ya madawa ya kulevyaHaijalishi kama sababu ni kubwa au ndogo,ndio keshakamatwa hivyo.nadhani tungejua kilichotokea huko nje ndio tungejua.
Sasa huyo askari wa Ester alikuwa anakimbia nini? Lazima atakuwa kafanya kitu huko nje, na kwanini alikuwa anakata kwenda kituoni, na huyo Ester mbona mzushi kwamba Polisi wanataka kumshuti wakati inaonekana kabisa wanataka kumkamata na zaidi ya hapo alikuwa yeye Ester anawazuia Polisi kufanya kazi yao halfu baadae atasema askari wakiume wamenishika ziwa, wani zalilisha n.kTulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
hujui kitu weweIGP Sasa anaingiaje hapo!?
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Sio kweli? Nani ana akili mbovu kuratibu mauaji kwa kutumia mtu siku hizi? Lazima utakamatwa tu,unadhani kuua mtu ni rahisi? Lazima uwe smart.hao walinzi njaa tu .hamna kitu linapokuja suala la mipango nyeti kama mauaji.hizo ni propaganda tu.hakuna kiongozi yoyote wa upinzani ambaye ni tishio kufikia kuuwawa na CcM.Police wa ccm wako tayari kutii maagizo hata ya waganga wa kienyeji , usishangae ukiambiwa huyu mlinzi kaachiwa bila masharti yoyote , Iko hivi hawa walinzi wanafuatwa mara nyingi sana wakiombwa wawazuru viongozi wa chadema kwa kuwaua ama hata kuwawekea sumu kwa ahadi za kulipwa mamilioni , sasa wakigoma ndio mambo kama haya hutokea , anaweza kupewa hata kesi ya madawa ya kulevya
unaweza kututajia sababu ya waliomshambulia Lissu kutotajwa hadi leo ?Sio kweli? Nani ana akili mbovu kuratibu mauaji kwa kutumia mtu siku hizi? Lazima utakamatwa tu,unadhani kuua mtu ni rahisi? Lazima uwe smart.hao walinzi njaa tu .hamna kitu linapokija suala la mipango nyeti kama mauaji.hizo ni propaganda tu.hajuna kiongozi yoyote wa upinzani ambaye ni tishio kufikia kuuwawa na CcM.
Kwasababu wahusika hawatoi ushirikiano na polisi,hiyo ndio sababu ya kwanza,sababu ya pili walikuwa smart .hawakuacha track.....,sababu ya tatu hili tukio limefanywa kisiasa zaidi likimuhusisha mkuu wa nchi.sasa kama upinzani wanahisi fulani kahusika kwanini wasisaidie polisi?jamaa walimiss target lakini wapo smart.unaweza kututajia sababu ya waliomshambulia Lissu kutotajwa hadi leo ?
Hii ni series ya ngapi? Maana kwa kutengeneza matukio hamjamboJamani wagombea kuna tahadhari ilitolewa mywe making Kuna Heche , Msigwa , Lema , unknown men wametumwa kuwafuatilia .more information are coming.View attachment 1600090
Bro utamshika jambazi hivyo?Sasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Bro utamshika jambazi hivyoSasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Wewe naye unatoa majibu kama upo period!!Kwasababu wahusika hawatoi ushirikiano na polisi,hiyo ndio sababu ya kwanza,sababu ya pili walikuwa smart .hawakuacha track.....,sababu ya tatu hili tukio limefanywa kisiasa zaidi likimuhusisha mkuu wa nchi.sasa kama upinzani wanahisi fulani kahusika kwanini wasisaidie polisi?jamaa walimiss target lakini wapo smart.
Jibu nawewe tuoneWewe naye unatoa majibu kama upo period!!
Kichwani ni sehemu mbaya zaidi kufilisika, bora mfukoni!Sasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Hata angekuwa kafanya nini huwezi kuingia nyumbani kwa mtu na kuanza kumkusanya mtu bila ya maelezo yoyote na kuondoka nayeNini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...