Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

Yule Dada wa Kawe nafikiri alivuta kwanza ile kitu ya malawi kabla ya kwenda pale kwa spika.Sijuhi kama alikuwa ni yeyey pale kweli usaliti mbaya
 
Mimi hao wengine wote sina muda nao, nalia na Halima tu mimi.
Halima amekivunja chama kabisa, Halima tulimuamini na kumpa jeshi letu la wanawake na nilitegemea pasi na shaka Mbowe akistaafu uwenyekiti basi kama sio Lissu, Heche basi ni yeye!
I’m disappointed
She is also very dissapointed. Dada kaibiwa kura asubuhi saa mbili na akatupwa selo. Wewe Nifah na wenzio badala ya kuandamana kumtetea, ukaja huku JF. Hii ni payback time!😊

Sasa mnataka aishije wakati hajawahi hata kujaribu kufungua genge la kuuza nyanya? 10M+ per month sio mchezo ninyi. Hawa Ubunge ndio ajira zao
 
Anaongea kwa kiburi kwa sababu jana usiku walikutana na meko na spika, meko kawahakikishia kuwa hakuna wa kuwagusa iwe mahakamani ama wapi.. ester atakuwa naibu spika na mdee pia atakuwa naibu spika.imeisha hiooo. dont trust politicians
Unajisikiaje kuandika uongo kama huu?
Ukikamatwa ukaambiwa udhibitishe unaanza kulialia hii serikali ya kidikteta
 
Yule Dada wa Kawe nafikiri alivuta kwanza ile kitu ya malawi kabla ya kwenda pale kwa spika.Sijuhi kama alikuwa ni yeyey pale kweli usaliti mbaya
Hakuna usaliti wowote hata ww ungekuwa ni halima ungeenda tu, au mke wako angepata nafasi kama hiyo I'm so sure usingemwambia asiende
 
Baada ya jana wabunge wa viti maalum kuapishwa, waandishi wa habari walifanikiwa kufanya mahojiano madogo na mbunge mmojawapo, Ester Matiko huku wengine wakigoma. Yafuatayo ni maswali kutoka kwa waandishi na majibu kutoka kwa Ester Matiko.

MWANDISHI: Mmepata baraka za chama?

MATIKO: Nadhani wote tunajua taratibu za viti maalum mpaka kuweza kufika wabunge kuteuliwa, kuna utaratibu ambao unaendelea ndani ya chama kupitia wings mbalimbali na baadae chama kinabariki na majina yanaenda kwenye tume ya Taifa ya uchaguzi, binafsi nilitaarifiwa nimeteuliwa ndio maana nimefika hapa kuja kuapa.

MWANDISHI: Ulitaarifiwa na katibu?

MATIKO: Na mamlaka husika

MWANDISHI: Lakini katibu wa chama anasema hana taarifa na hilo na watachukua hatua kali dhidi yenu, hili unalizungumziaje?

MATIKO: Sijui zaidi ya hapo, kwa uchache wetu ambao tumekuja hapa, nipende tu kuwaambia watanzania, wategemee makubwa kwetu pamoja na kwamba tuko 19. Tunajua yote yaliyojiri kwenye uchaguzi mkuu ulioisha hadi tukapata hiki kidogo katika ushindi wetu mkubwa tuliokuwa nao.

MWANDISHI: Endapo chama kikiwafuta uanachama, mmejiandaa kuchukua hatua?

MATIKO: Tupo hapa kwa sababu ya chama kwa hiyo kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari.

MWANDISHI: Awali msimamo wa chama chenu ilionekana haukabakubaliani kuweza nyie kushiriki hapa

MATIKO: Nadhani leo jukumu kubwa ni kuapa na tumetimiza hilo, yanayojiri mengine yote yanawezwa kuzungumzwa kwa wakati muafaka. Katika neno letu la shukrani tumesema dhahiri kabisa tunakishkuru chama cha demokrasia na maendeleo kututeua sisi watu 19 kukiwakilisha katika bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuweza kuwasemea watanzania na chama chetu sasa mengine kama yalijiri yakaenda yakarudi, yatazungumzwa kwa wakati muafaka. Asante.

MWANDISHI: Ndio kusema mmesalimu amri

MATIKO: Sio msemaji wa chama, mimi ni mbunge mteule, ASANTENI SANA.

Mheshimiwa Ester Matiko hongera na endelezeni mapambano ndani ya bunge sio nje ya bunge.
 
Mimi hao wengine wote sina muda nao, nalia na Halima tu mimi.
Halima amekivunja chama kabisa, Halima tulimuamini na kumpa jeshi letu la wanawake na nilitegemea pasi na shaka Mbowe akistaafu uwenyekiti basi kama sio Lissu, Heche basi ni yeye!
I’m disappointed
Ole wake amtegemeaye mwanadamu...
 
Mimi hao wengine wote sina muda nao, nalia na Halima tu mimi.
Halima amekivunja chama kabisa, Halima tulimuamini na kumpa jeshi letu la wanawake na nilitegemea pasi na shaka Mbowe akistaafu uwenyekiti basi kama sio Lissu, Heche basi ni yeye!
I’m disappointed
Halima amewaza kijasiri sana
Wewe ulikuwa unataka Halima awe analialia kama Mnyika tu kila siku katiba mpya, Anzori Gwanda na tume huru ya uchaguzi?

Halima amejua chama hakina pesa na hakuna mwanachama wa kuchangia, nyie wote mnapiga kelele JF tu, mkiambiwa mtoe Milion kila mwezi mnakimbia
 
She is also very dissapointed. Dada kaibiwa kura asubuhi saa mbili na akatupwa selo. Wewe Nifah na wenzio badala ya kuandamana kumtetea, ukaja huku JF. Hii ni payback time![emoji4]

Sasa mnataka aishije wakati hajawahi hata kujaribu kufungua genge la kuuza nyanya? 10M+ per month sio mchezo ninyi. Hawa Ubunge ndio ajira zao
Halima amewaza kijasiri sana
Ww ulikuwa unataka halima awe analialia kama Mnyika tu kila siku katiba mpya, anzori gwanda na tume huru ya uchaguzi?

Halima amejua chama hakina pesa na hakuna mwanachama wa kuchangia, nyie wote mnapiga kelele jf tu, mkiambiwa mtoe Milion kila mwezi mnakimbia
Mnawaza matumbo tu kama kawaida ya akili za wachovu, yaani kama nyie mna njaa, basi mnaamini kila alieko mbele yenu nae ana njaa hivyo hivyo.

Mtu aliekaa bungeni miaka kumi anaweza vipi kulia njaa? kama ni kweli basi atakuwa na matatizo ya akili.
 
Kwamba kwa miaka kumi yote hela yake ilikuwa Inakaa tu bank na haitumii?

Hela za kufanyia kampeni kapata wapi?

Jamani muwe mnawaza nje ya box.
 
Malaya hana taraka.
Nawashangaa sana watu wanaamini wana siasa wa bongo.
Wanawadanganya mpaka wengine mnaandamana mnavunjwa miguu, wao sio wajinga kama ninyi, kila mtu anaangalia familia yake.

Haya sasa kiko wapi? Mngeandamana bure kule wapuuzi tu
 
We dada ule udhalilishaji uliofanyiwa na wale Mapolice umeukubali kwa kukisaliti chama kwa kulipwa ujira huu? Kweli dunia ina mambo!!
Ni haki yake. Kwani hawajui wanachadema wenzake waliokwenda uhamishoni na wanalipwa pesa wao na familia zao?. Afadhali yao wameamua kubaki ili wakijenge chama, pia hata huyo mwenyekiti na katibu watapata % zao za kuendesha saccos kama fadhila kutoka kwa wateuliwa. Mfano kila mmoja akitoa 500,000 X19 kwa kila kikao na mwezi. Maisha ndiyo haya haya
 
Wamawake si wakuamini, akipewa mshiko kidogo anababaika. Hata shetani alianza na Hawa. Wameaibisha wanawake
 
Back
Top Bottom