Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

Kwa maoni yangu, wananchi tunahitaji watu wa kutusemea Bungeni hata kama ni wachache. Wale wengi wapo upande wa serikali hivyo hawatakuwa upande wetu sana; hawa 20 ni bora waachwe tuu kwani wachache hupewa nafasi kubwa ya kusikilizwa naamini tutawakilishwa vyema.

Hayo mengine yaliyotokea kwa kuwa wanasiasa wengi huubiri suala la KUJIAJIRI ni vizuri NAO wakajiajiri hii miaka mitano.
Hivi kwa akili yako unadhani mbwa anaweza kumbwekea anayemlisha chakula? Usitegemee lolote kutoka kwa hao wanawake ambao wamefadhiliwa na CCM ili serikali isikose pesa ya UN
 
Nimewalaumu sana hawa kina dada waheshimiwa, baadae nikajaribu kujiweka kwenye nafasi zao nikaona huenda hata mimi ningechukua maamuzi kama yao.

Guys, hebu fikiria ulikuwa kila mwezi kuna mzigo unaingia kwenye account yako alafu gafla zinakata na hauna plan B. Kukaa bila kazi kwa miaka hii sio mchezo. Alafu gafla inakuja ofa ya kuingia kwenye orodha ya wafaidi keki ya taifa, na wanaokupa hiyo ofa wana nguvu, mamlaka na uwezo wa kukulinda unapokula ugali wako. Nafikiri tukiangalia kwa angle hii hatutoendelea kuwalaumu hawa kina dada.

Hebu angalia wenzao waliopita njia hizo; Silinde, Slaa, Mollel, Waitara etc alafu wao wakatae ofa hiyo eti wafe njaa kisa waonekane mashujaa? Tuwe wakweli kizazi cha mashujaa wa hivyo hakipo tena kwa sasa.
 
Hivi kwa akili yako unadhani mbwa anaweza kumbwekea anayemlisha chakula? Usitegemee lolote kutoka kwa hao wanawake ambao wamefadhiliwa na CCM ili serikali isikose pesa ya UN
Mimi naamini kwenye mijadala watatuwakilisha vyema; kwenye kuamua mambo kwa kura ndipo watazidiwa kutokana na uchache wao.

Kama kuna pesa kama nchi itakuja wewe ulitaka tukose hiyo pesa ili hilo pengo lizibwe na nani? Waendelee kukamua wafanyabiashara mpaka tukose ada za watoto wetu?
 
Wamawake si wakuamini, akipewa mshiko kidogo anababaika. Hata shetani alianza na Hawa. Wameaibisha wanawake
Acha kukariri wewe kwani wale walioanza kukisaliti chama na kuhamia CCM kama nyumbu wanaotafuta malisho walikuwa ni wanawake?

Mbona watu mnapoteza kumbukumbu haraka sana.
 
Hela ya ubunge hadi anamaliza muda wake unaijua wewe?? Pia police hawadhalilishi bali wanafanya kazi yao...acha wivu kwakua mwanamke mwenzio kachaguliwa
Miongoni mwa Waha wachache wapumbavu niliowahi kuwashuhudia.
 
We dada ule udhalilishaji uliofanyiwa na wale Mapolice umeukubali kwa kukisaliti chama kwa kulipwa ujira huu? Kweli dunia ina mambo!!
Hajajiunga CCM mkuu, na hii nafasi siyo ‘sadaka’ kutoka ccm au kwa Mtu yeyote, ni nafasi halali kikatiba, na ni kwa sababu CHADEMA imeshinda. Anatakiwa Mtu wa kwenda kupigania nafasi zaidi, kwenye wale 94 wa CCM kuna nafasi kama 60, za CHADEMA zimeibwa! Tusiwahukumu dada zetu, tuungane nao kupambana vita kubwa iliyo mbele yao!
 
Mimi hao wengine wote sina muda nao, nalia na Halima tu mimi.
Halima amekivunja chama kabisa, Halima tulimuamini na kumpa jeshi letu la wanawake na nilitegemea pasi na shaka Mbowe akistaafu uwenyekiti basi kama sio Lissu, Heche basi ni yeye!
I’m disappointed
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
M.fvck!!! Na chama Kama kimeamua kitowe wote hao akina mama waliogombea na kiwape waliokuwa katika Viti maalum. Vinginevyo upuuuziiiii
 
wafukuzwe tu wakati muafaka watazungumza na CCM itakapochoka kuwatumia.tumewaona dizaini zao.
 
Mnawaza matumbo tu kama kawaida ya akili za wachovu, yaani kama nyie mna njaa, basi mnaamini kila alieko mbele yenu nae ana njaa hivyo hivyo.

Mtu aliekaa bungeni miaka kumi anaweza vipi kulia njaa? kama ni kweli basi atakuwa na matatizo ya akili.
Pesa yooote unayo chuma kwa miaka hiyo, zinatumika kwenye kampeni alafu, Gwajima anapitaa kiulaini tu! Kwenye Kamari unarudia kule kule, kubet tena, ili ukomboe pesa zako! Ni ngumu lakini hawa dada zetu wana maisha ya kuishi pia!
 
Mimi hao wengine wote sina muda nao, nalia na Halima tu mimi.
Halima amekivunja chama kabisa, Halima tulimuamini na kumpa jeshi letu la wanawake na nilitegemea pasi na shaka Mbowe akistaafu uwenyekiti basi kama sio Lissu, Heche basi ni yeye!
I’m disappointed
Pesaaa....
Wana madeni hao hata nyumba hazijaisha. Wasameheni tu.
 
Kaa humo humo mama waache waendelee kupiga kelele..
 
Usiwaamini wanawake .
Juzi kwenye mkutano wao wa BAWACHA, walimshawishi Mwenyekiti Taifa kwamba sasa BAWACHA ipo tayari kupewa mikoba ya kuiongoza CHADEMA - maweee!!

wangeuza hadi fito!! ha ha ha.
 
Back
Top Bottom