Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

Anaongea kwa kiburi kwa sababu jana usiku walikutana na meko na spika, meko kawahakikishia kuwa hakuna wa kuwagusa iwe mahakamani ama wapi.. ester atakuwa naibu spika na mdee pia atakuwa naibu spika.imeisha hiooo. dont trust politicians
Hizi ndio siasa za dunia ya tatu, hawa ni viti maalumu kwa ticket ya bunge na si CDM. Chama huteua na kukabidhi orodha NEC, hili halikufanyika. Serikali imefanya hili kukwepa rungu la wafadhili kuhusu kamati za kusimamia fedha zao. Wanajua nini kimefanyika, kuridhia ni muda utaongea.
 
Wamepewa pesa? Cash au kupitia akaunti zao? Wafungulieni kesi ya "Money Laundering"
 
Mi naona haya yote tungeendelea kumvutia subira boss wao atakuja tu kulimaliza na litapita.


MAGUFULI4LIFE.
 
Wamepewa pesa? Cash au kupitia akaunti zao? Wafungulieni kesi ya "Money Laundering"
Waulize wao kwanini wamekwenda kinyume na chama chao muda huu ambao ni mgumu kwa upinzani, tangia mwanzo hawa Mdee lengo ni hela tu hawana sasaivi rangi zao zimekuja juu zaidi
 
Hao wanatakiwa kufutwa uanachama haraka sn
Hawa ndiyo watakaofanya wanawake wasiaminiwe kuongoza Taasisi nyeti, maana wote hao ni very senior kwenye uongozi nini kimewapata? njaa ya hela? tamaa ya madaraka? au wameamua tu kukikomoa chama chao? kama hivyo ndiyo kukikomoa ili wapate nini? ukizingatia karibu wote hao walinyanyaswa vibaya mno na vyombo vya dola wakati wa kampeni.

Kwanza kabisa kama mnakumbuka walianza wale wabunge wa viti maalum wakasema Mbowe na viongozi wengine wa CDM amekuwa akiwabaka mfululizo kwa miaka 5, sasa unajiuliza mama zima la miaka 40 linabakwaje miaka 5 huku lenyewe likiwa linatunga sheria na lisiseme?

Sasa limekuja na hili tena.. aise.
 
Hii ni move ya CCM mkuu
 
Unamwamini mwanasiasa? Ukapimwe akili, mwanasiasa haaminiki hata siku moja, wengi ni waongo, wanafiki, wasaliti, wachumia tumbo na "matapeli" katika tasnia yao.

Eti, "tulikuamini"! Ndugu kapimwe kuanzia cerebrum hadi medulla!
 
Kuwakilishwa vyema kunategemea na jinsi walivyoingizwa bungeni.
 
Halima ndio mwanamke pekee CHADEMA?
 
Umeandika upumbavu tu. Kwani wabunge wa CCM wanawasemea kina nani? Nani alikuambia mbunge anaiwakilisha serikali?
 
Lisu kabariki wabunge hao 19 wakiongozwa na mdee kuapa na kujumuika kuijenga nchi, sasa Mnyika ni nani mbele ya Mbowe na Lisu?!?!
Taifa kwanza vyama badae, tujenge nchi yetu tuache chuki na malumbano.
Hongereni wabunge 19 mlioapa mkiongozwa na mdee
 
Lisu kabariki wabunge hao 19 wakiongozwa na mdee kuapa na kujumuika kuijenga nchi, sasa Mnyika ni nani mbele ya Mbowe na Lisu?!?!
Taifa kwanza vyama badae, tujenge nchi yetu tuache chuki na malumbano.
Hongereni wabunge 19 mlioapa mkiongozwa na mdee
Thibitisha kwamba Lisu kabariki!
 
Pengine ni DANGA haachi asili!
 
Thibitisha kwamba Lisu kabariki!
Uthibitisho anao Halima Mde(mb), muulize au sikiliza alichoongea mara baada ya kuapishwa, Mbowe anafahamu na Lissu lazima pia kwani Lissu ni Makamu mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…