Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,386
Reaction score
5,325
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Esther Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa Wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi Watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take:
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa Wachina.
 
Mie nilidhani ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni uwekezaji wa wachina na wala sio swala la tender kutangazwa. Naomba kuelimishwa.
Wachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc

Kwa kuwa hakuna aliyedispute maelezo ya JPM mpaka leo na kwa kuwa hakuna maelezo mengine tofauti, kuupigia chapuo huu mradi bila kuweka details ni ukichaa aliousema Magufuli.

Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Hivi watu kama nyie huwa mnatumia nini kifkiri? Mmejawa na chuki na visasi visivyo na maana yoyote kosa la Spika kwenye huo mradi ni nini? Kosa la CHADEMA ni nini? Mradi ulibuniwa na CHADEMA?

Yaani unapinga ujenzi wa bandari mnasapoti uwanja wa ndege chato mna akili kweli? Ukiulizwa chato airport utaleta faida gani huna jibu.

Watu kama nyie ndio mnafanya taifa liwe hivi miaka nenda miaka rudi.

Kama ninavyosapoti ujenzi wa reli na bwawa la umeme pia nasapoti 100% ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unafaida nyingi kuliko uwanja wa ndege chato.

Spika yuko sahii mkataba upitiwe bandari ijengwe itoe ajira kwa watanzania
 
Wachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc...
Hatari sana, yaani magufuli kaondoka hii bandari inapigiwa upatu kupita kawaida kuna jambo nyuma ya hii issue!....

Hatari sana
 
Hivi watu kama nyie huwa mnatumia nini kifkiri? Mmejawa na chuki na visasi visivyo na maana yoyote kosa la Spika kwenye huo mradi ni nini? Kosa la CHADEMA ni nini? Mradi ulibuniwa na CHADEMA?

Yaani unapinga ujenzi wa bandari mnasapoti uwanja wa ndege chato mna akili kweli? Ukiulizwa chato airport utaleta faida gani huna jibu.

Watu kama nyie ndio mnafanya taifa liwe hivi miaka nenda miaka rudi.

Kama ninavyosapoti ujenzi wa reli na bwawa la umeme pia nasapoti 100% ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unafaida nyingi kuliko uwanja wa ndege chato.

Spika yuko sahii mkataba upitiwe bandari ijengwe itoe ajira kwa watanzania
Rudisha hiyo 10% uliyokula kwa wachina
 
Wachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc

Kwa kuwa hakuna aliyedispute maelezo ya JPM mpaka leo na kwa kuwa hakuna maelezo mengine tofauti, kuupigia chapuo huu mradi bila kuweka details ni ukichaa aliousema Magufuli
Magufuli alizoea kuishi kwa uongo unaweza vipi kuamini statement yake wakati hata mkataba hujauona ?

Miaka mitano alisema kuwa miradi yote tunajenga kaw fedha za ndani huku deni la taifa likiongeza kila wiki.

Are you serious Magufuli alisema ukweli juu ya clause za mkataba wa Bandari ya Bagamoyo ?
 
Nimesema “kwa kuwa hakuna aliyesema kitu tofauti todate....”.

Someone must tell us something different. We cant just dispute blindly like fools
 
Hizi propaganda zimechachamaa baada ya chuma kuondoka! Hizi nguvu lazima kuna watu wana deals zao hapo. Mama Samia tumia vizuri vyombo vya usalama utajua ukweli!

Ukisikiliza wanasiasa wengi wana ajenda zao! Ukiharibu jumba bovu ni lako peke yako kama sasa hivi inavyotokea kwa JPM!
 
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Sahihisho: Siyo mbunge wa viti maalumu kutoka Chadema hapana. Ni mbunge aliyeko bungeni kwa hisani ya Ndugai.
 
Hizi propaganda zimechachamaa baada ya chuma kuondoka! Hizi nguvu lazima kuna watu wana deals zao hapo. Mama Samia tumia vizuri vyombo vya usalama utajua ukweli!

Ukisikiliza wanasiasa wengi wana ajenda zao! Ukiharibu jumba bovu ni lako peke yako kama sasa hivi inavyotokea kwa JPM!
Kabisa
 
Back
Top Bottom