Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

Tatizo sio chama, magufuli alikuwa na roho ya kishetani, uyu mama muungwana sio kama msukuma mwenzenu,saizi uko alipo kasimamishwa MVUANI kama alivyozaliwa anachezea bakora
Teeh teeh.

Eti kasimamishwa mvuani anachezea bakora.
 
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Ester Matiko na wenzake ni wabunge wa CCM kupitia mgongo wa Ndungai
 
Wachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc

Kwa kuwa hakuna aliyedispute maelezo ya JPM mpaka leo na kwa kuwa hakuna maelezo mengine tofauti, kuupigia chapuo huu mradi bila kuweka details ni ukichaa aliousema Magufuli
Unapingana nayo vipi wakati hata huo mkataba hata wabunge hawakuwahi kuuon yani uko ikulu tu huko.
Sasa unapingaje kitu abacho hukuwahi kukiona ndiyo maan zitto kaombwa uwekwe wazi.
 
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Kinachonichanganya ni hapo ulipoandika viti maalumu kutokea chadema, kwa mujibu wa uongoz wa chadema wanasema washawafuta uanachama. Sasa hii biashara ya kuwaita wabunge wa chadema ni kwa utaratib upi
 
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Good idea
 
Mkuu mimi nadeclare kuunga mkono huu mradi licha ya kuwa opposition

1. Miaka 99 ni leasing period na ipo kisheria hata wakatoliki wa nje walipofika kujenga mission zao walipewa hizo duration. Kwa kuuliza tu hvi mradi wa trillion 20+ kufikia maximum utilization ni miaka chini ya 100?

2. Kuhusu kodi miaka 33 ni break even..... Hta makampuni ya madini hayalipi kodi miaka ya mwanzo mpaka wa break even kwanza ili kurudisha gharama za uendesgaji na uwekezaji. Mfano mradi wa trillion 20 mpaka urudishe gharama na faida juu ni chini ya miaka 30??

Nadhani tusijadili kwa mihemko bali reasoning tu.... kingine uwekezaji wa aina hii tusifocus kwenye kodi tu bali MULTIPLIER EFFECT!! embu fikirieni DSE itatanukaje, mabenki ya ndani kupata ukwasi, ajira kutokana na service industry kupanuka mfano kampuni za bima, logistics, shipping kujenga ofisi/Subsidiary hapa Tz. Hayo pekee yakilipa kodi ni matrillion kuliko hata sahvi ambapo hayapo.

Nadhani mjadala u focus hapo kuliko direct benefits
Unasemaje KUHUSU kutoendelezwa kwa Bandari zingine hususani ya Tanga na Mtwara? Hili nalo ni sharti mojawapo
 
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
"Chadema na ... hawatapenda kusikia ushauri huu..."
Mbunge wa chama gani amesema haya?
 
Wachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc

Kwa kuwa hakuna aliyedispute maelezo ya JPM mpaka leo na kwa kuwa hakuna maelezo mengine tofauti, kuupigia chapuo huu mradi bila kuweka details ni ukichaa aliousema Magufuli
Nchi hii Magu alitusaidia kujua mijitu mipumbaf yaani MTU aje aweke Hela yake ardhini wee unachangia ardhi na makende yako tu kisha unataka mkataba wa mwaka jinga kabisa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ulizotaja hazina kina cha kuingiza meli kubwa za urefu wa mita mpaka 300..... Bagamoyo ndio itakua ya kwanza kwa ukanda huu
Kwani tutakua tunasafirisha mazao au bidhaa gani kwa wingi kiasi kwamba haiwezi kua handled na bandari ya TANGA au Dar au Mt?
 
Mie nilidhani ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni uwekezaji wa wachina na wala sio swala la tender kutangazwa. Naomba kuelimishwa.
Huyo Matiko kachamganyikiwa baada ya aliyemkopesha m 70 kuyimuliwa ikulu
 
Hatari sana,yaani magufuli kaondoka hii bandari inapigiwa upatu kupita kawaida kuna jambo nyuma ya hii issue!....

Hatari sana
Wapiga chapyo wa mradi wa bagamoyo wajibu kwanza hoja ya Masharti Magumu
 
Back
Top Bottom