zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,255
Kuna mchezo wa 10% hapo unaelekea kwa kikundi fulani kama kwa zile ndege za njano njano.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unampenda sana magufuli, kafukue mzoga wake ukaenao sebuleni,,,,now Rais ni SamiaHatari sana,yaani magufuli kaondoka hii bandari inapigiwa upatu kupita kawaida kuna jambo nyuma ya hii issue!....
Hatari sana
Mkuu mimi nadeclare kuunga mkono huu mradi licha ya kuwa oppositionWachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc
Kwa kuwa hakuna aliyedispute maelezo ya JPM mpaka leo na kwa kuwa hakuna maelezo mengine tofauti, kuupigia chapuo huu mradi bila kuweka details ni ukichaa aliousema Magufuli
Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.
My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Hizo ulizotaja hazina kina cha kuingiza meli kubwa za urefu wa mita mpaka 300..... Bagamoyo ndio itakua ya kwanza kwa ukanda huuKwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??
Tatizo sio chama, magufuli alikuwa na roho ya kishetani, uyu mama muungwana sio kama msukuma mwenzenu,saizi uko alipo kasimamishwa MVUANI kama alivyozaliwa anachezea bakoraSamia ni ccm pia
Wao hawana huyo mtu.Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.
My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Nimemshangaa sana Mbunge.Mie nilidhani ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni uwekezaji wa wachina na wala sio swala la tender kutangazwa. Naomba kuelimishwa.
akabadili gia anganiKwenye video hii hapa chini, Magufuli aliusifu sana mradi wa bandari ya Bagamoyo, akamsifu Kikwete kwa kuuanzisha na akasema nothing will change, cha ajabu akaja kubadilika baadae
View attachment 1751075
Wachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc
Kwa kuwa hakuna aliyedispute maelezo ya JPM mpaka leo na kwa kuwa hakuna maelezo mengine tofauti, kuupigia chapuo huu mradi bila kuweka details ni ukichaa aliousema Magufuli
Hivi ni kuna MTU mwingine amegundua wabunge wa ndugai wanawakirisha mawazo yake..nimestaajabishwa Sana Leo Bungeni halima mdee alivyovumiliwa na ndugai..Kwa maneno aliyoyasema kuhusu wabunge wa CCM na miradi ya Ndege miezi 5 iliyopita angeondolewa na sergeant at arms mara moja...but Leo kaongea dakika 16 na kutumia sekunde 45 kumshukuru spika ndugai kwa kumpa fursa na kumvumilia.Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.
My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Kuikataa ile proposal ya Wachina ni jambo moja ila kuufutilia mbali ule mradi completely ni jambo tofauti.Nadhani tusijadili kwa mihemko bali reasoning tu.... kingine uwekezaji wa aina hii tusifocus kwenye kodi tu bali MULTIPLIER EFFECT!!
Tanga ndio inakufa tena hiyo ... ule mji sijui ulimkosa nini MunguKwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??