Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Ester Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu.

My take.
Najua Ndugai na Chadema hawatapenda kusikia ushauri huu wao wamejigeuza wapiga debe wa wachina
Watanzania wasikubali huu mradi uendelee na pia tujulishwe ni kiasi gani cha fedha za kifunga uchumba kilitolewa kabla ya 2015.

Na wale wote walopokea hicho kifunga uchumba wawajibishwe.
 
Nchi hii Magu alitusaidia kujua mijitu mipumbaf yaani MTU aje aweke Hela yake ardhini wee unachangia ardhi na makende yako tu kisha unataka mkataba wa mwaka jinga kabisa
Hivi kumbe JPM na serikali yake walikuwa wanademand mkataba wa mwaka mmoja? Kuspeculae hivi vitu ndio ujinga wenyewe wa baadhi ya waTZ
 
Kwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??
Inajengwa bila kujali fitina zenu
 
Hizi propaganda zimechachamaa baada ya chuma kuondoka! Hizi nguvu lazima kuna watu wana deals zao hapo. Mama Samia tumia vizuri vyombo vya usalama utajua ukweli!

Ukisikiliza wanasiasa wengi wana ajenda zao! Ukiharibu jumba bovu ni lako peke yako kama sasa hivi inavyotokea kwa JPM!
Inajengwa tu
 
Kwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??
Thread ifungwe hapa umemaliza. Ndugai kichwa maji soma hapa
 
Miaka mitano alisema kuwa miradi yote tunajenga kaw fedha za ndani huku deni la taifa likiongeza kila wiki.

KWANINI NDUGAI NA BUNGE LAKE LA WAKINA MSUKUMA/KIBAJAJ HAWAKUMTIBITI KAMA MAJUKUMU YAO YANAVYOWATAKA WAFANYE ALIPOKUWA ANAKIUKA TARATIBU?
 
Thread ifungwe hapa umemaliza. Ndugai kichwa maji soma hapa
ANAJUA KUWA ZANZIBAR WAMEANZA KUJENGA? SASA BAGAMOYO YA NINI PENGINE HUKO MBELE NDUGAI/MKWERE WAKIMFUATA MWENDAZAKE IJENGWE BANDARI MWAMBANI TANGA!
 
Kwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??
South Africa ina Bandari 4 kubwa East London, port Elizabeth, Capetown na Darban huku ikiwa na utitiri wa Bandari ndogo nyingi zenye uwezo mkubwa wa kupokea meli hata kubwa, Kila Bandari itasalia na majukumu yake, Mfano Bandari ya Dsm itasalia na mizigo ya ndani ya Nchi tu huku Tanga ikitumika kama Bandari ya Afrika mashariki lakini Bandari ya Bagamoyo itakuwa ni Bandari kubwa ya mizigo ya kimataifa kukuza maendeleo Tanzania na kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha meli kubwa Afrika
 
Wachina walitaka kuwekeza kwa masharti ya kinyonyaji. Kwa mujibu wa Magufuli, hao mabepari walitaka lease kwa 99 years, hakuna kudevelop bandari nyingine, hakuna wa kuwadai kodi kwa miaka 33 etc

Kwa kuwa hakuna aliyedispute maelezo ya JPM mpaka leo na kwa kuwa hakuna maelezo mengine tofauti, kuupigia chapuo huu mradi bila kuweka details ni ukichaa aliousema Magufuli
Usisahau na wakipata hasara sisi ndo tutawafidia, unamfidia mtu ambaye hujui anauza nini na kwa sh ngapi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
ANAJUA KUWA ZANZIBAR WAMEANZA KUJENGA? SASA BAGAMOYO YA NINI PENGINE HUKO MBELE NDUGAI/MKWERE WAKIMFUATA MWENDAZAKE IJENGWE BANDARI MWAMBANI TANGA!
Bagamoyo ni Tanganyika na huko Zanzibar wana biashara zao acha kila mmoja ajiendeleze kivyake
 
Back
Top Bottom