Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Estonia imelalamika kuwa Urusi inapanga kuishambulia nchi hiyo (Estonia-nchi mwanachama wa NATO) kwa mvua za makombora. Malalamiko yamegusia kuwa Urusi iko inafanya missile simulations juu ya namna ya kuichapa makombora Estonia.
Estonia imekuwa na mdomomdomo mrefu ktk kipindi hiki cha operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine.
WaMarekani wa Kibaigwa iambieni Estonia iache kuogopa, Estonia ikishambuliwa si NATO itaikingia kifua?🤣🤣😅😅😅😂😀😀