Estonia (mwanachama wa NATO) yahofia kushambuliwa na Urusi muda wowote; yasema Urusi inafanya missile simulations dhidi yake (Estonia)

Russia ajarihu aine. Pale Ukraine NATO walisita kuingia mara 1 maana wazungu wanaheshimu sheria. Ukrain hajawa mwanachama wao.
Sasa ikitokea basi watakuwa wanatengeneza wao NATO ili mrusi aingie ili achapwe sasa hadharani

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
kwani alivyompiga gadafi kule libya, libya alikua mwanachama wa nato??
 
Russia jeuri mno haogopi kuingia vitani na yeyote!
RUssia uchumi wake ni imara sana, zana zake hazitumiki hovyo halafu ni very unique!! kwanza hana gharama za kufuga Majambazi wanao sumbua ulimwengu km kina Boko Haram, al shaabab!! Ma-zion! Sudan nk!! yaani NATO vurugu tupu!

si unaona sasa ivi UKRAINE anachakazwa na Rusia hawajui baada ya hapo ata fanya nini....so.. Boko haram, AL shaababnk!! wametuliaaaa!! tulii km hawapo vile!...shauri ma- sponsors wa vurugu hizo, wanaelekeza nguvu zao Ukraine!
 
kama wakubwa wa Dumia wangekalia Tanzania, waswahili wengi wangekaa kimya kabisa kwa kuhofia kupambana na "mkubwa wa DUNIA!!"
Wakurya woote wake kwa waume, wahehe, wanyamwezi, wasukuma kidoogo wanya kyusa wangewakomboa vibaya sana!! yaani mpaka tone la mwisho la damu yao!!

sasa nyie cha kufanya ni muwapikie ugali tu wa ulezi! na nyama zozote mkausho na siraha km zoote, pinde, mikuki, bunduki baasi! muone muziki wake! tena peku peku!

hayo mengine sijui vijigari buti, combat, mahema, mnawachelewesha tu! si makmbuka kipigo cha lukaya!!!...yaani kule bana ilikuwa hivi waleee wanajeshi wa idd amini wapoona vijamaa vina kuja mbio

tena km haitoshi kwa morali wa hali ya juu mbaya zaidi viko peku peku!! na combat chakavu, wanajeshi wa idd amini hawakuamini macho yao!! ilibidi watimue mbiyooo!! wakaacha mimali mingi sana ya kijeshi!

JWTZ wakayatumia mwanya huo!! na hayo hayo magari ya uganda yalotelekezwa kuteka miji zaidi ya nchi ya uganda!1 hiyo hali ikazidi kuwashangza wa jeda wa Uganda!

WAkajiuliza inakuwaje hivi vimtu vya TZ! vinavyotembea peku vinajua tumia siraha zetu kwa umakini na haraka kuliko sie wenye mafunzo???!

hicho kitendo tu!! kika mfikia Rais wa Kenya bana wa wkt huo sasa alicho kifanya ni kuwapa ajira wakurya wooote walioko Kenya ajira Jeshini walio taka mpaka leo hii!! mkurya jeshini Kenya ni Lulu!!

Mkiwapunguza JWTZ Hapo Bongo kule Kenya na sasa Rwanda ni lulu!! wana chukuliwa faster!! bila inter view!! ili mradi ajulikane ni Mkurya tu! ndo maana Kagame aliweza Mengi nchini kwake ajili ya hii mijamaa!

N a Kagame anawajua wakurya/wanyamwezi Barabara walivyo na roho ngumu na nidhamu jeshini maana alikuwa nao kulee Uganda!!...ndo maana aliweza sumbua sana DRC pamoja na ukubwa wake wote!

Kabila kwa msaada wa kikwete alichukua wana jeshi wapya wa JWTZ ambao wengi siku hizi wamejaa wazaramo/wazanzibar tupu!! wao wanajali pesa kwanza lkn wakurya wao wanajali ushindi tu, na mbinu bora!
 
Kumbe Warusi wafanyeje?? Any level headed person cannot blame them Russias - NATO especially Biden na waziri wake wa ulinzi walishasema kwamba wanachotaka wao ni kuendelea kuipatia Ukraine silaha kali to kill million Russians - hapo unafikiri Urusi ikizidiwa ita react vipi - ni wazi watatumia an overwheming force kukata kichwa cha Taifa linalo wapatia silaha jeshi la Ukraine - uwezo huo Urusi inao saana, nashindwa kuelewa NATO wanawaza nini!!!

Hivi NATO na kiranja wao inawaingia akilini kwamba wanaweza kumshinda Putin halafu waka-survive to tell the tale the morning after? Personally I don't think so.
Mkuu nashangaa kidogo kuhusu tamko lako. Je Urusi haitumii nguvu sana kushambulia Ukraine? Na katika miezi minne hawakushinda bado ingawa wana jeshi kubwa zaidi, vifaru na ndegevita kibao? Wakipigana na Ukraine yenye vifaa vingi vya zamani hasa ?
Unaamini kweli jeshi hili la Urusi tuliloona hadi sasa inaweza kufanya chochote dhidi ya maungano ya chii za NATO? (wakati wanahangaika kuteka Severodonetsk baada ya miezi hii yote??)

Unaeleza hao wa NATO wanawaza nini. Si rahisi kujua kweli, lakini wanachosema wanataka kusaidia Ukraine kuwaondoa Warusi katika maeneo waliyochukua.
 
Hakuna nchi itayonyNyua mdomo kujiingiza kwenye vita urusi kwa ajili ya nchi nyingine. Hiyo NATO ipo kwa ajili ya vinchi vidogo ila kwa Russia hata marekani yenyewe haitaingia
Endelea kujidanganya,kama ni hivyo Urusi isingepiga kelele na kuanzisha vita kisa uanachama wa NATO kwa Ukraine
 
Mkuu nashangaa kidogo kuhusu tamko lako. Je Urusi haitumii nguvu sana kushambulia Ukraine? Na katika miezi minne hawakushinda bado ingawa wana jeshi kubwa zaidi, vifaru na ndegevita kibao? Wakipigana na Ukraine yenye vifaa vingi vya zamani hasa ?
Unaamini kweli jeshi hili la Urusi tuliloona hadi sasa inaweza kufanya chochote dhidi ya maungano ya chii za NATO? (wakati wanahangaika kuteka Severodonetsk baada ya miezi hii yote??)

Unaeleza hao wa NATO wanawaza nini. Si rahisi kujua kweli, lakini wanachosema wanataka kusaidia Ukraine kuwaondoa Warusi katika maeneo waliyochukua.
fair operation hyo unahis mrusi angefanya kama marekani Iraq hujali raia si wangekua washakaa kyiv
 
Dozi inategemea na hali ya mgonjwa ww unafikiri silaha inayotumika Ukraine itatumika dhidi USA au UK hao wana vitu vyao vipo vinawasubiria
 
Wakurya woote wake kwa waume, wahehe, wanyamwezi, wasukuma kidoogo wanya kyusa wangewakomboa vibaya sana!! yaani mpaka tone la mwisho la damu yao!!

sasa nyie cha kufanya ni muwapikie ugali tu wa ulezi! na nyama zozote mkausho na siraha km zoote, pinde, mikuki, bunduki baasi! muone muziki wake! tena peku peku!

hayo mengine sijui vijigari buti, combat, mahema, mnawachelewesha tu! si makmbuka kipigo cha lukaya!!!...yaani kule bana ilikuwa hivi waleee wanajeshi wa idd amini wapoona vijamaa vina kuja mbio

tena km haitoshi kwa morali wa hali ya juu mbaya zaidi viko peku peku!! na combat chakavu, wanajeshi wa idd amini hawakuamini macho yao!! ilibidi watimue mbiyooo!! wakaacha mimali mingi sana ya kijeshi!

JWTZ wakayatumia mwanya huo!! na hayo hayo magari ya uganda yalotelekezwa kuteka miji zaidi ya nchi ya uganda!1 hiyo hali ikazidi kuwashangza wa jeda wa Uganda!

WAkajiuliza inakuwaje hivi vimtu vya TZ! vinavyotembea peku vinajua tumia siraha zetu kwa umakini na haraka kuliko sie wenye mafunzo???!

hicho kitendo tu!! kika mfikia Rais wa Kenya bana wa wkt huo sasa alicho kifanya ni kuwapa ajira wakurya wooote walioko Kenya ajira Jeshini walio taka mpaka leo hii!! mkurya jeshini Kenya ni Lulu!!

Mkiwapunguza JWTZ Hapo Bongo kule Kenya na sasa Rwanda ni lulu!! wana chukuliwa faster!! bila inter view!! ili mradi ajulikane ni Mkurya tu! ndo maana Kagame aliweza Mengi nchini kwake ajili ya hii mijamaa!

N a Kagame anawajua wakurya/wanyamwezi Barabara walivyo na roho ngumu na nidhamu jeshini maana alikuwa nao kulee Uganda!!...ndo maana aliweza sumbua sana DRC pamoja na ukubwa wake wote!

Kabila kwa msaada wa kikwete alichukua wana jeshi wapya wa JWTZ ambao wengi siku hizi wamejaa wazaramo/wazanzibar tupu!! wao wanajali pesa kwanza lkn wakurya wao wanajali ushindi tu, na mbinu bora!
Sasa wazanzibar si tulisha kubaliana kuwa kazi yao ni kula rojo ...nani kawaingiza jeshini [emoji1787][emoji1787] na wazaramo kazi yao tuliyo kubaliana ni kuvua ngadu mto msimbazi [emoji1787][emoji1787]
 
Dozi inategemea na hali ya mgonjwa ww unafikiri silaha inayotumika Ukraine itatumika dhidi USA au UK hao wana vitu vyao vipo vinawasubiria
Mkuu tukiacha silaha za nyuklia (ambazp pande zote zina akila ya kutosha kutotumia) sioni sababu kwa nini wasitumie silaha zozote zinazowawezesha kushinda haraka. Siwezi kuamini kwamba unaacha vifaa vya nguvu na badala yake kupoteza askari maelfu jinsi inavyotokea.
 
fair operation hyo unahis mrusi angefanya kama marekani Iraq hujali raia si wangekua washakaa kyiv
Mkuu siwezi kuona kwamba jeshi la Urusi linatumia upole kushinda. Pale wanapoweza kupeleka silaha kuu kama mizinga karibu na mstari wa mapambano wanasaga miji kuwa vumbi jinsi iivyotokea Mariupol au sasa Severodonetsk. Bila upole wowote.
Kyiv niliona walishindwa kwenda mbele waliona heri kuacha kwa sasa.
Sijui una data za kulinganisha vifo vya Iraki vilivyosababishwa na silaha za Marekani na vifo vya Ukraine sasa? (ingawa ninaamini Marekani inapaswa kukosolewa kwa vifo vyote vya Irak hata kama idadi kubwa walikufa kutokana na mapigano kati ya Wairaki, maana Marekani ilisababisha fujo lile lililozaa makundi mengi)
 
Sasa wazanzibar si tulisha kubaliana kuwa kazi yao ni kula rojo ...nani kawaingiza jeshini [emoji1787][emoji1787] na wazaramo kazi yao tuliyo kubaliana ni kuvua ngadu mto msimbazi [emoji1787][emoji1787]
Tatizo la hawa jamaa ni TAMAA KALI!! lkn ikitokea vita wanaikimbia hao!!! heee!!! wkt wa vita ya kagera wazaznzibar na wazaramo wengi karibu wote walipotelea misitu ya pugu!!

train ilipo fika pale wakajifanya waenda kojoa ndo nitoleee!!...wkt Kuree Musoma walijiandikisha wooote hadi watoto wa kike mpaka mikono ikauma!...wengine wakatorokea mikoa ya jirani kujiandikisha huko!

Mstari wa mbele walio jitoa ni wakurya/wahehe si wazanzibar, hata kukombolewa kwao kutoka kwenye makucha ya waarabu siyo wao hao wazanzibar bali Mjaluo wa Mara maarufu km Tito Okello aliongoza mapambano ya ushindi!!

lkn hawataki kulijua hilo! wanaficha ficha na hawajaandika historia hii popote!....... leo kuna amani sana na wajeda wakurya wanafaidi mafao ya jeshi. wazaznbar wakaanza Oooh!! nyerere kajaza ndg zake jeshini!!

hapo akaja mwinyi na Nkapa wakasema isiwe taabu njooni rekebisha hilo!!....lkn leo kagame akija Bongo atawatandika km mbuzi wa kafara! make wakurya makini wote wako kwake!!

kwa Bongo hii vyanajeshi vya siku hizi vioga sana!! vinakula mayai tuuu offcers Mess na kuvembewa... hata Somalia hapo umevisikia vilienda??.....Msumbiji ndg zetu wa damu havijaenda!! vinaogopa bali wanya rwanda tuuu!!

sasa juzi juzi hapa Huko DRC wameuawa na waasi km nzige!! Somalia wanaogopa kwenda, Nsumbiji hapo juzi juzi tu Kagame ndo katoa wanajeshi weeengi kumbuka huko Rwanda wamejaa wajeda wakuryatupu wameoa watusi!

ndo unaona Nsumbiji sasa kumetulia!! wakurya wanyarwanda hao wanavo jua mbinu!...angalia Kenya sasa shwaaaliii AL shaabab wako wapi wanaipata ajili ya wakurya!!..km weye mkurya Kenya unapata post jeshini faster!!

km ni ke unaolewa na wakenya faster!! nyie ni mali adimu sana kwa sasa!...Tarime SERENGETI wakurya ni adimu mnooo!!! chunguza uone!! sasa Siku hizi wanachukuliwa saaana na jeshi la USA!! kule wanapewa kila kitu muhimu!

wanaptia kenya haooooooooo!! ..wakimaliza mkataba wanakaa huko huko!! wanatuma hela kwa ndg zao!! USA haibagui mtu hasa ukitaka kuwa Mjeda wa uapnde wao! wanakuheshimu mnooo!! mke/mapesa unapewa bure!

kwa kulijua hili ndo maana wakurya jeshini wamepungua sana wamewaachi wazaznbari/wazaramo!!
 
Sisi atumuabudu mbwaa yoyote wala mavii ya ccm ...ila tunataka haki duniani haki ya kweli siyo ya kinafiki ....
Haki ni Mungu wenu Putin kuvamia nchi za watu?
 
Back
Top Bottom