Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
No Actions Talk Only (NATO)Yaani nataka itokee Urusi ikiingia mzigoni na mwanachama moja Wapo wa NATO, alafu tuone kama kweli huo Umoja upo serious au laa.
Au Nato no USA, Canada, England, France, Italy and GermanyYaani nataka itokee Urusi ikiingia mzigoni na mwanachama moja Wapo wa NATO, alafu tuone kama kweli huo Umoja upo serious au laa.
Hakuna nchi itayonyNyua mdomo kujiingiza kwenye vita urusi kwa ajili ya nchi nyingine. Hiyo NATO ipo kwa ajili ya vinchi vidogo ila kwa Russia hata marekani yenyewe haitaingiaAu Nato no USA, Canada, England, France, Italy and Germany
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kaingiza melivita Denmark mara tatu pamoja na warning zaoSasa ndio mchezo utanoga
[emoji23][emoji23][emoji16] na hakuna kitu wanaweza fanya, alaf kuna wajinga humu wanakuambia Russia anaiogopa nato [emoji16]Kaingiza melivita Denmark mara tatu pamoja na warning zao
Huo ni mtego wanamtega Urusi ili anase NATO waingie kumchapa.Putin mwaka huu lazima atoke madarakani kwa njia yoyote ile wakubwa wa Dunia waneshaamua.Russia ajarihu aine. Pale Ukraine NATO walisita kuingia mara 1 maana wazungu wanaheshimu sheria. Ukrain hajawa mwanachama wao.
Sasa ikitokea basi watakuwa wanatengeneza wao NATO ili mrusi aingie ili achapwe sasa hadharani
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
wakubwa wa dunia ndio kina nani ? Wanakaa wapi ? Ukubwa wao ni kiasi gani ?Huo ni mtego wanamtega Urusi ili anase NATO waingie kumchapa.Putin mwaka huu lazima atoke madarakani kwa njia yoyote ile wakubwa wa Dunia waneshaamua.
Kumbe Warusi wafanyeje?? Any level headed person cannot blame them Russias - NATO especially Biden na waziri wake wa ulinzi walishasema kwamba wanachotaka wao ni kuendelea kuipatia Ukraine silaha kali to kill million Russians - hapo unafikiri Urusi ikizidiwa ita react vipi - ni wazi watatumia an overwheming force kukata kichwa cha Taifa linalo wapatia silaha jeshi la Ukraine - uwezo huo Urusi inao saana, nashindwa kuelewa NATO wanawaza nini!!!Russia jeuri mno haogopi kuingia vitani na yeyote!
Ohh kumbeeRussia ajarihu aine. Pale Ukraine NATO walisita kuingia mara 1 maana wazungu wanaheshimu sheria. Ukrain hajawa mwanachama wao.
Sasa ikitokea basi watakuwa wanatengeneza wao NATO ili mrusi aingie ili achapwe sasa hadharani
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mbuzi kama hizi ni zakusindikiza tuu..wakubwaa wa dunia ndo kina nani hao! Huu ugali tunaokula wabongo unatuharibu IQ zetu! Sasa kama hili libaba zima linasema wakubwaa wa dunia je mitoto yakeHuo ni mtego wanamtega Urusi ili anase NATO waingie kumchapa.Putin mwaka huu lazima atoke madarakani kwa njia yoyote ile wakubwa wa Dunia waneshaamua.