Estonia (mwanachama wa NATO) yahofia kushambuliwa na Urusi muda wowote; yasema Urusi inafanya missile simulations dhidi yake (Estonia)

Dictator Putin kaingia Cha kike, lazima achuchumae.
 
Mtu kamili unafurahia misaada
Kuna waafrika mnatakiwa mkamatwe muburuzwe mitaani mkiwa mnachapwa bakora zakutosha ili muwe na akili zilizokamilika
Wazungu watetea haki za binaadam c hawa wanaotaka muoane Me kwa Me na Ke kwa Ke
Wazungu wote washenzi tu kwenye masuala mengi sana kuliko mazuri
RUSSIA washenzi kwaubaguzi ila walau wanajitambua hawataki watu wakulane makalio
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana kwa kuelimisha akina: "doubting THOMAS" wengine ni overly arguem
entative by default na hawataki kujifunza Kabisa!!!
 
Vyanzo mbali mbali vinarepory kuwa, zaid ya wanajesh wa Ukr-naz 2000 waliozingirwa uko Gorskoe and Zolotoe, wanatoa ishara za kujisalimisha.
 
Mkuu,ni hivi: Ukraine na Urusi ni kama ndugu ie wamechangia damu,ndio maana Putin hakutaka kutumia nguvu nyingi,yeye alikuwa anashambulia infrastructures za kijeshi na wanajeshi sio raia ,wanajeshi wa Russia Walio kuwa wanaingia mijini walikuwa wanapigana nyumba hadi nyumba ili kupunguza vifo vya raia wasio na hatia, tofauti kabisa na mbinu zinazo tumiwa na jeshi la USA ambazo utumia ndege za vita (Bombers na jet fighters) kudondosha mabomu mfurulizo (carpet bombing) zinaharibu infrastructures, killing civilians wengi wasio na hatia pamoja na wanajeshi - lengo la mbinu hizo za Kimerikani ni kuweka mazingira ambayo wanajeshi wao waliingia mjini kupigana wasipate upinzani mkubwa kutoka kwa maadui zao, Warusi hawakutumia mbinu hizo za Merikani ndio maana vita inaonekana inaendeshwa taratibu sana.

Kama jeshi la Urusi lingehamua kufanya kweli bila simile/kutumia nguvu zote za kijeshi nawa hakikishieni Ukraine ingesambaratishwa ndani ya mwezi mmoja na Zelensky ange hama nchi.

Leo hii tumemsikia Zelensky akilalamika sana kwamba hivi sasa jeshi la Urusi limeanza kutumia nguvu nyingi kushambulia jeshi la Ukraine - hii inatokana no Urusi kukasirishwa na Ukraine kushambulia kisima cha mafuta na gesi baharini karibu na Crimea - bottom line is:kumbukeni Urusi ina uwezo mkubwa kijeshi ikihamua kuzitumia kikamilifu NATO haiwezi kuona ndani itapigika kweli kweli - Urusi si Taifa la mchezo mchezo, kama NATO itafanya makosa ya kushambulia/vamia Urusi - ikae ukijuwa Urusi itawashangaza wengi kwa uhimili wake katika masuala ya VITA - NATO wasi jidanganye.
 
Kam hao wazungu wanaheshimu Sheria vita vya Ukraine visingetkea coz Kuna mkataba wa NATO na Russia kutojitanua kuelekea urusi lakin wao wamefanya ,pili vita ya Iraq, marekani na kundi lake waliivamia Iraq huku UN ikiwa kwenye sintofahamu,So unachokiongea hukijui

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
If russia goes down it goes down with them

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hakuna kitu kibaya na hatari kama utumwa wa fikira....ni ajabu sana kuona mwafrika anamhusudu mtu kama mmarekani. Hawa jamaa wametufanyia uovu mwingi kwenye hii rangi yetu hukuti jema hata moja
--wamekuwa wakiua sana viongozi wetu wanaoonesha kujali masilahi ya wananchi wao e.g p lumumba, tomas sankala, gaddafi n.k
-----wamekuwa wakiharibu sana uchumi wa nchi zinazoendela kwa kuzilazimisha kuchukua mikopo world bank na imf na kuzibebesha madeni yasiyolipika na mwisho kuchukua na kudhibiti kabisa rasilimali na watu wake...waweza kusoma kitabu kinaitwa "confession of economic hitman"
-----wamekuwa wakitufanyia majaribio ya hatari kisayansi yaani tumekuwa kama panya au sungura wa maabara eg tuskeege experiment ambapo familia nyingi za watu weusi waliambukizwa syphilis kwa makusudi ili serikali marekani na shetani wake CDC wawezeke kutambua na kuzisoma athari za ugonjwa huo, kuna kitabu kinaitwa medical apartheid kinaelezea namna wanawake wakiafrika walivofanyiwa majaribia ya hatari na maumivu makari kwenye viungo vyao vya uzazi
-----lynching(unyongaji wa kadamnasi), ubakaji(kwa wanawake na wanaume) na mengine mengi yasiyozunguzika yaliofanyika kipindi cha utumwa na baada ya utumwa mpaka leo hii.
Kiufupi orodha ya uovu wa hawa watu ni ndefu mno. Sasa sijui akili ya kuwapenda hawa watu mnaitoa wapi au ndio upumbavu na ujinga wa viwango vya juu..yaani ni mwenye matatizo tu ya akili au awe hataki kufatilia historia ndio anaweza kuwa na mahaba na hawa watu

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kibaya na hatari kama utumwa wa fikira....ni ajabu sana kuona mwafrika anamhusudu mtu kama mmarekani. Hawa jamaa wametufanyia uovu mwingi kwenye hii rangi yetu hukuti jema hata moja
--wamekuwa wakiua sana viongozi wetu wanaoonesha kujali masilahi ya wananchi wao e.g p lumumba, tomas sankala, gaddafi n.k
-----wamekuwa wakiharibu sana uchumi wa nchi zinazoendela kwa kuzilazimisha kuchukua mikopo world bank na imf na kuzibebesha madeni yasiyolipika na mwisho kuchukua na kudhibiti kabisa rasilimali na watu wake...waweza kusoma kitabu kinaitwa "confession of economic hitman"
-----wamekuwa wakitufanyia majaribio ya hatari kisayansi yaani tumekuwa kama panya au sungura wa maabara eg tuskeege experiment ambapo familia nyingi za watu weusi waliambukizwa syphilis kwa makusudi ili serikali marekani na shetani wake CDC wawezeke kutambua na kuzisoma athari za ugonjwa huo, kuna kitabu kinaitwa medical apartheid kinaelezea namna wanawake wakiafrika walivofanyiwa majaribia ya hatari na maumivu makari kwenye viungo vyao vya uzazi
-----lynching(unyongaji wa kadamnasi), ubakaji(kwa wanawake na wanaume) na mengine mengi yasiyozunguzika yaliofanyika kipindi cha utumwa na baada ya utumwa mpaka leo hii.
Kiufupi orodha ya uovu wa hawa watu ni ndefu mno. Sasa sijui akili ya kuwapenda hawa watu mnaitoa wapi au ndio upumbavu na ujinga wa viwango vya juu..yaani ni mwenye matatizo tu ya akili au awe hataki kufatilia historia ndio anaweza kuwa na mahaba na hawa watu

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Aise kweli jf ina kila aina ya watu sikuwahi fikiri kuwa kuna vilema wa ufahamu kwa level hii....mtu bila haya bila uoga anasema marekani ipo fea...mh hili ni janga la taifa kweli

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kaka unaongea marekani mwenye Rais mpya tofauti na akiwa na chama jipya kila baada ya mutual, Marekani alivamiwa na magaidi wakajitambulisha wako Iraq na Afghanistan na kwingineko.
Ndipo wakatangaza kwenda kuwasambaratisha magaidi, sasa wangefanyaje?
Marekani na washirika wake wanasisitiza na kusimamia hali usawa wa dunia.
Wao wanapambana na adui bila kuchaguaadui wao ni yupi waarabu weusi au wachina ama Mrusi but ukienda kwao hao wote kupewa uraia kwa anaewaunga.
Sasa ebu linganisha nchi zingine demokrasia Kwanza raia walio wachagua ndio adui namba moja wa kupambana nao

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Innalilah wa innalilah rajun
 
Mkuu siwezi kuona kwamba jeshi la Urusi linatumia nguvu ndogo iwezekanavyo katika mashambulio yake Ukraine. Nikiangalia picha za miji mbalimbali, naona ilisagwa kuwa vumbi, nyumba baada ya nyumba. Idadi ya vifo vya kiraia huku Mariupol ni makumielfu.
 
Wewe ni mwehu asee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wa kupuliza
Usijifanye huoni kumbe PK anajidaia wakurya kwenye jeshi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…