Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Elewa swali.Mandela na Nyerere walienda kwenye maandamano na familia zao?Nyerere na Mandela ndio usiwataje kabisaaa,kama hujui historia bora utoe upupu wako hapa,hujui kwamba Mandela alifungwa kwa sababu zipi??
Uwe unaelewa swali.Walikuwa wanaenda kwenye maandamano na familia zao?
Elewa hoja Mandela alikuwa haandamani?Elewa swali.Mandela na Nyerere walienda kwenye maandamano na familia zao?
Asante,mwerevu wewe utakuwa unalishwa na danga la mamakoUtakuwa unakula kwa shemeji yako wewe.
una akili za kipumbavu sana.
Mimi ndiyo danga la mamakoAsante,mwerevu wewe utakuwa unalishwa na danga la mamako
Boga kama tikitimaji!Elewa hoja Mandela alikuwa haandamani?
Mbona mnataka viongozi wa ukinzani waende na watoto wao kuandamana?walikwenda na wananchi sio watoto wao.
Kichwa kama sinia la hitimaBoga kama tikitimaji!
Danga gani unalishwa na danga la mamakoMimi ndiyo danga la mamako
Kuna kipindi hapo nyuma tulitoka lakin ajabu wew hukutokea kabisaYaani Eswatin hadI wanafunzi wa primary wanaandamana kudai haki zao.
Hapa Tanzania utasikia majinga yanasema Mbowe,Lissu na Lema watangulize familia zao mbele.
Ujinga hautaisha Tanzania.
we ni punguani!Akili za wapi hizo?Unataka haki yako au unawataka watoto wa Mbowe?Kajitolea kukusemea na kukutetea lakini huridhiki hadi uwaone watoto wake?Kama familia yake haina mtazamo wa baba yao utafanyaje?
Hakuna anayekuzuia kuandika unachowaza.Kaa uelewe kwamba kama weye hautaki katiba mpya,tuliza kiuno wenzako wadai.we ni punguani!
Acha upunguani,Marehemu maalim seif kipindi cha raia kupigwa kule Zanzibar Mwaka 2001yeye aliyeitisha maandamano ya kudai haki aliondoka siku chache kabla ya hayo maandamano!Kudai haki ni haki kabisa isipokuwa itoke ndani ya nafsi za watu sio kwa ushawishi wa mtu muoga na kuwatoa watoto wetu mhanga wa kwake wapo wamekaa nyumbani.You need to lead by example.At the end of the day ikitokea faida watoto wao watakuwa wankula layer ya wali ya kati kati wakati watoto wetu wanakula makoko kwa kuandamana then wakishawaondolea makoko wao wanakula layer nzuri then wakifika mwisho wameshiba wanawaachia watoto wetu ukoko.Hao watoto wanaoandamana its from within them sio kitu cha kupandikizwa!Waache watanzania wanaotaka kuandamana iwe imetoka mioyoni mwao kama hao wanafunzi!Hakuna anayekuzuia kuandika unachowaza.Kaa uelewe kwamba kama weye hautaki katiba mpya,tuliza kiuno wenzako wadai.
Sasa hapo unakataa nini na unarudi palepale kushauri yaleyale?Ndiyo maana unapenda kutumia neno "punguani"!Kumbe linakupendeza kama dereva wa lori na usukani wake.Acha upunguani,Marehemu maalim seif kipindi cha raia kupigwa kule Zanzibar Mwaka 2001yeye aliyeitisha maandamano ya kudai haki aliondoka siku chache kabla ya hayo maandamano!Kudai haki ni haki kabisa isipokuwa itoke ndani ya nafsi za watu sio kwa ushawishi wa mtu muoga na kuwatoa watoto wetu mhanga wa kwake wapo wamekaa nyumbani.You need to lead by example.At the end of the day ikitokea faida watoto wao watakuwa wankula layer ya wali ya kati kati wakati watoto wetu wanakula makoko kwa kuandamana then wakishawaondolea makoko wao wanakula layer nzuri then wakifika mwisho wameshiba wanawaachia watoto wetu ukoko.Hao watoto wanaoandamana its from within them sio kitu cha kupandikizwa!Waache watanzania wanaotaka kuandamana iwe imetoka mioyoni mwao kama hao wanafunzi!
Mbona mnataka viongozi wa ukinzani waende na watoto wao kuandamana?
Muache ni punguani,kama ni kuandamana tunataka familia zao na wao wenyewe wawepo!uwe unaelewa ndugu.
kuja watu wako wanalaumu watz kutokuandamana au wanahamasisha maandamano mitandaoni,wao wenyewe hawaingii wala hawaweki watoto wao.