Ethics/Moral philosophy inaweza kua suluhisho ya matatizo yako

Ethics/Moral philosophy inaweza kua suluhisho ya matatizo yako

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Wakuu,

Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine.

NB: mtu anayejihusisha na falsafa hii anaitwa Ethicist!

So, Ethicist anapofanya jambo lake either kwa matendo au maneno yake huwa kwanza anaangalia faida na hasara ya kufanya jambo hilo.

Socrates baada ya kuitwa kwenye baraza la wazee akasomewa mashtaka yake, moja ya shtaka ikiwa kuwapotisha vijana kwa mafundisho yake alikubali kunywa sumu ili afe maana alitafakari faida na hasara, uzuri na ubaya wa yeye kuendelea kuishi, na jinsi uwepo wake kuwa duniani unaweza kuathiri Wengine. Suluhisho akaona afe.

Kuna wakati dawa ya tatizo sio kuendelea kupambana nalo bali inabidi utafakari Ethics za maisha. Maana kadri ya unavyozidi ku "Hold On" ndio unavyozidi kuumia.

Kwa mfano una mpenzi/mchumba wako unampenda sana ila huna uwezo wa kumuhudumia, ila pia kuna mtu anampenda mpenzi wako uwezo anao mzuri. Kama Ethicist inatakiwa umuachie mpenzi wako huyo aende kwa mtu huyo maana faida ni chache kuliko hasara za kua nawe. Akiwa na mtu huyo mwenye maisha mazuri atapata huduma zote pia anaweza kujenga familia na kuzaa kizazi chenye Unafuu wa maisha.

Example 2: Maisha yamekuchapa kila ukitafuta kusudi la wewe kuleta duniani hilioni. Kila unachofanya hakiendi. Kaa chini tafakari faida na hasara za wewe kuishi.

Faida: Ukifa unapunguza population density, Eneo lako ambalo ungekaa atakaa mtu mwingine mwenye thamani katika maisha, ukifa Unapunguza competition ya resources za duniani, ukifa utatengeneza fosil fuel, ukifa utarututubisha ardhi miti na majani yaote izalishe Oxygen watu wenye Maana duniani wataivuta.

Hasara: Ukifa watu watahuzunika na kulia ila baada ya wiki tu watasahau na maisha yatendelea.

I'm not encouraging anyone to die ila nilijaribu kuwatazamisha ni jinsi gani ethics inaweza kusaidia kutatua matatizo yako mbalimbali kwa kufuata faida na harmsara ya kila jambo utendelo. Socrates, Plato, Aristotle, Zeno, Marcus aurelius wote hawa walikua Ethicist. Kutokana na mawazo yao haya wameweza kuishape dunia kwa kiwango kikubwa.

But ili uweze kuishika Moral philosophy vyema inatakiwa uwe ni mfuasi japo kwa kiwango kidogo wa falsafa ya Stoicism.

Nitaeleza Stoicism kwenye comment.
-Vinci
 
Kwenye vitu sitavifanya kwenye maisha yangu ni kujitoa uhai haijalishi nadaiwa kiasi gani au nimesalitiwa kiasi gani[emoji16][emoji16]Mimi ni Simba sitakufa kinyonge yaani nitakufa kama wale masterling wa kwny movies amepigwa mpaka stage ya mwisho na mshale kifuani yuko chini adui akisogea anajikaza na kusimama Huku akitema damu mkono Moja kashika mshale alochomwa kifuani mwingine jambia na yeye anamuotea adui Moja .....[emoji3134][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ugali ni mtamu jamani natania Tu Maana maisha Yana Fumbo sana.....kutamka ni rahisi zaidi ya kutenda ila kiukwl tamshi langu kujiua kwangu ni mwiko...
 
Una hoja nzito kwa manufaa ya taifa Moderator futeni huu uzi immediately.
About Stoicism...

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha, usiwe na huzuni, usiwe na hasira, usitegee kitu, usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua, kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachment to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus Aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.
 
Kwenye vitu sitavifanya kwenye maisha yangu ni kujitoa uhai haijalishi nadaiwa kiasi gani au nimesalitiwa kiasi gani[emoji16][emoji16]Mimi ni Simba sitakufa kinyonge yaani nitakufa kama wale masterling wa kwny movies amepigwa mpaka stage ya mwisho na mshale kifuani yuko chini adui akisogea anajikaza na kusimama Huku akitema damu mkono Moja kashika mshale alochomwa kifuani mwingine jambia na yeye anamuotea adui Moja .....[emoji3134][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ugali ni mtamu jamani natania Tu Maana maisha Yana Fumbo sana.....kutamka ni rahisi zaidi ya kutenda ila kiukwl tamshi langu kujiua kwangu ni mwiko...
Lengo la mada yangu sio kujadiri watu wajiue au la... Ni kuwataka watu wafanye maamuzi kwa kuzingatia Ethics nilozozielezea. Laiti kama tukiitumia vyema hatutaumizwa na vitu vidogovidogo
 
Falsafa ya maadili inajumuisha maadili ya kijamii, maadili ya kibinafsi, na maadili ya kiroho. Ni uchunguzi wa jinsi tunavyopaswa kuishi, kufanya maamuzi mema, na kuishi kwa njia inayolingana na kanuni na maadili sahihi. Ni vyema tukaheshimu kanuni na maadili mema hili kuifanya Dunia kuwa sehemu salama kwa kuishi viumbe hai vyote.
Tuondoe dhana ya ubinafsi na tujali viumbe hai wengine.​

Nikushukuru kwa Uzi mzuri na wenye mafundisho mazuri kwa walimwengu.👏

Sijawai kuchoka kufwatilia taarifa zako ndogo ndogo unazochangia hapa jukwaani iwe kwenye uzi ama kwenye comments.
Tunajifunza vingi kutoka kwako Sir, endelea kuwa mfano bora kwa jamii.

Mwenyezi Mungu azidi kukubariki sana Rafiki 🙏.
 
Mkuu nikisifiwa hua naona aibu ujue, I find it weird.
But thanks for appreciation
 
Huu uzi umeupost kabla ndgu yetu Joel hajajitupa toka ghorofani.

Huenda huu uzi pia ulimmotivate jamaa, kijana ukamatwe na uhojiwe.
Moral decisions...
Kama huku faida za kukamatwa kwangu zitakua zinafaida kuliko kutokamatwa basi...Nikamatwe tu.
Ethicist tunajua kifo ni hatma yetu sote at any time. So pindi faida za kufa zinapozidi kuishi basi we embrace the fate☺️

But simotivate yeyote kujiua, ila nataka watu tufanye maamuzi kwa kuzingatia Moral decisions
 
Back
Top Bottom