Note:
Naona wazungu wapo katika mkakati wa kuligawa tena bara la afrika hasa kwa nchi kubwa kubwa, itazame Sudan imeshagawanyika, Chad hapakaliki ,Nigeria anytime itagawanyika sababu ya mafuta yanayopatikana kaskazini, Mozambique tayari gesi imeanza kuleta shida, Ethiopia inaelekea ugawanyika, Libya tayari iko vipandevipande, Somalia tayari wana Somali land na Somalia nyingine, Congo hapakaliki, Angola aidha pana vita ama vuguvugu la kutoelewana sijaiweka Tanzania japo ni nchi kubwa afrika pamoja na South Africa labda sababu inawazungu wengi, na Misri hizi hazipo salama anytime zitatikisika whether you like it or no lazima zitatikiswa ni swala la muda tu, ila siku zinahesabika, naona whites wapo kwenye mission kali sana sijui kama tutapona Tanzania!
Sioni pa kuponea uenda varangati itaanzia kusini mwa Tanzania ila inabidi tuwe makini we're in danger naona dhahiri hatupo salama.