Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Uko sahihi kabisa mkuu, kwa jamii zetu za Africa ni rahisi sana kupata madaraka kwa kutumia kete ya kikabila au dini na unaweza kufanikiwa sana kwa njia hiyo na ukakaa madarakani kwa raha zote na utajihisi tena hakuna kama wewe.Nimewaza Kama WEWE...huyo JAWAD ni mkabila sana tu.....
Halafu ukabila wake unaonekana kwani yeye ni PURE Oromia ila Abiy Ahmed ni chotara(Oromo+Amhara).
Ukabila ni kitu KIBAYA MNO....
Ukiukumbatia kipindi fulani ujue kitakuja KIPINDI nguvu hizo ZITAPOTEA....angalia TIGRINYA kwa miaka mingi walivyokuwa WANATAMBA chini ya Zenawi....leo NGUVU ile imewandoka....WANAITAFUTA TENA my foot....
Rip Baba wa Taifa JKN,aaamen aaaamen!!
Ila siku ukianguka basi anguko lako litakuwa kubwa Sana.