Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

Mahali popote alipo Msomali + Waislam wengi kunakuwa na matatizo ya kudumu

Kifupi wana laana nzito kuwahi kutokea duniani
Bora ungekaa kimya tu kuliko kukurupuka! Huu ugomvi wa Ethiopia hakuna Msomali anayehusika hata kidogo. Yaani kwenye siasa za Ethiopia hawa wasomali wa Ethiopia hawapo kabisa na wala huwa hawajioni kama wao ni waethiopia wanajiita wasomali. Abbiy Ahmed japokuwa ni mu-oromo (Kabila lenye waislam wengi) lakini yeye ni Mpentekoste na Tigray majority kama sio wote ni wakristo wa madhehebu ya Orthodox.

Hapo Msomali na Uislam umeingiaje?
 
Ni
Abiy alitegwa sana na Nobel peace price. Anajitahidi sana lakini bado anachangamoto. Pia apendwi na wa Oromo wenzake Abiy baba yake ni Oromo mama yake ni Amhara.

Kuna kijana Machachari wa Kioromo anakuja juu kweli Mohaned Jarawa alikuwa akiishi uhamishoni Marekani amepewa kesi ya uhani. Yani huyo kama uchaguzi ukiwa fair anakuwa Rais anaheshimika sana Iromia. Kura pekee za wa Oromo zinaweza kumuweka mtu Rais.

Tunasema Magufuli dikteta Magufuli siyo dikteta udikteta huko Ethiopia na bila udikteta ile nchi haikaliki watachinjana kama kuku.

Abiy tatizo kagusa maslahi ya Tigray ni kosa kubwa sana kafanya wale wanaume wa Tigray wakiamua tu
Ni kwanini Abiy Ahmed hapendwi na ndugu zake Oromia?!!!
 
Bora ungekaa kimya tu kuliko kukurupuka! Huu ugomvi wa Ethiopia hakuna Msomali anayehusika hata kidogo. Yaani kwenye siasa za Ethiopia hawa wasomali wa Ethiopia hawapo kabisa na wala huwa hawajioni kama wao ni waethiopia wanajiita wasomali. Abbiy Ahmed japokuwa ni mu-oromo (Kabila lenye waislam wengi) lakini yeye ni Mpentekoste na Tigray majority kama sio wote ni wakristo wa madhehebu ya Orthodox.

Hapo Msomali na Uislam umeingiaje?
Nimemjibu hapo juu...

Ameamua "kun....ya" hadharani😂😂
 
Abiy alitegwa sana na Nobel peace price. Anajitahidi sana lakini bado anachangamoto. Pia apendwi na wa Oromo wenzake Abiy baba yake ni Oromo mama yake ni Amhara.

Kuna kijana Machachari wa Kioromo anakuja juu kweli Mohaned Jarawa alikuwa akiishi uhamishoni Marekani amepewa kesi ya uhani. Yani huyo kama uchaguzi ukiwa fair anakuwa Rais anaheshimika sana Oromia. Kura pekee za wa Oromo zinaweza kumuweka mtu Rais.

Tunasema Magufuli dikteta Magufuli siyo dikteta udikteta huko Ethiopia na bila udikteta ile nchi haikaliki watachinjana kama kuku.

Abiy tatizo kagusa maslahi ya Tigray ni kosa kubwa sana kafanya wale wanaume wa Tigray wakiamua tu
Namfahamu sana Muhammed Jawar! Alipotua Addis ababa mji ulisimama, nilikuwepo Addis wakati jamaa anarudi Ethiopia kutokea Marekani. Wa-Oromo wanamuona ndiye muokozi wao baada ya Abbiy Ahmed kugoma kuwapa upendeleo waoromo wenzake. Huyu Jawar ni threat sana kwa Abbiy ndiyo maana kila siku anapigwa kesi na kurundikwa jela kama viongozi wa CHADEMA(Joke).
 
Hii vita ilikuwa haiepukiki, hata mimi ningekuwa Abbiy Ahmed ingenibidi tu kuwachapa wa Tigray! Haiwezekani jimbo liasi serikali kuu halafu wachekewe tu. Hawa jamaa licha ya kuwa wapo only 6% lakini wanajifeel superior sana kutokana na utawala wa miaka 25+ wa Melles Zenawi mtigray mwenzao ambapo nafasi za juu za nchi na nyanja zote za kiuchumi zikashikiliwa na hiki kikabila. Hapo ndipo hata mabilionea wakiethiopia walipatikana kupitia ufisadi uliopitiliza katika serikali pendelevu ya Zenawi na matajiri almost wote walioibuka walikuwa watigray.Wakajisahau kabisa na kujiona wao ndiyo wana hati miliki ya nchi.

Hatua waliyofikia ya kujifanyia uchaguzi wao peke yao wa viongozi nje ya kalenda ya serikali na kushambulia kituo cha kijeshi cha jeshi kuu la nchi hakikubaliki kabisa kwa namna yoyote. Dawa yao ilikuwa ni kuchapwa tu, kitu ambacho ndicho exactly Abbiy amekifanya.
Japo si ubinaadamu kutumia NGUVU iliyopitiliza zaidi ya wengine...

Ila alichofanya Abiy Ahmed hakiepukikwi.....labda uamue kuliacha taifa LIGAWANYIKE....

Ni kweli Tigrinya wanajiona KEKI juu ya wananchi WOTE...
Walizoeshwa hivyo.....

Sasa inabidi KIWANUKIE tu....
 
Tanzania hakuna kabila lenye watu million 30 Kama lilivyo kwa oromo, au watu million 18 Kama ilivyo kwa amhara acha uongo
Ukabila hauhitaji mpaka kabila liwe na watu million 30 au million 18, ukabila ni tabia mbaya tu ya kujiona bora kuliko binadamu wengine na kuanza kuwadharau wengine,

Watutsi wa Rwanda na Burundi walipoanza kuwabagua wahutu kwamiaka nenda rudi hawakuwa wengi kama wahutu,

Wazungu (makaburu) Boers Wa Afrika kusini hawakuwa wengi kama wazulu, waxhosa na wasani wa afrika kusini natives, lakini waliwabagua na kuwanyanyasa waafrika weusi walio wengi,

Ukabila hauhitaji muwe wengi, ni tabia tu , hata mkiwa watatu mnaweza kuwa wakabila.
 
Ni

Ni kwanini Abiy Ahmed hapendwi na ndugu zake Oromia?!!!
Kwasababu yeye anataka eti kui-unify Ethiopia iwe kitu kimoja, yaani waoromo wasahau yaliyopita wagange yajayo. Waoromo walinyanyasika sana kipindi watigray wapo madarakani, Tigrayans na Amhara walikuwa wanawatreat kama second class citizens waoromo. Sasa alipoingia Abbiy jamaa wakajua ndiyo muda wao sasa wa kulipa kisasi halafu yeye akawakata stimu kwamba wagange yajayo.

Huyo Jawar Muhammed amewaahidi akishika nchi hadi Addis ababa atairudisha kwa waoromo. (Kijiographia Addis ababa ipo Oromia region)
 
Namfahamu sana Muhammed Jawar! Alipotua Addis ababa mji ulisimama, nilikuwepo Addis wakati jamaa anarudi Ethiopia kutokea Marekani. Wa-Oromo wanamuona ndiye muokozi wao baada ya Abbiy Ahmed kugoma kuwapa upendeleo waoromo wenzake. Huyu Jawar ni threat sana kwa Abbiy ndiyo maana kila siku anapigwa kesi na kurundikwa jela kama viongozi wa CHADEMA(Joke).
Ooo...

Kwa mustakabali wa taifa hatuoni kuwa Abiy ni bora na mkomavu zaidi?
Na ni mtu asiyetaka kuweka upendeleo kwa makundi yenye nguvu ama ukubwa kiidadi?!!!
 
Ni

Ni kwanini Abiy Ahmed hapendwi na ndugu zake Oromia?!!!
Wa Oromo ni wakorofi na barbaric sema ni easy to hundle compared to Tigreans licha ya idadi yao kubwa.

Wa Oromo hawapendi kabisa Abiy na hawataki kumsikia. Abiy kusema kweli anajitahidi haegemei upande wowote. Oromo wanataka taifa lao kamili na lugha yao ya Kioromo itumike kitu ambacho haiwezekani. Addis Ababa ipo Oromia wanaitaka iwe yao pekee yao na makabila mengine yaondoke.

Ni barbarik na washamba ukilinganisha na Tigray wachache lakini makini na Abiy angechelewa tu na isingekuwa na support ya Amhara wanaume wangejitenfa maamae na Tigray kuwa nchi.

Huyu rais wa Eritrea hovyo sana isaias Afereweik ni Tigray Qatar inamtumia vibaya. Wee kabila lako unawatenga yani aliwanyima Tigray/Ethiopia hata bahari japo kipande tu cha coastline wakati wa Melez wakati aba long coastline line ndefuu gulf of aden kisa siasa
 
Wapare ni Eastern Bantus. Eastern Bantus ni Kikuyu, wakamba, Meru wa Kenya, Embu. Na pia ni Wachaga, Meru Tanzania, wapare na makibila yote ya Tanga na Mombasa.

Historia inasema walisafiri pamoja ila hao wa Kikuyu na wakamba wakaendelea zaidi na kuwaacha wapare na wachafa meru nyuma waliamua kusettle permanently walipo sasa hivi
Kwa wapare kuna wagweno......nasikia hata mila zao kidogo ni tofauti na za wapare wengine hao ndo nasikia walitokea Ethiopia maana wana tamaduni nyingine ambazo ni tofauti kdg na za wapare wabantu
 
Ukabila hauhitaji mpaka kabila liwe na watu million 30 au million 18, ukabila ni tabia mbaya tu ya kujiona bora kuliko binadamu wengine na kuanza kuwadharau wengine,

Watutsi wa Rwanda na Burundi walipoanza kuwabagua wahutu kwamiaka nenda rudi hawakuwa wengi kama wahutu,

Wazungu (makaburu) Boers Wa Afrika kusini hawakuwa wengi kama wazulu, waxhosa na wasani wa afrika kusini natives, lakini waliwabagua na kuwanyanyasa waafrika weusi walio wengi,

Ukabila hauhitaji muwe wengi, ni tabia tu , hata mkiwa watatu mnaweza kuwa wakabila.
👍👍👍
Facts.....

Tigrinya wako 6% tu....ila balaa...kama walivyokuwa WATUTSI....
 
Ooo...

Kwa mustakabali wa taifa hatuoni kuwa Abiy ni bora na mkomavu zaidi?
Na ni mtu asiyetaka kuweka upendeleo kwa makundi yenye nguvu ama ukubwa kiidadi?!!!
Kwa mustakabali waethiopia Abbiy Ahmed inabidi abaki madarakani. Jamaa yupo focused sana na uchumi wa Ethiopia utapaa zaidi chini ya huyu mtu. Kwasasa hadi ameanza ku-attract foreign investment na anamipango kabambe ya kubadilisha sera za kiuchumi za ethiopia ikiwepo kuruhusu biashara huria kutoka kwenye kila kitu kushikiliwa na serikali. Mimi naona angegeuka tu dikteta kama Zenawi ili aifikishe nchi mbali, hizi demokrasia anazotaka kuziweka kwenye nchi ya wakorofi haitawezekana
 
Namfahamu sana Muhammed Jawar! Alipotua Addis ababa mji ulisimama, nilikuwepo Addis wakati jamaa anarudi Ethiopia kutokea Marekani. Wa-Oromo wanamuona ndiye muokozi wao baada ya Abbiy Ahmed kugoma kuwapa upendeleo waoromo wenzake. Huyu Jawar ni threat sana kwa Abbiy ndiyo maana kila siku anapigwa kesi na kurundikwa jela kama viongozi wa CHADEMA(Joke).
Na kumbuka uchaguzi umehairushwa. TPLF chini ya Zenawi ilipokuwa madarakani Ethiopia ilikuwa stable. Sometimes udikteta unasaidia. Ila kwa Tanzania hamna haja Ya Magu kuwa dikteta ya nini sisi ni wa dhaifu sana angepotezea tu. Yani yeye angefokafoka mbongo muoga sana ukumfokea. Udikteta ni uonevu tu kwa mbongo
 
Kwa wapare kuna wagweno......nasikia hata mila zao kidogo ni tofauti na za wapare wengine hao ndo nasikia walitokea Ethiopia maana wana tamaduni nyingine ambazo ni tofauti kdg na za wapare wabantu
Wagweno pia ni wabantu. Tanzania ni wa Iraqw mbulu tu cushites na walitojea Ethiopia.

Hata warangi na wanyaturu ni Bantus
 
Wa Oromo ni wakorofi na barbaric sema ni easy to hundle compared to Tigreans licha ya idadi yao kubwa.

Wa Oromo hawapendi kabisa Abiy na hawataki kumsikia. Abiy kusema kweli anajitahidi haegemei upande wowote. Oromo wanataka taifa lao kamili na lugha yao ya Kioromo itumike kitu ambacho haiwezekani. Addis Ababa ipo Oromia wanaitaka iwe yao pekee yao na makabila mengine yaondoke.

Ni barbarik na washamba ukilinganisha na Tigray wachache lakini makini na Abiy angechelewa tu na isingekuwa na support ya Amhara wanaume wangejitenfa maamae na Tigray kuwa nchi.

Huyu rais wa Eritrea hovyo sana isaias Afereweik ni Tigray Qatar inamtumia vibaya. Wee kabila lako unawatenga yani aliwanyima Tigray/Ethiopia hata bahari japo kipande tu cha coastline wakati wa Melez wakati aba long coastline line gulf aden kisa siasa
Kumbeee....

Sasa huyo Muoromo Mohamed anayependwa na watu wake....je ana nia ya kuwapatia OROMO hilo taifa?! na je hilo linaangaliwaje na makabila mengine?!!!!

Kwangu Abiy Yuko SAHIHI mno....
 
Wa Oromo ni wakorofi na barbaric sema ni easy to hundle compared to Tigreans licha ya idadi yao kubwa.

Wa Oromo hawapendi kabisa Abiy na hawataki kumsikia. Abiy kusema kweli anajitahidi haegemei upande wowote. Oromo wanataka taifa lao kamili na lugha yao ya Kioromo itumike kitu ambacho haiwezekani. Addis Ababa ipo Oromia wanaitaka iwe yao pekee yao na makabila mengine yaondoke.

Ni barbarik na washamba ukilinganisha na Tigray wachache lakini makini na Abiy angechelewa tu na isingekuwa na support ya Amhara wanaume wangejitenfa maamae na Tigray kuwa nchi.

Huyu rais wa Eritrea hovyo sana isaias Afereweik ni Tigray Qatar inamtumia vibaya. Wee kabila lako unawatenga yani aliwanyima Tigray/Ethiopia hata bahari japo kipande tu cha coastline wakati wa Melez wakati aba long coastline line gulf aden kisa siasa
Kabisa! Na kinachombeba Abbiy ni zaidi wa Amhara na waoromo wachache. Maana wazazi wake Baba ni Muoromo na mama ni Amhara. Hivyo anaushawishi kutoka kwa makabila yote mawili ingawa waoromo walitegemea favor zaidi kutoka kwake hivyo kama wanakinyongo fulani hivi.

Cha kufurahisha kwenye hili la kuwachapa Tigray waoromo wamemuungamkono na wanamgambo wakioromo wapo tayari kwenda front line kuzichapa.
 
Kwa wapare kuna wagweno......nasikia hata mila zao kidogo ni tofauti na za wapare wengine hao ndo nasikia walitokea Ethiopia maana wana tamaduni nyingine ambazo ni tofauti kdg na za wapare wabantu
👍👍
 
Back
Top Bottom