Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....wasomali wa ETHIOPIA ni wachache sanaaa...Wala hawana impact juu ya makubwa ya pale......Mahali popote alipo Msomali + Waislam wengi kunakuwa na matatizo ya kudumu
Kifupi wana laana nzito kuwahi kutokea duniani
....ndicho KIWAPIGANISHACHO....
👍👍Omo river valley kusini mwa Ethiopia kuna makabila madogo makubwa 'Southern nations' hya makabila moja yao ni maarufu Hamar na ni tofauti na Habeshas (Oromo, Amhara, Tigray, Gurage) na Eritreans. Hawa ni highland nilotes and interestingly Chimbuko la wamasai, Kalenjins (kabila la moi na Ruto na eliud kipchoge Kenya) na Karamajong (uganda) wametokea huku long time na kumigrate South.
Makabila mengine ni
Wanahifadhi mila zao na closely guarding them. Idadi yao siyo kubwa sana kama laki mbili ni Dogo kweli ukilinganisha na more than 100 million Ethiopia populatio.
Makabila yanayopatikana hapa ni Hamar, Mursi, Karo/Kara, Dorze, Bena (tofauti na wabongo wabena wa bongo ni Bantus), Dasenech, Bome, Tsemai na Erbore.
Haya makabila siyo legelege kama akina Tigray wanalima sana na mahindi yanatoka kwa wingi ukanda wao. Hata Addis Ababa wengi wao ndio vibarua hadi wanawake kwenye kubeba zege.
Bint wa kabila la HamerView attachment 1627780
Wanaume wa kabila la DasenacgView attachment 1627785
Wanawake wa kabila la Erbore
View attachment 1627791
Mursi tribe View attachment 1627795
....na huo pia una mchango mkubwa dhidi ya UMOJA WA TAIFA HILO!!Kabla utumwa haujapigwa marufuku ethiopia. Hao wa kaskazini (watigray na Amhara) walikuwa wakifanya hawa wa kusini , weusiweusi, waoromo kama watumwa. Na Ethiopia wamechelewa sana kukomesha utumwa, mwaka 1931.
Mkuu ahsante sanaaa....katika chimbachimba yako hujafahamu asili ya Wapare?!!Kuna 'wapare wa Ethiopia ama wakinga wa Ethiopia' kabila la Gurage lugha yao ni cushitic. Yani ni mabahiri balaa mpare ni cha mtoto. Karibia wote ni Waislamu. Na ni wafanyabiashara wazuri sana hasa za maduka magenge na migahawa na gesti.
Gurage hata kama ana hela utakuta anakula mlo mmoja kubana Matumizi. Ila ni wakarimu na liberals.
Kuna hawa Hafar kutoka Harar wanaume wao wana mila za kuweka mitindo ya nywele za ajabu ajabuView attachment 1627746
Kazuri kweli picha yake ni nembo ya binti wa Ki Hamer. Kabila lao wako 35,000 tu.Huyo bint wa kabila la Hamer ni "mmasai" kabisaaaa...
Mzuri kwa "matumizi"😂
Hakika, ilipaswa iwe hivi..Heading ilitakiwa kusomeka: Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia?
Ngozi lainiiii....Kazuri kweli picha yake ni nembo ya binti wa Ki Hamer. Kabila lao wako 35,000 tu. View attachment 1627819
Utasubiri sana wewe uliyejaa chuki dhidi ya rais wetu,kiama ya mwili itakukuta bila kushuhudia haya unayotamani yaikute nchi yetuEthiopia imejali maendeleo ya vitu badala ya kuzingatia haki, uhuru, na maendeleo ya watu. Ndiko Tanzania chini ya Mhutu tunakoelekea.
Wapare ni Eastern Bantus. Eastern Bantus ni Kikuyu, wakamba, Meru wa Kenya, Embu. Na pia ni Wachaga, Meru Tanzania, wapare na makibila yote ya Tanga na Mombasa.Mkuu ahsante sanaaa....katika chimbachimba yako hujafahamu asili ya Wapare?!!
Maana hawa kina Mshana Jr naskia nao walitokea ETHIOPIA...isije ikawa ndugu zao WALIOBAKI ndio hao GURAGE wanaoshindia kashata na kahawa?!!
Sijafahamu kwa hilo ila Oromo na Wasomali kumpata demu ana antena ni kama lulu ama rupia.Ngozi lainiiii....
Saafiii kwa "kutumia"...
Mkuu hivi hawa ndio wale wanaooga maziwa?!!!
Vipi kuhusu FGM?
Nao mabinti wa kihamer wanaondolewa "antenna"?!!!
Sisi makabila makubwa hatuna, ila tumechukua njia ya Ethiopia: Maisha magumu yatatunyoooosha hasa
Yaani wala huogopi kupigwa ban tenaTigray ni wachache ila wananguvu sana na Mali. Na ndio hao walimng'oa dikteta Mengistu Haile Mariam. Tigray wapo hadi Eritrea na wanaongea lugha moja Tigrinia japo mipaka tu na siasa imewatenganisha.
Rais wa Eritrea Isias alikulia na kusomea Addis Ababa akarudi Eritrea na kuanza siasa zake chafu.
Melez Zinawi aliingoza TPLF na akaleta maendeleo sana Ethiopia.
Wasomali wa Ethiopia wako jimbo la ogaden wenyewe wanjiona hawako Ethiopia. Djibouti ni Wasomali hawajawahi kuwa Ethiopia.
Cha kushangaza wote hao Ethiopian hawawezi kujitofautisha kwa sura wanakuja kujitofautisha na kujua flani katoka kabila flan wanapoongea.
Queen sheba (Sabaah) kipenzi cha mfalme Suleiman alitokea Tigray.
Pia kuna makabila mengi madogo madogo kusini mwa Ethiopia 'Southern nations' omo river valley kama gurage, Hamar.
Nilishaletaga Uzi humu miaka ya nyuma kuhusu uhasama wa makabila ya Ethiopia kwenye id yangu pendwa iliyopigwa life ban copen hagen DN
Abiy alitegwa sana na Nobel peace price. Anajitahidi sana lakini bado anachangamoto. Pia apendwi na wa Oromo wenzake Abiy baba yake ni Oromo mama yake ni Amhara.Hii vita ilikuwa haiepukiki, hata mimi ningekuwa Abbiy Ahmed ingenibidi tu kuwachapa wa Tigray! Haiwezekani jimbo liasi serikali kuu halafu wachekewe tu. Hawa jamaa licha ya kuwa wapo only 6% lakini wanajifeel superior sana kutokana na utawala wa miaka 25+ wa Melles Zenawi mtigray mwenzao ambapo nafasi za juu za nchi na nyanja zote za kiuchumi zikashikiliwa na hiki kikabila. Hapo ndipo hata mabilionea wakiethiopia walipatikana kupitia ufisadi uliopitiliza katika serikali pendelevu ya Zenawi na matajiri almost wote walioibuka walikuwa watigray.Wakajisahau kabisa na kujiona wao ndiyo wana hati miliki ya nchi.
Hatua waliyofikia ya kujifanyia uchaguzi wao peke yao wa viongozi nje ya kalenda ya serikali na kushambulia kituo cha kijeshi cha jeshi kuu la nchi hakikubaliki kabisa kwa namna yoyote. Dawa yao ilikuwa ni kuchapwa tu, kitu ambacho ndicho exactly Abbiy amekifanya.
Looh kumbe Oromo Kama Wasomali eee😂😂Sijafahamu kwa hilo ila Oromo na Wasomali kumpata demu ana antena ni kama lulu ama rupia.
Ila wana mila zao za ajabu demu kucharazwa mijeledi mgongoni hadi damu zitoke kuonyesha ukakamavu na kupendwa na wanaume