Suala sio kabila acha ujinga, suala ni majimbo yenye mamlaka na jeshi. Hayo majimbo Ethiopia yana majeshi yake na watawala wanaochaguliwa na wananchi na wanamamlaka ya kukatalia hata serikali kuu.
Ndio upumbavuu waliotaka kuanzisha Chadema
Mkuu ndio Ethiopia ni fideral state. Lakini swala ukabila ndio chanzo halisi ya uhasama. Na hii ilitokana baada ya Mengistu Haile Mariam kupinduliwa na TPLF (Tigray) ikiongozwa na, akina Melez Zinawi.
WAtigray kwa asili wanajpenda na kujikuza japo niwachache. Walipichukua mamlaka wakaconsoldate power na kuhodhi Mali nyingi na pesa. Na kuwadharau na kuwauwa wa Oromo wengi na kuwasweka ndani.
Jeshi lote la Ethiopia lilikuwa chini ya Tigray hadi Abiy alipoingia.
Melez Zenawi alipokufa Tigreans walishikwa na hofu sana wakijua genocide itatokea.
Kosa ambalo Melez Zenawi alifanya na kuacha ni vitambulisho vya taifa national IDs Ethiopia vinaonyesha ama kuandikwa kabila lako.
Kama Dayaspora tu ya waEthiopia wanachukiana na hawawezi kukukutana kujadiliana mambo ya nchi yao kwa pamoja mikutano yao ipo kimakabila tu. Hata Ethiopian new year hawasherekei pamoja. Pia Ethiopian Christmas (Orthodox Christmash) awasherekeipamoja.
Ethiopia is a divided nation long time ago since the death of Melez sasa hivi kila Jimbo lina bendera yake. Wa Oromo wanata bendera yao ba Addis ni yao Nazareth/ adanma na awasa ni ya kwao kuna sehemu addis ukiongeleshwa kioromo usijibu na waone kitambulisho ni tigrai wanakucuchinja.
Gondar na Bahir Dar ni ya amhara
Tigray yote na Aksum ni ya Watigrai.