Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

Wingi ni sababu huo ndo ukweli, Tanzania hakuna ukabila sababu hakuna kabila lenye watu wengi sana, mengi ni madogo madogo
 
Mkuu hebu fanya maarifa umwage tena huo uzi, najua wenye roho mbaya hawapo tena.
Dah mkuu nilitaka kukupita mbona umetoa avatar picha yako ya muda mrefu tuliyokuzoea njiwa anaosha kichwa kwenye bomba. Naona umeweka picha ya Madagascar ya iconic baobab trees
 
Upo sahihi mkuu
Jumbe Brown.
 
Tangu Uhuru hamnaga wachagga waliopendelewa madaraka get ur Facts real acha uongo
 
M
Tangu Uhuru hamnaga wachagga waliopendelewa madaraka get ur Facts real acha uongo
MIE sijataja MTU hapa ndugu. Ama unajishtukia. Yaani nikisema kuwa hebu angalie mwizi Wangu akaota nyoya usoni Mara paaa umejishika USO.
Afu MIE ni kutokea Rwanda so unajishtukia mwenyewe pole kwa kujihisi binti.
Wakati tunapata Uhuru jamii iliyokuwa na wasomi wengi Ilikuwa ya mbeya na kagera over.
 
Tusisingizie wazungu kwa uzembe wetu wa kushindwa kujitawala
 
Hujataja mtu lakini watawala wasiojiamini na wanaoshabikia hii awamu wanakuwa na ukabila na ku point kabila flani kuwa hawajafuraishwa wamejua ka sio inferiority complex na nilitaka kuweka clear to nchi hii kabila ulilomaanisha halijawahi kutoa mawaziri na wenye vyeo vikubwa Kama makabila mengine vipi maendeleo yao?.
Ulichoandika kwa muktadha wa issue ya ethiopia ni irrelevant una chuki zako tu binafsi
 
mi nadhani shida kubwa ni hao wa Tigray waliozoea kukalia madaraka na kujipatia mali, sasa wanaona wanaonewa.
Hao Matigray ni kama watusi wanajifanyaga wao ndio watawala wengine ni watumwa sasa kibao kimegeuka wanasomeshwa namba ila kwa uhasama wa Misri/Sudan kuhusu bwawa wanaweza kusaliti nchi wakapata silaha kutoka huko na kupigana kujitawala lakini kuiangusha Addis Abbaba
 
Wala Sina chuki nikuambie. Sema MIE Nina chukia Yale maneno kisa wewe umetoboa afu ujione mjanja uwe unatukuna wengine.
Ivi maendeleo gani kwanza unaongelea wewe.
Waliooendelea wanatusaidia afrika jamani.
Kama umeendelea unaenda hata sehemu unawasaidia kama wamisheni walivyokuja afrika. Sio wewe una kanyumba ka self three rooms na kagari kausafiri kama MIE afu unaanza kujinadi eti umeendelea na huku hujawahi hata kusaidia dawati shuleni
 
Una inferiority complex inakusumbua tu just believe urself sio wewe tu hata washamba wengine hawajiamini na makabila yao wakati binadamu wote ni sawa Sasa mtu unayeanini uteuzi ndio maendeleo basi watu wa Mara wangekuwa tajiri ka california so futa hyo kusema eti teuzi zinalalamikiwa kwani before teuzi hilo kabila watu hawali na hawaishi ku enjoy life, ur comment was useless
 
Wapambanaji wote wa kweli aidha wako ndani kwa kesi zisizoisha au wamekimbia nchi zao,hii ni kama Lisu wa CHADEMA
 
Huyo ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,hakuna sababu ya kulipa kisasi maana ndio itakuwa kanuni sasa,Abiy yuko sahihi shida kubwa waliyonayo ni kukosa lugha ya kuwaunganisha watu wote wa Taifa kama Kiswahili kwa TZN
 
Be blessed my sister.
Kwani kuwa na inferiority wewe inakuuma ama kuna Hela umepoteza nikulipe.
Anayway let us call a day. Thank you kwa kubadilishana mawazo. Ukitaka zaidi nitumie namba yako pm tuchat vizuri yaweza kuwa ndo mwanzo Wa kufanikiwa
 
Hao wa Tigray wanajiona ni wajuaji na ndio wenye haki saana kiliko wengine hii ni sawa na maccm kujiona wao ndio wenye hati miliki ya Tzn.
Tahadhari itafika mahali mtakuja kuzikimbia nyumba zenu na muamzi ni ugumu wa maisha tu huku kwetu haitakuwa ukabila bali itikadi za siasa nyie endeleeni tuu
 
Majimbo yanamakabila we ndo uaje Ujinga, Jimbo la oromia wanakaa kabila la oromo, the same kwa amhara na tingrayan
Nature ya majimbo kwenye nchi nyingi za kiafrika ni ukabila,ukifuata hata Sudan kusini ni hivyo hivyo,kwa Tzn kwa kuwa tuna muunganiko wa lugha na maingiliano ya makabila mengi serikali za majimbo zitakuwa kama USA ambako majimbo yao sio ya kikabila kwa hiyo hakuwezi kuwa na shida kama huko kwingine.
Mfumo wa Ethiopia majimbo yana hadi jeshi sijui wanamgambo sasa upuuzi kama huo hauwezi fanywa Tzn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…