Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono.

Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo kubwa kutoa msaada na hivyo watoto wamekua wakijitegemea.

Inaripotiwa watu milioni 7.1 wameyahama makazi yao ndani ya miezi 6 tokea kuzuka kwa mapigano jimboni humo.

Umoja wa mataifa toa tahadhari kuwa kuna dalili kubwa za watoto,wanawake wajawazito na wamama wanaonyoyesha kupata utapiamlo.
 
Back
Top Bottom