nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Hawa jamaa nimefanya nao kazi sana....ni majembe....ila kidoogo sometimes vichwa vinawapata moto na kusaga miraa.oryaaa🙂Kibiashara, tuwakubalie tu. ila somalia hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa nimefanya nao kazi sana....ni majembe....ila kidoogo sometimes vichwa vinawapata moto na kusaga miraa.oryaaa🙂Kibiashara, tuwakubalie tu. ila somalia hapana.
Wasiwasi wako tuHawa wapuuzi watakuja kutuletea machafuko tu. Wasomali ni kama moto wa mabua, unawaka chini chini ukija kutahamaki ushateketeza.
Mjinga baba yako ambae aliacha kutumia mpira kupelekea kutungishwa mimba ya juha moja kama wewe.Toa ujinga wako hapa,wakuletee machafuko kivipi labda?
Toa upuuzi wako hapa wewe short sightedMjinga baba yako ambae aliacha kutumia mpira kupelekea kutungishwa mimba ya juha moja kama wewe.
Kila mtu na mawazo yake, nimetumia simu ya bi mkubwa wako kuandika comment yangu? Usijipe ukiranja wa jukwaa.
at least I'm short sighted, I can fix that with spectacles; You are stupid, dude that can't be fixed with anything.Toa upuuzi wako hapa wewe short sighted
Sawa lakini unataka kuniambia tishio la usalama la sasa ni zaidi ya enzi za miaka ya 1950s-1990s wakati Tanzania ikiongoza mapambano ya uhuru katika Mataifa ya Afrika ya Kusini na Kati?Kuongeza matatizo pia. Nchi kama Somalia usalama mdogo, anapokua mwanachama lazima tutahusika na matatizo yake kwa namna moja au nyingine na hapo ndo tunaweza jikuta tunaingia kwenye misala ambayo hatukutarajia
Acha upotoshaji unafikiri South Sudan na Somalia zimeingia kwa ushawishi wa Tanzania?Sawa lakini unataka kuniambia tishio la usalama la sasa ni zaidi ya enzi za miaka ya 1950s-1990s wakati Tanzania ikiongoza mapambano ya uhuru katika Mataifa ya Afrika ya Kusini na Kati?
Enzi zile Tanzania ilikuwa na maadui kadhaa wakiwemo Sultan wa Zanzibar, Makaburu wa South Africa, Namibia; Walowezi wa Zimbabwe, Angola na Msumbiji na bado Bwana Dada wa Uganda kule; hata Somalia mambo yaliharibika kuanzia 1990s.
Kwa sasa tishio la usalama wa Tanzania sanasana ni bwana PAKA na hao Wasomali, ambapo bado ni cha mtoto ukilinganisha na enzi zile za miaka ya 1950s-1990s.
Kumbuka, Tanzania bado ina ushawishi mkubwa sana kwenye Muungano wa EAC na hata AU.
Japo Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una kero, bado unabaki kuwa kielelezo kizuri Afrika.
Nina uhakika EAC ikikubali nchi fulani ijiunge maana yake ni kwamba maoni ya Tanzania ndiyo huzingatiwa kwa sababu ya uzoefu wake.
Tuanze kutengeneza hali ya kongo jumuia yetu iwe salamaItatawlika Kwa kusaidiwa na memba wengine
Bora iwe hivyo kuliko kuwa na DRC.Ni jambo zuri. Wakifanikiwa kujiunga, naamini na Djibouti + Eritrea nao watajiunga bila shaka.