Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Amesahau hii mleta uziTanganyika yetu, Zanzibar yao
Ethiopia tatizo ni Ukabila zaidi.Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.
1. Ethiopia. Muungano wa Ethiopia ni dhaifu sana. Kila mkoa una jeshi lake na "Rais" wake. Wana mikoa 12 iliyogawanyika kimakabila. Watu wa Tigray wamelianzisha tena. Vita vita. Kabla ya 2030 hii haitakuwa nchi moja. Zinaweza hata kutoka nchi 12.View attachment 36778642. UK mchakato wa kuvunjq muungano umeanza na wanataka wapate kura ya kujitengavikiwezekana mapema 2028. Hata nchi Nchi tatu au nne mpya zinaweza kuzaliwa.View attachment 3677866
3. Mali. Waasi wa Azawad wanawasha moto mwingi. Kabla ya 2030 wanaweza kuwa na nchi yao.
View attachment 3677865
4. DRC. M23 ni kama wameishajipatia kanchi kao.
View attachment 3677869
4. Somalia. Tayari nchi kama Israel imeishawatambua Somaliland. Viongozi wake wanazunguka huku na kule duniani kulobby kutambuliwa.
View attachment 3677871
Nchi gani nyingine unaona haifiki 2030 ikiwa nchi moja.
Kwenye hizo nchi ulizozitaja hapo juu zikitengana zitaongeza idadi ya mataifa masikini Afrika na ulimwenguni.Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.
1. Ethiopia. Muungano wa Ethiopia ni dhaifu sana. Kila mkoa una jeshi lake na "Rais" wake. Wana mikoa 12 iliyogawanyika kimakabila. Watu wa Tigray wamelianzisha tena. Vita vita. Kabla ya 2030 hii haitakuwa nchi moja. Zinaweza hata kutoka nchi 12.View attachment 36778642. UK mchakato wa kuvunjq muungano umeanza na wanataka wapate kura ya kujitengavikiwezekana mapema 2028. Hata nchi Nchi tatu au nne mpya zinaweza kuzaliwa.View attachment 3677866
3. Mali. Waasi wa Azawad wanawasha moto mwingi. Kabla ya 2030 wanaweza kuwa na nchi yao.
View attachment 3677865
4. DRC. M23 ni kama wameishajipatia kanchi kao.
View attachment 3677869
4. Somalia. Tayari nchi kama Israel imeishawatambua Somaliland. Viongozi wake wanazunguka huku na kule duniani kulobby kutambuliwa.
View attachment 3677871
Nchi gani nyingine unaona haifiki 2030 ikiwa nchi moja.
Wana majimbo 21. Watoe tu nchi 21 tuendelee na mambo mengine. Hatutaki vita vya kujitenga hapo baadaye.Muhimu Kongo iparaganyike zitokee nchi kati ya 5 Hadi 8.
Ni hatari uwepo wa Kongo kwa ulivyo Sasa, kwa mustakabari wa baadae wa afrika mashariki
Nchi 21Wana majimbo 21. Watoe tu nchi 21 tuendelee na mambo mengine. Hatutaki vita vya kujitenga hapo baadaye.
Ni hatari kweli. Maana serikali ya Kinshansa inashindwa kucontrol kote. Haya maeneo ya pembezoni yanakuwa si salama kwa majirani. Hata Msumbiji ipo hivyo, Maputo inashindwa kuwacontrol Wamakua wa huku kaskazini mwishowe wanahatarisha na majirani.Nchi 21
Halafu zote zinazotumia kiswahili tunazufuta ukanda huu.
Ila likibaki lilivyo ni hatari kwetu.
Je, tunaweza kupata maendeleo? Mana kuna nchi nyingine ni kubwa kama vile viongozi wameshindwa kuzisimamia!Africa Tujaribu kuwa na nchi nyingi ndogo ndogo kama Ulaya
Wanavyopenda MATAKO makubwa unadhani watakuelewa?Africa Tujaribu kuwa na nchi nyingi ndogo ndogo kama Ulaya
Unaamini kabisa amesahauAmesahau hii mleta uzi
zikigaanyika ndo wataweza kucontrol?, kinachowafanya washindwe kuontrol ni ukubwa?Ni hatari kweli. Maana serikali ya Kinshansa inashindwa kucontrol kote. Haya maeneo ya pembezoni yanakuwa si salama kwa majirani. Hata Msumbiji ipo hivyo, Maputo inashindwa kuwacontrol Wamakua wa huku kaskazini mwishowe wanahatarisha na majirani.
Hakuna mgawanyiko wowote utakaotokea ila migogoro itaendelea kuwepo tu..Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.
1. Ethiopia. Muungano wa Ethiopia ni dhaifu sana. Kila mkoa una jeshi lake na "Rais" wake. Wana mikoa 12 iliyogawanyika kimakabila. Watu wa Tigray wamelianzisha tena. Vita vita. Kabla ya 2030 hii haitakuwa nchi moja. Zinaweza hata kutoka nchi 12.View attachment 36778642. UK mchakato wa kuvunjq muungano umeanza na wanataka wapate kura ya kujitengavikiwezekana mapema 2028. Hata nchi Nchi tatu au nne mpya zinaweza kuzaliwa.View attachment 3677866
3. Mali. Waasi wa Azawad wanawasha moto mwingi. Kabla ya 2030 wanaweza kuwa na nchi yao.
View attachment 3677865
4. DRC. M23 ni kama wameishajipatia kanchi kao.
View attachment 3677869
4. Somalia. Tayari nchi kama Israel imeishawatambua Somaliland. Viongozi wake wanazunguka huku na kule duniani kulobby kutambuliwa.
View attachment 3677871
Nchi gani nyingine unaona haifiki 2030 ikiwa nchi moja.
Urusi, India, Marekani, Brazil, Algeria na Canada zote ni kubwa kuliko Congo na ziko vzr, kinachosumbua Congo ni akili ovyo za ngozi nyeusizikigaanyika ndo wataweza kucontrol?, kinachowafanya washindwe kuontrol ni ukubwa?
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utatoboa ?Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.