Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

Urusi, India, Marekani, Brazil, Algeria na Canada zote ni kubwa kuliko Congo na ziko vzr, kinachosumbua Congo ni akili ovyo za ngozi nyeusi
Akili za Mwafrika kwa kiasi kikubwa bado zipo kwenye mfumo wa Hunting and Gathering ndio maana mambo ya kijinga jinga ya kuuana kama simba na swala yametamalaki sana kwenye hili bara la kissenge..
 
Urusi, India, Marekani, Brazil, Algeria na Canada zote ni kubwa kuliko Congo na ziko vzr, kinachosumbua Congo ni akili ovyo za ngozi nyeusi
Ukiangalia hizo nchi utaona wamefanya decentralization kubwa ya madaraka. Zote hizo zinafuata majimbo. Maamuzi karibu yote yanayogusa maendeleo na maisha ya kila siku ya mwananchi yanafanyika kwenye majimbo. Serikali kuu kazi kubwa ni ulinzi na mambo ya kimataifa. Algeria itoe maana karibu asilimi 90 ni jangwa lisilo na watu.
 
Mkuu Ethiopia imekua hivyo kwa miongo kadhaa na still imesimama kama nchi. Sidhani kama serikali kuu itakuwa radhi kuruhusu hill this time. Waethiopia ni kila siku utasikia mapigano ya kikabila author ya waasi name serikali
 
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Ndo maana Europe wanajitahidi kuwa na EU inayofunction kama serikali licha ya kujifanya kila nchi ina utawala wake.
Watu kugombana, kupingana sababu eti ya UKABILA, LUGHA, RANGI, MATAMSHI, DINI, ni upumbavu, ujinga na dhambi ya kiwango cha juu.
Ni sawasawa na hawa wazanzibar tu hapa kwetu, ni sawasawa watu mmeoana lakini kila mtu anataka abaki na historia zake, utawala wake, uhuru wake.
Wanachokitafuta watakipata..
Wazanzibar tuliwakosea nini 😡😡😡
 
Back
Top Bottom