Ethiopia overtakes Kenya as economic giant of East Africa

Ethiopia overtakes Kenya as economic giant of East Africa

This was always expected, in fact has taken way too long to happen, a country with more than 100 million people and growing at more than 8% not to mention its massive investment on infrastructure in their huge country, was definitely going to overtake us. Congrats to them, unlike our southern lazy neighbors whose population is larger than ours, huge fertile land and minerals everywhere but their citizens have filled our streets begging.

Halafu wako wapi wale waimba kwaya wa debt to GDP akina Mwanzi1 maana kufikia 2016 Ethiopia ilikua 56.9% na hawakuwapigia makelele kama wanavyotokangwa udenda ikija kwa Kenya.
Mtulie kwa sasa Uhuru anataka kuwaletea Doctors kutoka Cuba. Shule it seems haziku wasaidia
 
Tanzania ingoje angalau miaka sijui kufikia Kenya kiuchumi, na angalau miaka 10 ikiwa uchumi wa Kenya itakosa kukua kabisa miaka hiyo yote.
unaongea bila data. Kuna thread mpya nimefungua kuhusu TZ na Ethiopia itakupa picha kamili
 
Mimi mambo ya uchumi yananishangaza!! Hawa wa Ethiopia kila siku wanakamatwa wamesondekwa kwenye ma container!! . Huu uchumi unamsaidiaje raia wa kawaida, kama hawa wa Ethiopia wanaojitolea maisha yao kwenda ughaibuni?!

Lakini kama uchumi ni mambo ya takwimu na watawala kwangu sioni logic.
[emoji15] [emoji106]
 
Tuendelee ama tusiendelee?
Tutaendelea tu, wapende wasipende. Walipoteza siku yao nzima kuapishana na bibilia ya donor, hehehe, Gideons Bible, Not for Sale. 😀 I, Raila Tibim, do swear that, Tialalaa! Naasa naasa naasa, nasaaaa! Baba Igweee! Igweee! Nimemiss sana huo wimbo wao.
 
Hahaha, umenikumbusha wale manesi wenu, walotaka kuja Kenya kufanya kazi za madaktari.
Sio manesi bali doctors. Nawote wameajiliwa TZ. Huko mimi sijaelewa mmeshindwa nini kwenye elimu ya udaktari. Kingereza kimewasaidia nini?
 
Tutaendelea tu, wapende wasipende. Walipoteza siku yao nzima kuapishana na bibilia ya donor, hehehe, Gideons Bible, Not for Sale. 😀 I, Raila Tibim, do swear that, Tialalaa! Naasa naasa naasa, nasaaaa! Baba Igweeee!
Ukabila wa siasa hatuhutaki JF
 
Sio manesi bali doctors. Nawote wameajiliwa TZ. Huko mimi sijaelewa mmeshindwa nini kwenye elimu ya udaktari. Kingereza kimewasaidia nini?
Madaktari? Ndio maana walimpaka Tundu Lissu Vicks kisha wakamtuma Kenya? 😀
 
Hatuutaki, si hatuhutaki. Ukabila upi? Haya ni maswala ya Kenya bana. Kama huelewi, hayakuhusu. Chungulia kutoka kwa tundu lako kama nungunungu wenzako.
Wakikuyu mlirahaniwa. Kilichobaki nikuifanya Kenya failed kwa sasa hata Kalenjini hawa wahamini.
 
Madaktari? Ndio maana walimpaka Tundu Lissu Vicks kisha wakamtuma Kenya? 😀
We brought him for security purpose and made sure its a private hospital not government owned. Huko nasikia mnabaka hadi wagonjwa hospitali. Mmeona mbuzi na ngombe haziwatoshi mmeamia kwa wagonjwa.
 
Wakikuyu mlirahaniwa. Kilichobaki nikuifanya Kenya failed kwa sasa hata Kalenjini hawa wahamini.
Kulaaniwa, sio kurahaniwa. Itakuwa ulienda shule kuvunja madirisha wewe. Kama kawa unaendeleza ukabila wako tu. Mimi nataja vyama wewe unataja makabila. Kuna siku niliona uzi wako flani, kichwa chake kilikuwa eti Wakikuyu! Akili za mende.
 
Mimi mambo ya uchumi yananishangaza!! Hawa wa Ethiopia kila siku wanakamatwa wamesondekwa kwenye ma container!! . Huu uchumi unamsaidiaje raia wa kawaida, kama hawa wa Ethiopia wanaojitolea maisha yao kwenda ughaibuni?!

Lakini kama uchumi ni mambo ya takwimu na watawala kwangu sioni logic.
Uchumi unasaidia serikali unakuzisha mapato ya serikali lakini raia wanakuwa maskini,tafauti na uchumi kama wa nchi za Kiarabu uchumi unaonufaisha raia na serkali..

Nchi za Kiarabu kila raia utaona ana uwezo kwasababu mfumo wa uchumi wao ni wa kunufaishana,serikali inanufaisha raia na raia wananufaisha serikali..,

Tanzania uchumi wake unategema kodi za wananchi,lakini wakati huo huo serikali haifanyi chochote kwa wanaishi kutoka katika kodi walizochukua kutoka kwa wananchi...

Magufuli anaiga mfumo wa uchumi wa Ethiopia karibu watanzania watakimbia nchi na wao watakuwa wakamatwa kwenye makontena wakikimbia nchi yao kama wanavyofanya Waithiopia..
 
Kulaaniwa, sio kurahaniwa. Itakuwa ulienda shule kuvunja madirisha wewe. Kama kawa unaendeleza ukabila wako tu. Mimi nataja vyama wewe unataja makabila. Kuna siku niliona uzi wako flani, kichwa chake kilikuwa eti Wakikuyu! Akili za mende.
Mimi kiufupi kiswahili sikusoma nilijifunza. nimesoma nje nikaja malizia elimu vyuo vya TZ. Ndomaana naweza kaa meza moja na Odinga pamoja na Wanjigi.
 
Kulaaniwa, sio kurahaniwa. Itakuwa ulienda shule kuvunja madirisha wewe. Kama kawa unaendeleza ukabila wako tu. Mimi nataja vyama wewe unataja makabila. Kuna siku niliona uzi wako flani, kichwa chake kilikuwa eti Wakikuyu! Akili za mende.
Wakikuyu nyote K iliyovunda ikaoza kwa harufu. Wachache sana mnajitambua
 
We brought him for security purpose and made sure its a private hospital not government owned. Huko nasikia mnabaka hadi wagonjwa hospitali. Mmeona mbuzi na ngombe haziwatoshi mmeamia kwa wagonjwa.
Mmehamia sio mmeamia. We jamaa bana inafaa udai karo yote ambayo ulilipa kule St. Kayumba. Kwahivyo Tz hakuna usalama wa kutosha kwa wabunge?
 
Back
Top Bottom