mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Watanzania wamejaa Kenya wengi wakiwa omba omba kwenye streets za miji.Haya maukubwa ya kiuchumi kimaisha yanasaidia nini?Ethiopia kila siku mnakamatwa wahamiaji haramu na kufungwa miezi 6 sita.Kenya mmejazana huku bongo kila mahali mpaka tunakosa pa kupita.Nigeria wanadai uchumi wao mkubwa barani Africa lakini bado wamejazana S.Africa.Ingekuwa huo ukubwa wa uchumi unawanufaisha si mngebaki kwenye manchi yenu huko?