Watanzania wamejaa Kenya wengi wakiwa omba omba kwenye streets za miji.Haya maukubwa ya kiuchumi kimaisha yanasaidia nini?Ethiopia kila siku mnakamatwa wahamiaji haramu na kufungwa miezi 6 sita.Kenya mmejazana huku bongo kila mahali mpaka tunakosa pa kupita.Nigeria wanadai uchumi wao mkubwa barani Africa lakini bado wamejazana S.Africa.Ingekuwa huo ukubwa wa uchumi unawanufaisha si mngebaki kwenye manchi yenu huko?
Si kweli wakenya wamejaa bongo sana na suruali zao km za chakubanga na makobazi.Sijui kuwa Giant kiuchumi kuna mantic yeyote!Watanzania wamejaa Kenya wengi wakiwa omba omba kwenye streets za miji.
Punguza hasira kwa kuwakujia omba omba wenu wanajaza barabara za Kenya na vijibakuli...saidia saidia ndio wimbo wao kama vile JPM anatembeza kibakuli SA kwa Zuma akiomba misaada eti SGR...ni lini mtaajiamini kukataa vya bure?Si kweli wakenya wamejaa bongo sana na suruali zao km za chakubanga na makobazi.Sijui kuwa Giant kiuchumi kuna mantic yeyote!
Inakaa haujaishi Nairobi sana. Hao omba omba wako biashara, They are brought from TZ by crocked kenyan businessmen who house and feed them and collect their daily earnings.Punguza hasira kwa kuwakujia omba omba wenu wanajaza barabara za Kenya na vijibakuli...saidia saidia ndio wimbo wao kama vile JPM anatembeza kibakuli SA kwa Zuma akiomba misaada eti SGR...ni lini mtaajiamini kukataa vya bure?
Inakaa haujaishi Nairobi sana. Hao omba omba wako biashara, They are brought from TZ by crocked kenyan businessmen who house and feed them and collect their daily earnings.
Ukiona omba omba wa Kutoka TZ, actually ni Mkikuyu anafanya hio biashara
Wanatoka Tz juu ya umaskini babaa juu Kenya hela ipo.Inakaa haujaishi Nairobi sana. Hao omba omba wako biashara, They are brought from TZ by crocked kenyan businessmen who house and feed them and collect their daily earnings.
Ukiona omba omba wa Kutoka TZ, actually ni Mkikuyu anafanya hio biashara
Sasa hivi wataka kuniambia mtu mwenye afya bora, lishe bora na mandhari bora anaweza tolewa nchi yake kuja nchi jirani awe ombaomba? Malizeni umaskini nchi yenu ombaomba wapungue.
Hamuelewi hii biashara ya omba omba hapa nairobi? There was even a TV exposè on the human trafficking happening and the millions of ksh they earn per day. TZ people are promised good jobs in kenya only to be told to go to the streets and beg on behalf of their mostly kikuyu businessmen.Wanatoka Tz juu ya umaskini babaa juu Kenya hela ipo.
Wakenya mlivyo na ukabila wenyewe kwa wenyewe sembuse mruhusu watu wa Taifa jingine waje huko?Punguza hasira kwa kuwakujia omba omba wenu wanajaza barabara za Kenya na vijibakuli...saidia saidia ndio wimbo wao kama vile JPM anatembeza kibakuli SA kwa Zuma akiomba misaada eti SGR...ni lini mtaajiamini kukataa vya bure?
Tanzanians are easily duped due to the high prevalence of poverty. Kenya is a haven to Tanzanians as South Africa is to Zimbabweans. Have you ever heard immigrants running or being trafficked into Tanzania in a promise to get a better life??Hamuelewi hii biashara ya omba omba hapa nairobi? There was even a TV exposè on the human trafficking happening and the millions of ksh they earn per day. TZ people are promised good jobs in kenya only to be told to go to the streets and beg on behalf of their mostly kikuyu businessmen.
Wìra nì wìra, yùmbùkaga nakìria ìmeretie.
Tatizo ni nini mkuu au niwapeleke hawa ndugu zako migration huku manake Mimi natumia ubinadamu kuwasitiri manake wanaishi na kufanya kazi bila vibali.Watu wengine hatujazaliwa na roho mbaya nawachukulia poa tu.Sisi tuna ardhi kubwa sana yenye kila kitu;Ardhi yenye rutuba,mvua za kutosha,maziwa,mabwawa,bahari ,mito,madini;dhahabu,Tanzanite(yapatikana Tz only),Almasi,mbuga za wanyama;Serengeti,ngorongoro,mikumu,selous,tarangire,milima:Kilimanjaro(Ingawa kila siku mnadanganya dunia uko kwenu),na maliasili nyingine nyingi.Hata mkija Kenya yote pamoja na raisi wenu bado hamuwezi kumaliza chochote,Tanzanians are easily duped due to the high prevalence of poverty. Kenya is a haven to Tanzanians as South Africa is to Zimbabweans. Have you ever heard immigrants running or being trafficked into Tanzania in a promise to get a better life??
The reason Shrewed kikuyu business men traffic tanzanians is because Wa TZ are polite and non confrotational. Other wise, Somalis and Ethiopians are much more poorer and could be better fodder for the shrewed MùgìkùyùTanzanians are easily duped due to the high prevalence of poverty. Kenya is a haven to Tanzanians as South Africa is to Zimbabweans. Have you ever heard immigrants running or being trafficked into Tanzania in a promise to get a better life??
Tofauti ya hawa ni kuwa wapo kazini wakila jasho lao. Wenu omba omba ni kuzungusha vibakuli na kuwalaghai watu.Tatizo ni nini mkuu au niwapeleke hawa ndugu zako migration huku manake Mimi natumia ubinadamu kuwasitiri manake wanaishi na kufanya kazi bila vibali.
So they(Tz) are loyal like puppies and can be easily persuaded to dehumanize themselves?The reason Shrewed kikuyu business men traffic tanzanians is because Wa TZ are polite and non confrotational. Other wise, Somalis and Ethiopians are much more poorer and could be better fodder for the shrewed Mùgìkùyù
1 billionaire na 60 million poor Tanzanian.Inaitwa lack of equal income distribution. Tanzania si ati nyinyi ni wazuri sana. Nyerere alikuwa mwerevu akaleta ujamaa system. Shida ya ujamaa ni eti haikuleta maendeleo mengi ya kiuchumi T.z. Hata hivyo, uzuri wa ujamaa ni eti, ilizuia makurutu ,mabepari na cartels kujitajirisha, huku watu wengi wakibaki masikini. Lakini Tanzania mumeamua kufuata mfumo wa ubepari. Hivi karibuni kutakuwa na Watanzania wachache matajiri na watu wengi masikini.
Alikuwepo janerose aka viking 23 nikamsambalatisha itakuwa wewe pimbi
Hahaha, umenikumbusha wale manesi wenu, walotaka kuja Kenya kufanya kazi za madaktari.
Umenipata hapa na utaniwacha hapa. Nitakusambaratisha ka Bagamoyo Port😁Alikuwepo janerose aka viking 23 nikamsambalatisha itakuwa wewe pimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli hio Bwaga la Moyo ilifika wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Umenipata hapa na utaniwacha hapa. Nitakusambaratisha ka Bagamoyo Port[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] amka usikojoe kwa kitandaHii nchi,itakuja kuwa na kama china,urusi,
Inaonekana ni nchi yenye mashirika ya umma,yanayofanya vzr,imeweza kufanya mega projects,ambazo hapa kwetu tunajengewa na wchina,waturuki,
Kuna siku itazipiku SA,na itaanza kutoa misaada kwa vinchi vingine,
Sent using Jamii Forums mobile app