Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,381
- Thread starter
- #141
Kila kitu cha umeme kwa anzia pasi na jiko la umeme. Na civil servants watumishi wa umma woote wanapewa ruzuku subsidies kwenye nauli kodi ya nyumba na voucher kwenye groceries. Narudia tena bill ya maji Ethiopia ni ni elfu 10 kwa mwaka. Na umeme wa household bila kubana matumizi ni elfu 10 kwa mwezi.Hiyo bei unayoisema ni ya mtumiaji gani na ana vifaa gani? TZ kuna wanaotumia sh 7,000 kwa mwezi. Hawa labda waa bulb mbili au tatu na wanawasha wanapohitaji tu. Sasa wewe una friji, jokofu, na vyombo chungu mbovu vya umeme unataka Sh. ulipe 10,000 kwa kwezi au mwaka!
Mkuu ingia Google uthibibitishe ama soma comment #130.