Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Hiyo elfu kumi yenyewe waliwabembeleza ili ifike hapo maana ilikua shilingi 6500
Wanaweza hata kuwapa umeme Bure kama Zambia zamani maana ni ruzuku tuu..

Tanzania haiwezi kubeba ruzuku ya Kila kitu
 
jamaa wa chadema hao kazi yao ni kulalama tuh na ujuaji kuna nchi huru kama Tz mfano apo kwenye umeme mbona kule kijijini kuna watu wapo zero tariff kwa mwezi wanatumia umeme ya 5000 tuh hadi 1000, maji wanapata bure ,elimu bure yani ni enjoyment ya hali ya juu hadi wakongo wanakuja hapa wanashanga
Umewajuaje kuwa ni chadema mkuu??Kuna alama fulani umeona?? Nipe mbinu basi na mimi niwe nawatambua, au mtu akiongea kuhusu bei za umeme na maji kuwa juu Tz ndio Mwanachadema.
 
Umewajuaje kuwa ni chadema mkuu??Kuna alama fulani umeona?? Nipe mbinu basi na mimi niwe nawatambua, au mtu akiongea kuhusu bei za umeme na maji kuwa juu Tz ndio Mwanachadema.
chadema anajificha basi wako kikudakuda tuh we mtizame mbowe
 
Na tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Kumbuka mto Nile unapita huko. Wameutumia vizuri Sana na wanazalisha umeme kwa wingi sana kwa kutumia maji hayo hayo. Pia ni nchi ambayo uchumi wake ni nzuri ukilinganisha na wa Tanzania.
 
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tanzania kama elfu kumi hivi kwa mwezi, na maji ni shilling elfu kumi za Tanzania kwa mwaka, namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tanzania lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
mungu hakupi vyote,pia wachache sana huko ethiopia wanafaidi hayo maisha
nimekutana na wa ethiopia wengi km wakimbizi pale uganda na wana malalamiko kibao dhidi ya viongozi wa nchi yao kama kweli hayo ndo maisha mazuri why wakimbie nchi yao!!
 
images - 2023-05-29T130847.698.jpg
images - 2023-05-29T130800.948.jpg
images - 2023-05-29T130835.648.jpg
images - 2023-05-29T130847.698.jpg

ASwan Dam
 
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tanzania kama elfu kumi hivi kwa mwezi, na maji ni shilling elfu kumi za Tanzania kwa mwaka, namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tanzania lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Hyo kumi Yao uipate Sasa utatezeka Hadi utie adabu ,ghali Sana huu umeme

Exachage rate za USD vs Ethiopian birr Ni kubwa ndipo utakuwa ujui

Think about inflation also
 
Watu wamefikia kulaumu bila kuomba reference 🤣
 
Sasa kama umeme na maji ni bure ni kwa nini wananchi wengi wa Ethiopia wanakimbia nchi???
 
Kama maisha ni marahisi hivyo mbona wana wahamiaji haramu Kila kona! Tanzania itabaki kua sehemu salama kuishi katika Africa.

Sisi siyo watu wa kukaa na kufananisha na nchi nyingine. Sisi ni misukule mkuu.

Toka lini msukule ukawa na akili?

Msukule ukishakula ukashiba pumba basi, mambo mengine wala hata haujali.
 
Back
Top Bottom