Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,381
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tanzania kama elfu kumi hivi kwa mwezi, na maji ni shilling elfu kumi za Tanzania kwa mwaka, namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tanzania lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
 
Mama anatumia umeme wa 10K anapata unit 64
Huwa anatumia miezi 2

Maji anatumia unit 1 kwa mwezi ambayo bei yake ni buku na Mia mbili

Mwaka jana kimekosa nililipa bili ya maji laki mbili na nusu nilipoenda idara ya maji wakaniambia nirudi baada ya miaka 3 kuangalia nitakuwa nimebakiza kiasi gan ili nianze kupata sms ya bili
 
Anatumia jiko la umeme pasi AC etc. Je maji ni flat rate anarumia bila kujibana?

Ethiopia ndo ilivyo
 
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Mbona Mimi natumia chini ya elfu 10 Kwa mwezi kwenye umeme na maji chini ya 100k Kwa mwaka?
 
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Unavyoiita Ethiopia nchi maskini kama Ethiopia ni kwamba unadharau sana

Kiafrika Afrika Ethiopia sio maskini kihivyo, ndio wana ukame na some Times wanapigana ila bado Ethiopia ni moja ya mataifa yenye uchumi mkubwa barani Afrika.

Hata mji wao wa Addis Ababa umeendelea kuliko hata hii Dar yetu
 
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Kwani Tanzania kwa mwezi umeme ni shilingi ngapi?

Si bora ungeleta bei kwa unit ili tufanye comparison vizuri, sasa matumizi si inategemea mtu na mtu maana hata Tz kuna watu wanatumia umeme wa elf 5 kwa mwezi.
 
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Haya Ndio mambo ya kuiambia ccm na kuiondoa Magogoni 2025.

Bi safari yuko Nigeria bora angebakia Huko huko kama mke wa marehemu Samora aliyekuwa Rais wa msumbiji alikwenda kwa Mandela akabakia huko huko,
 
Back
Top Bottom